miss grand international

Miss Grand International, also known as Miss Grand, is an international beauty pageant franchise that is based in Thailand. It consists of the annual national pageant Miss Grand Thailand, as well as the international competition Miss Grand International, to which participating rights are licensed to organizers in other countries. The franchise has been owned and run by a Thai stock exchange-listed company with the same name, also known as MGI PCL, since its inception in 2013, with Nawat Itsaragrisil as the president.
The current Miss Grand International is Jihan Dimack of Tanzania. She became the first Tanzanian and the first delegate representing an African nation to win the title.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Miss grand wametupa Jukwaa kutangaza nchi yetu, ni ujumbe wa dunia Watazania tunapenda utulivu

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, leo Oktoba 17, 2026, amempongeza mshindi wa taji la Miss Grand International, Jihan Dimack, wakati wa mapokezi yake makubwa ya kurejea nchini. Msigwa amebainisha kuwa ushindi huo umewaleta Watanzania pamoja na kutoa fursa adhimu ya kuitangaza nchi...
  2. R

    JamiiForums Tanzania LIVE Kinachoendelea kwenye mapokezi ya Miss Grand Jihan Dimack

    Habari Wakuu, Kampeni ya Miss grand International bado inaendelea, na sasa tupo episode ya Mapokezi. Mshindi wa Miss grand International Jihan Dinmack anatarajiwa kuwasili nchini leo Oktoba 17, 2026 ambapo Watanzania wamejitokeza kuelekea uwanja wa Kimataifa Mwalim Julius Nyerere kwa mapokezi...
  3. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Jihan angekuwa na rangi nyeusi kabisa aangeibuka mshindi wa Miss Grand?

    Wakuu naona dhana ya urembo kama vile imejikita kwenye rangi nyeupe zaidi kuliko rangi nyinginezo hasa nyeusi. Hivi mathalani mrembo wa Tanzania aliyeibuka kuwa mshindi angekuwa pure black coloured angeweza kutwaa ubingwa? Hoja hii imeibuliwa na Mkenya alisema Dihan aliyecuanganya damu na mtu...
  4. Gospel KTV

    JamiiForums Tanzania Ni dhahiri Wanyiha ni Madirector wazuri wa Tasnia ya Umiss! Nazimizye Mdolo Mwafrika wa kwanza kushinda Miss Grand International Best Director

    Hakika historia imeandikwa nchini Thailand! Tanzania haikutwaa tu taji kuu la urembo la dunia kupitia kwa Jihan Dimack bali imeweka rekodi nyingine kubwa upande wa usimamizi na uongozi wa tasnia hii hapa nchini na barani Afrika kwa ujumla. Mkurugenzi wa Miss Grand Tanzania, Nazimizye Adam...
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Miss Grand International imewaumbua wanaharakati. Tuacheni Watanzania tuishi

    https://x.com/_zack255/status/2109188455766843658
  6. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Asante dunia miss grand international imetishaaaaaa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 huko haendi fala, maswali yanatisha, mmexico kingereza cha mchomoa

    Miss grand huku sio pa mchongo, Mzee Kuna maswali unaulizwa ya papo kwa papo, inabidi kichwani uwe njema. Mmexico ashindwa kingereza hata muecuador nae lugha gongano hapo ndio jihan alipo piga hat trick tusomeni wazee. Jihan jihan jihan, achana na hawa wazee wa jf wao siasa Kila muda, wazungu...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Africa kwa mara ya kwanza imechukuchukua tuzo ya Miss Grand International kupitia Mtanzania Jihan

    Kwa mara ya kwanza Afrika imepata tuzo hii tangu mashindano hayo yalipoanzishwa mwaka 2013. Miss Grand International ni mashindano ya urembo duniani yaliyoanzishwa mwaka 2013 nchini Thailand na Nawat Itsaragrisil. Lengo kuu la waandaaji ni kampeni yao ya "Stop the War and Violence" (Komesha...
Back
Top Bottom