Feedback
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 7,988
- 4,514
Kwani Zitto yuko chama gani na ni shujaa kamshinda nani?Kuelekea kufanya nini?
Kwani Zitto yuko chama gani na ni shujaa kamshinda nani?Kuelekea kufanya nini?
karibu shujaa ZZK
Wajichafuwe ama muwachafuwe bado watanzania wana imani nao.Mkuu, kwani Mbowe na Dr Slaa wanachafuliwa au wanajichafua? Ukweli ni kuwa image yao wanaiharibu wao wenyewe kwa tamaa zao za kimwili
huyu siyo shujaa tena angefanikiwa kuibomoa CHADEMA mgeweza kumwita hivyo lakini kwasasa ni sawa na mende aliye geuzwa miguu juu...
Usimdhalilishe Mandela ukamfananisha na Zitto. Mandela hakubembeleza urafiki na makaburu waka hakuhongwa kuusaliti ukombozi wa mweusi. Alipigwa mabomu ya machozi, alionewa na kufungwa jela. Huyu anayekwepwa kwa makusudi na warusha mabomu ya machozi, kwe ye mkutano wake polisi wanati sheria huku wenzake wakibambikiwa kesi ambazo ni wazi anashiriki kuzitunga na akishiriakana na TISS, huku wenzake wakirushiwa mabomu kwenye mikutano na kufungwa jela. Huyu umfananishe na Mandela? Mandela hakuwa ndumilakuwili wala haikufika hata siku moja team ya mapambano ya ukombozi na watu weusi wakamtilia shaka.Nelson Madiba Mandela alikuwa mhaini na akafungwa na alipokuwa kifungoni wananchi walimuona ni shujaa na mwisho wa siku akawa rais wa hao waliomfunga na wananchi waliokuwa nyuma yake. Unaweza kumwita ZK msaliti lakini wananchi wake wanamhitaji
We beni huyo mbowe ashachukua hela kwa rostam mnafik mkubwa ww tunayajua mengi ya lahaba wako ila tunanyamaza tuu
Ben saanane unatia kinyaa kwa kutoa Mawazo muflisi! Puu (natema mate kama mwigulu bungeni.) Huna thamani tena. Puu (natema mate kwa Mara ya 2.
Jaribio lako la kukusudia kumuua zitto litakugharimu sn kimaisha na hasa kisaikokojia
Puu! Ulaaniwe!
Mtaiga kila uchafu unaofanywa na gaidi lenu, jitu zima linatema mate ndani ya bungeHahahahahaaaa! Na mie natema puuuuuuuu!
Kwa taarifa zaidi, Maandalizi yanaendelea vizuri ikiwa ni pamoja na kurushwa live kwa mkutano huo na kituo cha startv huku uratibu mzuri ukiwa chini uv-ccm.
Mnachelewa sana kumfukuza.
Hivi unajua Zitto amefanya mangapi na Mbowe? Unajua kama Zitto anajua vitu vingi vizuri na vibaya juu ya Mbowe? Kiasi kwamba kama akiamua kuyasema yote kwa ushahidi alionao basi Mbowe siasa basi!!
So kwa mantiki hiyo, Zitto hatakaa afukuzwe kwenye chama, labda kama Mbowe sio Mwenyekiti, ila kama Mbowe ni Mwenyekiti Zitto ni mwanachama.
Nimesoma post nyingi humu, nimekuja ku-realize kwamba ZZK ni fupa gumu. Watu wanahangaika kweli kusikia kijana anarudi kwao kuzungumza na ndg zake. Kwani mnachoogopa ninini?
Nimesoma post nyingi humu, nimekuja ku-realize kwamba ZZK ni fupa gumu. Watu wanahangaika kweli kusikia kijana anarudi kwao kuzungumza na ndg zake. Kwani mnachoogopa ninini?
"There are two ways to be fooled. One is to believe what isn't true; the other is to refuse to believe what is true."Mhasi na mhaini Zitto hafai kuwa hata mwenyekiti wa kitongoji.
Pls usimtukane Mandela kiasi hiki.Muache apumzike kwa Amani
Mandela hajawahi kuchukua hela kwa makaburu.Hajawahi kuchukua cheki.Hajawahi kuwa na chuki na kutishia kuua watu.Hajawahi kuuza utu wake na watu wake.Hajawahi kuwa mnafiki
Please ,spare us with your ignorance!
SIASA MBAYA SANA,inakufanya uwe maarufu sana,unaanza kumiliki vitu vya thamani kama magari,nyumba n.k kwa mda mfupi,SASA linapokuja suala la kuporomoka kisiasa,mwanasiasa huyohuyo anaanza kutumia mali hizohizo kuhakikisha anandelea kubaki kwenye chati,mpaka anafilisika.HAYA ndiyo yanayompata zito kwa sasa,atatumia rasilimali zake zote na hata kuingia madeni kuhakikisha anapambana na chama chake mpaka atabaki kama alivyo.Mikutano yake hii itamgharim pesa nyingi sana na atataka kuzunguka nchi nzima kupambana na chama anachotaka kuwa Mwenyekiti.HITIMISHO:madereva bodaboda wa kigoma wakae mkao wa kula kipindi hiki,uchumi wa kigoma unatarajiwa kuongezeka kwa 6%.
There are two ways to be fooled. One is to believe what isn't true; the other is to refuse to believe what is true.