mtafutaji2016
Senior Member
- Jun 19, 2016
- 105
- 46
Asikwambie mtu, kupata first class udsm si kitu rahisi haijalish kozi gan na ukipata bas msuli wake ulikuwa si wa kitoto...nashangaa vyuo vinavyotoa first class ovyo mfano chuo cha iringa unaweza kuta half of students darasan wana first class 

udsm mpaka lecturer akupe first class au A basi umemshawish ipasavyo thus being the best uni hasa kwenye sheria kinatoa product za maana...binafsi nimesoma udsm tena msuli wa nguvu ila nimeambulia gpa ya 3.6 