Kina nani walipata "first classes" UDSM shule ya sheria?

Kina nani walipata "first classes" UDSM shule ya sheria?

Wakati nipo Udsm nilikuwa napenda sana kupita ile njia ya faculty of Law nikiwa naenda library ili niwe nasoma majina ya kwenye zile parking.

Sijui kuna siri gani majina ya wanasheria kuwa mabaya..

Nakumbuka sana kile kibao cha Prof. Mgongo Fimbo.... Huyu hakupata 1st Class kweli ? Hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
Yule Mzee wakati ule alikuwa akifundisha land law. Sijui kama bado yupo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi kuhusu hii college of natura and applied science (CONAS) First class zipo????
 
sasa first class zao zimewasaidia nini? kwasababu hapo aliyefanikiwa kuliko wote ni Dr. Tenga, wakili aliyepiga hela hadi anaziona za kawaida. kabudi hana hela, anazo za kawaida tu, asha ni za mishahara kama kabudi tu na enzi hizi za magufuli hawawezi kuiba, james orenga (mjaluo huyu) hata simjui, majamba hana lolote zaidi ya kubania wanafunzi pale wasipate kama alivyopata yeye, ataishia kufundisha wenzie tu ili waje kuwa matajiri wampite. ninamheshimu sana Dr. Tenga, kwasababu kati ya woote hao yeye pekee ndiye mwanasaheria nguli anayejua kufundisha, kutunga vitabu na kupractice sheria mahakamani. wengi tumepitia kwenye lawfirm yake na tupo vizuri sana kwenye practice. hao wengine wote mi hawajanizidi kitu zaidi ya vyeti tu.
Kumbe watanzania mnasoma ili muwe matajiri sio kulisaidia Taifa lenu?

Sasa nimejua kwa nini tupo palepale miaka nenda rudi.
 
Kumbe Tabora School inatisha.
Asha Rose Migiro Tabora Girls
Ndalichako Tabora Girls
Magreth Sitta Tabora Girls
Samuel Sitta Tabora Boys
Prof Kabudi Tabora Boys
Prof Mkandala Tabora Boys
Mwalimu Nyerere Tabora Boys
Prof Lipumba Tabora Boys
Joshua Nassari Tabora Boys
Dokta Ulimboka Tabora Boys
Davies Mwamuyange Tabora Boys

Tabora School ni Noma.
 
Kumbe Tabora School inatisha.
Asha Rose Migiro Tabora Girls
Ndalichako Tabora Girls
Magreth Sitta Tabora Girls
Samuel Sitta Tabora Boys
Prof Kabudi Tabora Boys
Prof Mkandala Tabora Boys
Mwalimu Nyerere Tabora Boys
Prof Lipumba Tabora Boys
Joshua Nassari Tabora Boys
Dokta Ulimboka Tabora Boys
Davies Mwamuyange Tabora Boys

Tabora School ni Noma.
Zilipendwa kachafua hewa hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe Tabora School inatisha.
Asha Rose Migiro Tabora Girls
Ndalichako Tabora Girls
Magreth Sitta Tabora Girls
Samuel Sitta Tabora Boys
Prof Kabudi Tabora Boys
Prof Mkandala Tabora Boys
Mwalimu Nyerere Tabora Boys
Prof Lipumba Tabora Boys
Joshua Nassari Tabora Boys
Dokta Ulimboka Tabora Boys
Davies Mwamuyange Tabora Boys

Tabora School ni Noma.
Tabora ya enzi zile sahizi yamebaki makinikia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa first class zao zimewasaidia nini? kwasababu hapo aliyefanikiwa kuliko wote ni Dr. Tenga, wakili aliyepiga hela hadi anaziona za kawaida. kabudi hana hela, anazo za kawaida tu, asha ni za mishahara kama kabudi tu na enzi hizi za magufuli hawawezi kuiba, james orenga (mjaluo huyu) hata simjui, majamba hana lolote zaidi ya kubania wanafunzi pale wasipate kama alivyopata yeye, ataishia kufundisha wenzie tu ili waje kuwa matajiri wampite. ninamheshimu sana Dr. Tenga, kwasababu kati ya woote hao yeye pekee ndiye mwanasaheria nguli anayejua kufundisha, kutunga vitabu na kupractice sheria mahakamani. wengi tumepitia kwenye lawfirm yake na tupo vizuri sana kwenye practice. hao wengine wote mi hawajanizidi kitu zaidi ya vyeti tu.
Is that an ugly boast?
 
Kumbe watanzania mnasoma ili muwe matajiri sio kulisaidia Taifa lenu?

Sasa nimejua kwa nini tupo palepale miaka nenda rudi.
hata baba yako hakukusomesha ili ulisaidie taifa, na hakuna mtu hata mmoja huwa anasoma alisaidie taifa bali ili apate fedha. hiyo kusaidia taifa huwa linakuja baadaye sana, napo unajifanya unasaidia taifa wakati nyuma ya pazia unachanja mbuga kutafuta fursa za kupata hela zaidi. dunia yote wako hivyo na hakuna hata mwanadamu mmoja aliwahi kwenda shule primarily akinuia kulisaidia taifa bali kujisaidia mwenyewe na akishiba asaidie wengine kidogo sana (pamoja na kwamba hakuna mwanadamu aliwahi kushiba mafanikio)
 
Vipi kuhusu hii college of natura and applied science (CONAS) First class zipo????

CONAS kuna magenius wengi sana,,,,

Principal wa CONAS anaitwa profesa TJ Lyimo yeye ni profesa wa Microbiology alipata undergraduate GPA ya 4.8 ambayo ni first class ya 3 kutoka juu.

Bado kuna Assistant Lecturer mmoja yeye alisomea BscEd(chemistry na Biology) alitoka na undergraduate GPA ya 4.6 ambayo ni first class pia na wengineo weeengiiiiiiiii!
 
Back
Top Bottom