Kina nani walipata "first classes" UDSM shule ya sheria?

Kina nani walipata "first classes" UDSM shule ya sheria?

CONAS kuna magenius wengi sana,,,,

Principal wa CONAS anaitwa profesa TJ Lyimo yeye ni profesa wa Microbiology alipata undergraduate GPA ya 4.8 ambayo ni first class ya 3 kutoka juu.

Bado kuna Assistant Lecturer mmoja yeye alisomea BscEd(chemistry na Biology) alitoka na undergraduate GPA ya 4.6 ambayo ni first class pia na wengineo weeengiiiiiiiii!
Inategemeana na somo. Micro nalo somo.
 
haumjui mkuu, nyamaza, kwa kifupi ni kwamba hakuna wakili asiye tapeli, hata hao unaowaamini ni matapeli wa kutupa, ukikua utakuja kuelewa. ndo maana huwa nawaonea huruma sana nyie msiosoma sheria jinsi mnavyotuamini ati "nina mwanasheria wangu", ungelijua sanaa ya sheria na namna wakili anavyoweza kung'ata pande zote mbili na kwamba yupo pale kwa ajili ya fedha na si huruma, ungefukuka macho na masikio. hata hivyo hamna jinsi ila kutuhitaji tu katika hii dunia. but as kwa tasnia hi kwa bongo, usimguse Tenda, ana heshima yake mwache kama alivyo.
Ulitaka wote wasome sheria? Si tutakuwa mbuzi tu.
 
Back
Top Bottom