Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 38,905
- 28,069
Ni Mwakyembe huyoHawa ni kati ya waliopata ufaulu wa kawaida. Kuna mmoja hapo alipata ufaulu wa chini zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Mwakyembe huyoHawa ni kati ya waliopata ufaulu wa kawaida. Kuna mmoja hapo alipata ufaulu wa chini zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
bansaanane angekuwepo huu mjadala angeufurahia sana na ungechangamka!Angepiga first class angebakizwa, first class sio mchezo wewe!
Hii kwa kikwetu tunaita UJIVUNI ila all in all yakupasa ujisifie kabla hujasifiwa na mtu mwinginesasa first class zao zimewasaidia nini? kwasababu hapo aliyefanikiwa kuliko wote ni Dr. Tenga, wakili aliyepiga hela hadi anaziona za kawaida. kabudi hana hela, anazo za kawaida tu, asha ni za mishahara kama kabudi tu na enzi hizi za magufuli hawawezi kuiba, james orenga (mjaluo huyu) hata simjui, majamba hana lolote zaidi ya kubania wanafunzi pale wasipate kama alivyopata yeye, ataishia kufundisha wenzie tu ili waje kuwa matajiri wampite. ninamheshimu sana Dr. Tenga, kwasababu kati ya woote hao yeye pekee ndiye mwanasaheria nguli anayejua kufundisha, kutunga vitabu na kupractice sheria mahakamani. wengi tumepitia kwenye lawfirm yake na tupo vizuri sana kwenye practice. hao wengine wote mi hawajanizidi kitu zaidi ya vyeti tu.
Basi nahii inatishaKumbe Tabora School inatisha.
Asha Rose Migiro Tabora Girls
Ndalichako Tabora Girls
Magreth Sitta Tabora Girls
Samuel Sitta Tabora Boys
Prof Kabudi Tabora Boys
Prof Mkandala Tabora Boys
Mwalimu Nyerere Tabora Boys
Prof Lipumba Tabora Boys
Joshua Nassari Tabora Boys
Dokta Ulimboka Tabora Boys
Davies Mwamuyange Tabora Boys
Tabora School ni Noma.
Hii ndio akili mbovu ya waalim wa vyuo vya kitanzania. Sijui kwa nini wana roho mbaya hivi.Wanaofundisha pia hawataki kuvunjiwa records zao ili waendelee kukumbukwa wao hiyo ni elimu ya kiafrika illiyojaa ubinafsi
Sent using Jamii Forums mobile app
CONAS kuna magenius wengi sana,,,,
Bado kuna Assistant Lecturer mmoja yeye alisomea BscEd(chemistry na Biology) alitoka na undergraduate GPA ya 4.6 ambayo ni first class pia na wengineo weeengiiiiiiiii!
Kumbe Tabora School inatisha.
Asha Rose Migiro Tabora Girls
Ndalichako Tabora Girls
Magreth Sitta Tabora Girls
Samuel Sitta Tabora Boys
Prof Kabudi Tabora Boys
Prof Mkandala Tabora Boys
Mwalimu Nyerere Tabora Boys
Prof Lipumba Tabora Boys
Joshua Nassari Tabora Boys
Dokta Ulimboka Tabora Boys
Davies Mwamuyange Tabora Boys
Tabora School ni Noma.
Hehehe umenichekesha sana..lecturer wangu wa engineering alikuwa anapenda kuwazingua hawa watu wa HKL,HGL & KLFVipi kuhusu engineering.
Hayo maungwini ndio yanayotuharibia nchi.
Ni kelele tu mtaani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ongezea na Asha Baraka.Kumbe Tabora School inatisha.
Asha Rose Migiro Tabora Girls
Ndalichako Tabora Girls
Magreth Sitta Tabora Girls
Samuel Sitta Tabora Boys
Prof Kabudi Tabora Boys
Prof Mkandala Tabora Boys
Mwalimu Nyerere Tabora Boys
Prof Lipumba Tabora Boys
Joshua Nassari Tabora Boys
Dokta Ulimboka Tabora Boys
Davies Mwamuyange Tabora Boys
Tabora School ni Noma.
Kama na wewe ni mwanasheria basi kuna tatizo kubwa sana zaidi ya tudhaniavyo!sasa first class zao zimewasaidia nini? kwasababu hapo aliyefanikiwa kuliko wote ni Dr. Tenga, wakili aliyepiga hela hadi anaziona za kawaida. kabudi hana hela, anazo za kawaida tu, asha ni za mishahara kama kabudi tu na enzi hizi za magufuli hawawezi kuiba, james orenga (mjaluo huyu) hata simjui, majamba hana lolote zaidi ya kubania wanafunzi pale wasipate kama alivyopata yeye, ataishia kufundisha wenzie tu ili waje kuwa matajiri wampite. ninamheshimu sana Dr. Tenga, kwasababu kati ya woote hao yeye pekee ndiye mwanasaheria nguli anayejua kufundisha, kutunga vitabu na kupractice sheria mahakamani. wengi tumepitia kwenye lawfirm yake na tupo vizuri sana kwenye practice. hao wengine wote mi hawajanizidi kitu zaidi ya vyeti tu.
Ndo hapo sasa.....hivi Bill gates, carlos Slim, Ortega, Abromovich et al walipata first class.....manake ndo naskia wanamataasisi ya kusaidia watu wao mpaka huku africa kuna miradi kwa baadhi yao mfano hao Gates.....
Mbona za kitoto hizo GPA.
College inayokimbiza kila mwaka ni CoICT vijana wa Telecom wako on fire
unajua miaka3 hii mfululizo first class zimetoka collg gn?Mbona za kitoto hizo GPA.
College inayokimbiza kila mwaka ni CoICT vijana wa Telecom wako on fire
Kama tokea 1992 hakuna aliyewahi pata first class kwenye hicho kitivo na kwamba kama ni watu 15 pekee waliowahi kuipata basi tuseme wengi wanaosoma hicho kitivo ni vlaza au vipi...
Mbona vitivo vingine mambo ni mazito na watu wanapiga first class kila mwaka...?
Shuele ya COET na CONAS ni ngumu vibaya, ila hakuna mwaka ambao watu wanamaliza huko bila kuwa na first class...
Watu bright wana tatizo moja Concentration, Kuna watu wengi wamefanikiwa Nje ya shule na Karibu wote hudai mfumo wa Shule unampa limitations mwanafunzi mchukilie mtu Kama N.tesla ali drop out Graz university na kukimbilia Paris kwenye kampuni ya Edison, Kina gates wote hao waliacha college na kuset up their own deal yani ni sawa na ww upate deal ya Kukuingizia hela ndefu utaona kukimbizana na lecturer ni UKUDA, Btw elimu ni muhimu mno mno Tuwasomeshe watoto wetu watakapopevukia na kuona wanachosoma kiko bored waingia watakapo Kwa sababu Goal ni Moja PESANdo hapo sasa.....hivi Bill gates, carlos Slim, Ortega, Abromovich et al walipata first class.....manake ndo naskia wanamataasisi ya kusaidia watu wao mpaka huku africa kuna miradi kwa baadhi yao mfano hao Gates.....
Sent using Jamii Forums mobile app
yaah hata mi nilikua nashangaa majina yao,hasa hilo la fimbo haaaah haaah haaahWakati nipo Udsm nilikuwa napenda sana kupita ile njia ya faculty of Law nikiwa naenda library ili niwe nasoma majina ya kwenye zile parking.
Sijui kuna siri gani majina ya wanasheria kuwa mabaya..
Nakumbuka sana kile kibao cha Prof. Mgongo Fimbo.... Huyu hakupata 1st Class kweli ? Hahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi wa Bsc ed( Phz & math) zipo hizi???CONAS kuna magenius wengi sana,,,,
Principal wa CONAS anaitwa profesa TJ Lyimo yeye ni profesa wa Microbiology alipata undergraduate GPA ya 4.8 ambayo ni first class ya 3 kutoka juu.
Bado kuna Assistant Lecturer mmoja yeye alisomea BscEd(chemistry na Biology) alitoka na undergraduate GPA ya 4.6 ambayo ni first class pia na wengineo weeengiiiiiiiii!