Kina nani walipata "first classes" UDSM shule ya sheria?

Kina nani walipata "first classes" UDSM shule ya sheria?

CONAS wanaopiga hizo first class sana sana ni watu wa GEOLOGY ambayo ni simply Geography,

Leta programme nyingine excluding geology ambazo watu wanatusua hayo mafirst class!

Ninakwambia hivi kwa waalimu wa conas ambae ninamjua ana first class anaitwa Chuhila na alibakizwa dept of zoology sasa hivi tunavyoongea jamaa ni assistant lecturer hapo department of zoology ambapo alipata gpa ya 4.6 BscEd ukiachana na huyo sijajua mwalimu gani mwingine wa biology pale CONAS ambae ana First class!

Hivi mpaka ulivofikia hapo hujajua tu tofauti ya Geology na Geography, na pia lazima utofautishe in Geology na With Geology
Tangu department ya Geology ilioanzishwa kulikuwa na kozi moja tu ya Bsc IN Geology na hapajawahi kuwa na first class, hao wote wakina Prof Muhongo, Mruma, Maboko, Ikingura nk hakuna mwenye first class, Hapo kuna Maprof ambao ni walimu wa mwanzo kabisa walikiwa na B tu, B+ ni za kutafuta

Fisrt class kutoka Geology zimeanza wakati wa kozi mpya zilizoanzishwa hapo , yaani unakuta Bsc. Geology with Geography so watu wanakomba points kutoka kwenye Geography na ndio wanapiga hizo 1st class
 
[
QUOTE="Che Mkira, post: 23095094, member: 234045"]Mwakyembe kilaza

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]

Angekuwa kilaza angebakizwaga UDSM kama tutorial assistant?
 
Wakati nipo Udsm nilikuwa napenda sana kupita ile njia ya faculty of Law nikiwa naenda library ili niwe nasoma majina ya kwenye zile parking.

Sijui kuna siri gani majina ya wanasheria kuwa mabaya..

Nakumbuka sana kile kibao cha Prof. Mgongo Fimbo.... Huyu hakupata 1st Class kweli ? Hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ulikuwa unachukua course gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
James Orenga ni mwanasiasa na mwanasheria machachari nchini Kenya. Ni kigogo wa NASA
Huyu ni James Orengo na kama ndo huyo basi rekodi haziko sawa kwani alisomea degree ya kwanza University of Nairobi 1971-1974. Na alikuwa kiongozi wa wanafunzi enzi hizo.
 
Sidhani kama Tundu Lisu alipata 1st Class.. Watu waliopataga 1st class udsm walikuwa mara nyingi sio watu wa kujichanganya walikuwa ni watu wa misuli mizito na mara nyingi ni watu walikuwa na personality ya kuto kufahamika.

Tundu Lisu harakati alizianza akiwa chuo.. Na possibly inawezekana alikuwa maarufu pia. Na kwa sababu umaarufu na kupata 1st class ni inverse proportion basi jamaa hakupata 1st class.

Binafsi nimesoma udsm pia na nilikuwa na ndoto ya kupata 1st class ila mwisho wa siku niliambulia 4.3 ingawa si haba japo msuli ulikuwa ni wa kutisha.

Sasa pia unavokuja kwenye sheria ya miaka minne kupata first class ina maana mtu u maintain high performance tangu mwaka wa kwanza na shule ya udsm inavochosha sio rahisi kabisa.

Na kwa Law inapaswa uwe na kitu cha ziada kuipata hiyo 1st class. Sana sana wale walikuwa wakali darasani waliishia kwenye 4.2 ila kupanda juu hapo kwa Law inakuhitaji uwe mzuri class na uwe na passion ya ki uanasheria kweli nje ya madesa..

Sent using Jamii Forums mobile app
can we see some of your publications, inaonekana ulikuwa unajua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CONAS wanaopiga hizo first class sana sana ni watu wa GEOLOGY ambayo ni simply Geography,

Leta programme nyingine excluding geology ambazo watu wanatusua hayo mafirst class!

Ninakwambia hivi kwa waalimu wa conas ambae ninamjua ana first class anaitwa Chuhila na alibakizwa dept of zoology sasa hivi tunavyoongea jamaa ni assistant lecturer hapo department of zoology ambapo alipata gpa ya 4.6 BscEd ukiachana na huyo sijajua mwalimu gani mwingine wa biology pale CONAS ambae ana First class!
Mwalimu CoNAS first class ni neglible huyo Chuhila si ana makengeza HV!!!??

Ai kotoni ende mai kondisheni...
 
Huyo huyo hana makengeza ila ukimcheki ni kama ana makengeza hivi.
ZL 122 ndio alikuwa Tutorial assistant baada ya Prof Howell mzungu kumaliza kuimba yeye ndio alikuwa anakaza...ila sahv wamempa BL 111 ndio anafundisha....

Ai kotoni ende mai kondisheni...
 
Kuna vijana wadogo kabisa tena wamepata PHD mwaka 2013 wana ufaulu WA kutisha.
Walibakishwa pale wanafundisha sheria.
Fanyeni research kabla ya kupost kwa kujiamini sana
 
ZL 122 ndio alikuwa Tutorial assistant baada ya Prof Howell mzungu kumaliza kuimba yeye ndio alikuwa anakaza...ila sahv wamempa BL 111 ndio anafundisha....

Ai kotoni ende mai kondisheni...

Yupo cream. Amepewa kipaji cha kuelewa mambo vizuri.

Mpaka Zoology wakampa nafasi ya kucarryout practical session za ZL122 sio kitu cha mchezo!
 
James Orenga ni Senator pia ni mwanasheria alikuwa akiongoza timu ya NASA pale Supreme Court Kenya kwenye kesi ya kupinga matokeo ya uRais 2017. Yupo vizuri sana huyu jamaa.
 
CONAS wanaopiga hizo first class sana sana ni watu wa GEOLOGY ambayo ni simply Geography,

Leta programme nyingine excluding geology ambazo watu wanatusua hayo mafirst class!

Ninakwambia hivi kwa waalimu wa conas ambae ninamjua ana first class anaitwa Chuhila na alibakizwa dept of zoology sasa hivi tunavyoongea jamaa ni assistant lecturer hapo department of zoology ambapo alipata gpa ya 4.6 BscEd ukiachana na huyo sijajua mwalimu gani mwingine wa biology pale CONAS ambae ana First class!

Naona mnaitenga Department of Mathematics hapo CoNAS nashindwa kuwaelewa. Maana kule kuna vichwa vina first class za kumwaga.
 
Kule
Kweli kabisa mkuu labda geology ila course nyingine ni shida mfano Bsc ed( Phz & math) sijui zipo hizo first class??? Naombeni mnijuze nisije onekana Mimi peke angu ni kilaza

Kule Math Department zipo mkuu
 
uzi unahusu faculty of law udsm but naona wadau wengine mnatuletea habari za cjui zoology, geology,chemistry,mathmatics, sociology,engineering, udbs, coet etc....fungueni nyuzi zenu bana.

Wadau wa Sheria karibuni kutujuza zaidi,mana ata mwenywe mtu wa mwisho namjua huyo mama Migiro tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yupo cream. Amepewa kipaji cha kuelewa mambo vizuri.

Mpaka Zoology wakampa nafasi ya kucarryout practical session za ZL122 sio kitu cha mchezo!
Yap...ila hakuwa Peke yake walikuwa wawili hv...ila jamaa daah mungu anaupendeleo cjui...anajua mambo hadi anakera....

Ai kotoni ende mai kondisheni...
 
Back
Top Bottom