Kina nani walipata "first classes" UDSM shule ya sheria?

Kina nani walipata "first classes" UDSM shule ya sheria?

CONAS wanaopiga hizo first class sana sana ni watu wa GEOLOGY ambayo ni simply Geography,

Leta programme nyingine excluding geology ambazo watu wanatusua hayo mafirst class!

Ninakwambia hivi kwa waalimu wa conas ambae ninamjua ana first class anaitwa Chuhila na alibakizwa dept of zoology sasa hivi tunavyoongea jamaa ni assistant lecturer hapo department of zoology ambapo alipata gpa ya 4.6 BscEd ukiachana na huyo sijajua mwalimu gani mwingine wa biology pale CONAS ambae ana First class!
Kweli kabisa mkuu labda geology ila course nyingine ni shida mfano Bsc ed( Phz & math) sijui zipo hizo first class??? Naombeni mnijuze nisije onekana Mimi peke angu ni kilaza
 
Watu bright wana tatizo moja Concentration, Kuna watu wengi wamefanikiwa Nje ya shule na Karibu wote hudai mfumo wa Shule unampa limitations mwanafunzi mchukilie mtu Kama N.tesla ali drop out Graz university na kukimbilia Paris kwenye kampuni ya Edison, Kina gates wote hao waliacha college na kuset up their own deal yani ni sawa na ww upate deal ya Kukuingizia hela ndefu utaona kukimbizana na lecturer ni UKUDA, Btw elimu ni muhimu mno mno Tuwasomeshe watoto wetu watakapopevukia na kuona wanachosoma kiko bored waingia watakapo Kwa sababu Goal ni Moja PESA
Kabisaaa....wakati tunasoma tulikuwa tunasisitiziwa sana...kufaulu..mnashindana kufaulu kupitiliza mfano kupata one ya saba na vitu kama hivyo...lkn siku hizi nikitafakar naona hiyo mentality sio kabisa.....soma faulu na uwe na vigezo vya kusonga mbele zenye unachanganya na elimu ya mtaani mfano utafutaji pesa, matumizi , self budget, ubunifu nje ya madaftar etc....mim ndivyo ntakavyowalea wanangu....siwez waambia directlly kwamba wahakikishe wanakua na vigezo vya kuendelea mbele lkn ntatengeneza mazingira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi wa Bsc ed( Phz & math) zipo hizi???

Sina taarifa za hao jamaa, lakini mambo ni magumu maana UDSM dept of Physics ina hali mbaya sababu waalimu pale wapo 17 tu

Laiti mambo yangekuwa mazuri basi wangebakishwaga wengi, sema ndio hivyo.

Dept ambazo watu wanapiga vizuri hata waalimu pia huwa ni wengi, mfano dept ya geology kuna waalimu 28 halafu watu wanaopewa admission pale geology ni wachache tu!
 
Ivi mawakili wa serikali wanapatikanaje?je wanateuliwa tu or watu wanaomba i mean una apply?
 
Sina taarifa za hao jamaa, lakini mambo ni magumu maana UDSM dept of Physics ina hali mbaya sababu waalimu pale wapo 17 tu

Laiti mambo yangekuwa mazuri basi wangebakishwaga wengi, sema ndio hivyo.

Dept ambazo watu wanapiga vizuri hata waalimu pia huwa ni wengi, mfano dept ya geology kuna waalimu 28 halafu watu wanaopewa admission pale geology ni wachache tu!
Kwakwel mambo n magumu sana mkuu....nilitaka kujua kama kuna hizo 4.8 za watu wa bsced(Phz & math) maana niljua mimi kilaza
 
hata baba yako hakukusomesha ili ulisaidie taifa, na hakuna mtu hata mmoja huwa anasoma alisaidie taifa bali ili apate fedha. hiyo kusaidia taifa huwa linakuja baadaye sana, napo unajifanya unasaidia taifa wakati nyuma ya pazia unachanja mbuga kutafuta fursa za kupata hela zaidi. dunia yote wako hivyo na hakuna hata mwanadamu mmoja aliwahi kwenda shule primarily akinuia kulisaidia taifa bali kujisaidia mwenyewe na akishiba asaidie wengine kidogo sana (pamoja na kwamba hakuna mwanadamu aliwahi kushiba mafanikio)
Kweli mkuu.
 
CONAS wanaopiga hizo first class sana sana ni watu wa GEOLOGY ambayo ni simply Geography,

Leta programme nyingine excluding geology ambazo watu wanatusua hayo mafirst class!

Ninakwambia hivi kwa waalimu wa conas ambae ninamjua ana first class anaitwa Chuhila na alibakizwa dept of zoology sasa hivi tunavyoongea jamaa ni assistant lecturer hapo department of zoology ambapo alipata gpa ya 4.6 BscEd ukiachana na huyo sijajua mwalimu gani mwingine wa biology pale CONAS ambae ana First class!
kutokuwajua wewe haimaanishi watu hawapati
ziko nyingi t pale
 
sasa first class zao zimewasaidia nini? kwasababu hapo aliyefanikiwa kuliko wote ni Dr. Tenga, wakili aliyepiga hela hadi anaziona za kawaida. kabudi hana hela, anazo za kawaida tu, asha ni za mishahara kama kabudi tu na enzi hizi za magufuli hawawezi kuiba, james orenga (mjaluo huyu) hata simjui, majamba hana lolote zaidi ya kubania wanafunzi pale wasipate kama alivyopata yeye, ataishia kufundisha wenzie tu ili waje kuwa matajiri wampite. ninamheshimu sana Dr. Tenga, kwasababu kati ya woote hao yeye pekee ndiye mwanasaheria nguli anayejua kufundisha, kutunga vitabu na kupractice sheria mahakamani. wengi tumepitia kwenye lawfirm yake na tupo vizuri sana kwenye practice. hao wengine wote mi hawajanizidi kitu zaidi ya vyeti tu.
Mafanikio ni pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama tokea 1992 hakuna aliyewahi pata first class kwenye hicho kitivo na kwamba kama ni watu 15 pekee waliowahi kuipata basi tuseme wengi wanaosoma hicho kitivo ni vlaza au vipi...
Mbona vitivo vingine mambo ni mazito na watu wanapiga first class kila mwaka...?
Shuele ya COET na CONAS ni ngumu vibaya, ila hakuna mwaka ambao watu wanamaliza huko bila kuwa na first class...
Uzito wa shule una maanisha nini? Shule sio nzito ila bichwa lako nzito, Wewe unaona physics au electronics Ngumu kwa mwingine ni rahisi Sana sana, Ukishapenda kitu na kujua kina manufaa maishani ni rahisi Sana kukipigania, Kama ulienda engineering kwa kumuiga Baba au Jirani wakati roho yako ipo Banking Lazima shule iwe ovyo kwako. Hakuna ugumu labda Kama unafanya uvumbuzi wa kwenda kwenye jua
 
Back
Top Bottom