Kina Dada wa JF kama mnajiamini...

Kama ananitafuta baasi kesha tembea half the way kwa kuanzisha tu hii thread!
 
thanks kama ni kweli,.........ila sina ID lingine but nimerudisha tu avatar ya zamani
Do you believe I know the real you or not?
Mi namaanisha the real you is cuter than this avatar
 
Do you believe I know the real you or not?
Mi namaanisha the real you is cuter than this avatar
Hapo sibishi kabisa.......najua unanifahamu siku nyingi
 
Zomba we ni .me. au ni .ke. au ni two in one. Nataka tu kufahamu.
 
Nihakikishe nini, ungekuwa wewe huyo si tungesha kuona mitaani. Weka yako wacha kutokujiamini.

zomba banaa! una mawazo mbofumbofu sana! huwezi kuniona kwa sababu sizururi huko unakozururia wewe.....wenzako washaniona! waulize........!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…