Kina dada, this is too much

Kina dada, this is too much

Kina dada this is too much, hata kama ni kupiga mizinga hii imezidi, hii sio mizinga sasa ni makombora ya masafa marefu,

Mtu hamjawahi kuonana mmekutana kwenye mitandao,mnapanga kukutana alafu muda mchacje kabla hamjakutana unaraise invoice ya ajabu ajabu,mara gari haina mafuta kama unaweza niwezeshe,mara sim imeharibika kama unaweza nisaidie niipeleke kwa fundi nije.

Unakubali vipi mtoko kwenda kuonana na mtu ambae hamjawahi kukutana huku gari haina mafuta..

Kwangu mimi kabla hatujaonana hata kumi sitoi, tukishaonana hata useme ndege imeisha mafuta natama hela za kijaza ndege wese.
Mwanaume rijali haogopi kupigwa mizinga,kuvuliwa chupi unapenda ili ku-share the portion of cake you have eh it becomes shida tena unafungua na thread kabisa jf,wanaume wa kulalama kama wewe kwenye mfumo wa survival for the fittest you will never survival.
 
Usidhani akikuambia hivyo anakupnda anakupiga mzinga ili usimsumbue mie pia nikiona mtu msumbufu nampiga mzinga tena nyie mna bahati mnaombwa hamsini mie pesa hiyo Ni ya mafuta ya gari naweza kuimudu kuipata kwa cku naanza Na m . Ili usinijazie contact
 
Watu wana lifestyle za ajabu. Unasoma unabaki kujishangalia tu.
Kweli kuishi ni kujifunza na kifo ndio kuhitimu
 
Watu wana lifestyle za ajabu. Unasoma unabaki kujishangalia tu.
Kweli kuishi ni kujifunza na kifo ndio kuhitimu
Imagine unamtaka aje pahala wakati hana shillingi aipate wapi? Hivi mzazi ampe hela ya pedi na nauli ya kupeleka K ukaitumbue bure? Starehe gharama kama huwezi kuigharamia kijana wa kiume acha kutongoza. Tatizo kubwa tunapenda viatu vikubwa wakati vimiguu vyetu ni viduchu. It is boring for a man to complain this way
 
Usidhani akikuambia hivyo anakupnda anakupiga mzinga ili usimsumbue mie pia nikiona mtu msumbufu nampiga mzinga tena nyie mna bahati mnaombwa hamsini mie pesa hiyo Ni ya mafuta ya gari naweza kuimudu kuipata kwa cku naanza Na m . Ili usinijazie contact
Hawajui kama hio ndio njia ya kuwafukuzia mbali,sasa elfu 20 ni hela ya kuja kutangazia umati,na wanaohonga nyumba wasemaje..?
 
Heshima kwako mkuu, ni kweli siku hizi sie mamarioo mnatuweka mjini
Haha,aisee wacha niwe sample space kwa niaba ya wengine...ndio tunawaweka mjini nyiee kina mario, tunawadangia kutoka kwa vibabu nyiee pokeeni tu...
 
Nazidi kujifunza. Sasa huku sio kuuza k kweli unaongelea?
Mapenzi ni biashara siku hizi. Enzi nafall in love kwa paw, yeye hana hela na mie sina hela. Kumbe ukilalwa wewe haustareheki?
Imagine unamtaka aje pahala wakati hana shillingi aipate wapi? Hivi mzazi ampe hela ya pedi na nauli ya kupeleka K ukaitumbue bure? Starehe gharama kama huwezi kuigharamia kijana wa kiume acha kutongoza. Tatizo kubwa tunapenda viatu vikubwa wakati vimiguu vyetu ni viduchu. It is boring for a man to complain this way
 
Haha,aisee wacha niwe sample space kwa niaba ya wengine...ndio tunawaweka mjini nyiee kina mario, tunawadangia kutoka kwa vibabu nyiee pokeeni tu...
Maisha si madarasa ila uchangaji wa karata. Wewe pambana na vibabu ila mie nitese mjini. Mamario wenzangu hoyeeeee
 
Usidhani akikuambia hivyo anakupnda anakupiga mzinga ili usimsumbue mie pia nikiona mtu msumbufu nampiga mzinga tena nyie mna bahati mnaombwa hamsini mie pesa hiyo Ni ya mafuta ya gari naweza kuimudu kuipata kwa cku naanza Na m . Ili usinijazie contact
Umenikumbusha mbali sana. Wasumbufu sana sometimes. Mtu unamwambia ukweli no room for you yumo tu.
Usumbufu ukizidi piga mzinga hallo Nina emergency naomba laki 5.
Ndo itakuwa mwisho
 
Nazidi kujifunza. Sasa huku sio kuuza k kweli unaongelea?
Mapenzi ni biashara siku hizi. Enzi nafall in love kwa paw, yeye hana hela na mie sina hela. Kumbe ukilalwa wewe haustareheki?
Nadhani hujanielewa, hebu fikiria mtoto wa kike hana hata shillingi ya kupanda daladala na wewe unamsumbua ati njoo unikute pahala au kwa kawaida mtoko wa kwanza lazima mtoto wa kike anunue chupi nyeupe. Hela hana, aidha atakataa kidiplomasia au itabidi ugharamie, usisahau tulivyo ving'ang'anizi. Wakati ukifall kwa unyayo wako (PAW) ni enzi hizo ambazo usingetuma sms.
 
Utatesa na ukimwi juu,usipende mteremko mtoto wa kiume shaurilo...
Kwani ndomu zimeisha ili mradi usitake nizame chumvini maana mpaka kesho hakuna ndomu ya ulimi. Baada ya Beijing ni zamu yetu kuhongwa na nyie kuhonga.
 
bora ungemchana kwa sms maana whatsap/jf atajifanya hana mb naona wengi humu hawapo haya malalamiko wangeshachange
 
Kwani ndomu zimeisha ili mradi usitake nizame chumvini maana mpaka kesho hakuna ndomu ya ulimi. Baada ya Beijing ni zamu yetu kuhongwa na nyie kuhonga.
Sasa huzami chumvini wa kazi gani,pesa yangu hupati bora babu ajilie chake bila kuibiwa...teh teh mkuu tuishie hapa naona topic inabadilika
 
Back
Top Bottom