Wewe **** tafta mtu wa kukufira.Mbona umepanic dada?
Haya wanaume wamekusikia watakua wanakuhonga,
🙂
Kwakweli, tunaojua hata hatushtukiPromo @ Work.
Wewe **** tafta mtu wa kukufira.
I wonder :OKwan lazima utoe ulichoombwa? Kiherehere chako ndo kinachokusurubu
Haya ni ya kweli mkuu. Tena yamenikumba binafsi kabisa yaniWanawake sikuhiz wamekua majasiri sana yan wengne ukiwaona watt wazuriii lakn mambo wanayoyafanya kama majambazi"
Tumewawezesha sanaa sasa naona wameweza wanataka kutupanda kichwani.
Ur income constraints ndio upelekea kuongea hivi umekurupuka jombaa unapaswa ujipange,huwezi kuhonga kaa pembeni,utakula vile vya wamama wa kihaya pale temeke,hata ukiwa na dushelele refu mpaka gotini bila mpungu you are nothing,Huo sio urijali ni ubwege,urijali hauko kwenye kupigwa mizinga,urijali uko kwenye kuitafuna mbunye.
Hata hivyo the strong eats the strong prey,simba au mbwa mwitu hawali msoga uliojifia,hao ni fisi,mimi ni simba sili ease prey kama mizoga.
Huo mfumo jike mmeuleta wenyewe mkatuzoesha msitafute mchawi ni nani,mmoja kama wewe ukikataa wengine mia wako tayari kuzama bila kuombwa...jumapili njema pia
Wa JF lazima watakuwa waoga.Kwa michambo tunayopewa daily hawawezi kuwa humu...au watakua wagumu sana sijui labda
We Dada unayeomba omba hela za watu humu acha basi,khaa
Kina dada this is too much, hata kama ni kupiga mizinga hii imezidi, hii sio mizinga sasa ni makombora ya masafa marefu,
Mtu hamjawahi kuonana mmekutana kwenye mitandao,mnapanga kukutana alafu muda mchacje kabla hamjakutana unaraise invoice ya ajabu ajabu,mara gari haina mafuta kama unaweza niwezeshe,mara sim imeharibika kama unaweza nisaidie niipeleke kwa fundi nije.
Unakubali vipi mtoko kwenda kuonana na mtu ambae hamjawahi kukutana huku gari haina mafuta..
Kwangu mimi kabla hatujaonana hata kumi sitoi, tukishaonana hata useme ndege imeisha mafuta natama hela za kijaza ndege wese.
mbavu zanguHa ha ha! Kweli ni promo!?Promo @ Work.
Idiot, acha wafu wazike wafu waoYou are deadly toxic as your ID states.
Naona unakamata fursa fastaaaFanya tuonane shehe wangu......Nina mazungumzo nyeti ya faragha sana.......
Usidhani akikuambia hivyo anakupnda anakupiga mzinga ili usimsumbue mie pia nikiona mtu msumbufu nampiga mzinga tena nyie mna bahati mnaombwa hamsini mie pesa hiyo Ni ya mafuta ya gari naweza kuimudu kuipata kwa cku naanza Na m . Ili usinijazie contact
Babu anapiga mzigo kiuhakika au mpaka atumie sildenafil, muhogo, korosho, parachichi, pweza nk!?Sasa huzami chumvini wa kazi gani,pesa yangu hupati bora babu ajilie chake bila kuibiwa...teh teh mkuu tuishie hapa naona topic inabadilika
Hahaha...ila kweli huku wadada wanasakamwa haswa.Mnajua wanaowapiga mzinga usikute hawapiti humu,mnakuja kulalamika huku haisaidii mwambie huko huko...humu kwa mnavyotusakama hivi bado kuna mtu anawaomba vihela vyenu tu...muwe mnawaambia huko huko bana
Mwingine ili muonane anakwambia umnunulie kwanza smart phone ndo muonane, yani ni shida.