Principle iko hivi:: MWANAMKE ANAEKUPENDA KWELI SIKU ZA MWANZO HUONA AIBU KUKUOMBA PESA, Ukiona mwanamke anakupiga mizinga ujue hajakupenda kabsaa, akija akikupenda jua ni hayo matunzo yako ndo yanayomuweka kwako, subiri apate mwenye pesa Zaidi yako au wewe ufilisike ndo utajua, Pamoja na hayo Nadhani lengo pia ni moja Kama wewe lengo lilivyo unamtongoza ukamgegede, au ukamtumie wacha na yeye akufaidi vihela vyako, Mana wengi mkitia mimba mnasepa na kuawaachia majukumu ya ulezi wenyewe, then mnarukia mwanamke mwengine, sasa hivi watawatumia sana, kama mnavyowatumia au kuwatumia kama daraja.