Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,969
- 55,989
- Thread starter
- #61
😂umestaafu?Haya mambo hayaaa! Ila mnaofuga wapenzi endeleeni tu na moyo huo huo
😂umestaafu?Haya mambo hayaaa! Ila mnaofuga wapenzi endeleeni tu na moyo huo huo
Sifanyi huo wendawazimu tena, nikishakula mzigo akitaka arudi asipotaka atokomee😂umestaafu?
X,,_fNilibakia na mawazo akilini yaliponikuta haya ila kwa kupewa mkasa kama uliowahi nitokea nikaona nipate mawazo ya wengi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mke kugongwa huna namna ya kuzuia,Pole yako huo sio ujanja,kumbuka nawe utajagongewa mke wako kama unavyomfanyia mwenzio ivyo
Kashaliwa au siyo?!!.