Kina dada kwanini msiyamalize wenyewe mnapotongozwa?

Kina dada kwanini msiyamalize wenyewe mnapotongozwa?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiona nakusimulia kutolewa dinner na mwanume mwingine au mwanaume alonitongoza inabidi ujiongeze tu. Yaani hapo nimeshindwa tu kukwambia kuwa mahusiano yangu nawe ni bora liende tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiona nakusimulia kutolewa dinner na mwanume mwingine au mwanaime alonitongoza inabidi ujiongeze tu. Yaani hapo nimeshindwa tu kukwambia kuwa mahusiano yangu nawe ni bora liende tu.
Asante umetufumbua macho, maana wengine wanasema ni ishara ya uaminifu
 
Kuna jamaa mmoja tulikua tunafahamiana ana mke mzuri sana,siku moja kama zali tukakutana sehemu nikamtongoza akaenda kumwambia mumewe jamaa akanitukana sana!

Ikapita kama miezi miwili nikabahatika kukutana naye tena nikamkumbushia tena suala langu,akanielewa vizuri na hakumwambia tena mumewe,sahivi najipigia vizuri tu kila nilitaka!
Tumbaaaaafu zako na robo.
 
Ukuona manyoya jua kashaliwa, hapo inategemea na seriousness katika huo uhusiano kama jamaa anajipigia tuu akaushe mpira pasi, chenga mbwembwe tuu
 
Mwanamke ambae hana interest na wewe ata make sure unaelewa vilivyo kua hakutaki kabisa na hatotaka anything to do with you, ukiona unamuita demu dinner amekubali kaza utakula mzigo tu.
 
Habari za weekend, natumaini mnaendelea vizuri.

Niende kwenye mada moja kwa moja, miaka ya nyuma kidogo nilikua na binti mmoja kwenye mahusiano ikafikia mahali akawa ananieleza kuwa katongozwa aidha na mtu ninayemfahamu ama kutomfahamu na haikuwa mara moja ananieleza jambo kama hilo, ilifikia mahali nikamwambia umri ulio nao una uwezo wa kujieleza kwa hao wanaokusumbua. Miezi kadhaa mbeleni tulikuja achana ila sababu haikuwa hiyo.

Jana nina rafiki yangu kakumbwa na kisa kinachofanana na hicho, ana binti ambaye ana uhusiano naye tena mchanga ndio hawana hata mwezi.

Kijana na binti wote ni waajiriwa japo kila mmoja sector tofauti na pia wapo mikoa tofauti, binti aliugua akaenda kumuona daktari baada ya tiba binti akaombwa namba akatoa kwa maelezo ya rafiki yangu.

Baada ya siku chache daktari akaomba appointment ya kumpeleka binti dinner binti akaenda, kwenye story mbili tatu binti akatongozwa kwa anavyosema binti akamueleza rafiki yangu.

Jamaa kakosa amani hadi sasa maana hajui undani wa kilichotokea, na ukitegemea wapo mbali mbali ila daktari na binti wapo wilaya moja.

Kwa visa hivyo je wadada mnadhani kutueleza kuwa mmetongozwa ni sahihi? kwa nini msiyamalize wenyewe? Mliowahi kukutana na haya mlichukuliaje.
Huwa wanafanya hivyo ili kuonesha kwamba wapo kwenye chati

Kiufupi ni utoto tu huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom