Mayor of kingstown
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,920
- 4,216
kiumbe pekee alie ongea na shetani live live wat do u expect [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanatak kukuonesha kuwa sokoni kuna high demand kwa hiyo usidhani ni wewe peke yako inayemtaka ili.usie ukaringa na kujivuna.Habari za weekend, natumaini mnaendelea vizuri.
Niende kwenye mada moja kwa moja, miaka ya nyuma kidogo nilikua na binti mmoja kwenye mahusiano ikafikia mahali akawa ananieleza kuwa katongozwa aidha na mtu ninayemfahamu ama kutomfahamu na haikuwa mara moja ananieleza jambo kama hilo, ilifikia mahali nikamwambia umri ulio nao una uwezo wa kujieleza kwa hao wanaokusumbua. Miezi kadhaa mbeleni tulikuja achana ila sababu haikuwa hiyo.
Jana nina rafiki yangu kakumbwa na kisa kinachofanana na hicho, ana binti ambaye ana uhusiano naye tena mchanga ndio hawana hata mwezi.
Kijana na binti wote ni waajiriwa japo kila mmoja sector tofauti na pia wapo mikoa tofauti, binti aliugua akaenda kumuona daktari baada ya tiba binti akaombwa namba akatoa kwa maelezo ya rafiki yangu.
Baada ya siku chache daktari akaomba appointment ya kumpeleka binti dinner binti akaenda, kwenye story mbili tatu binti akatongozwa kwa anavyosema binti akamueleza rafiki yangu.
Jamaa kakosa amani hadi sasa maana hajui undani wa kilichotokea, na ukitegemea wapo mbali mbali ila daktari na binti wapo wilaya moja.
Kwa visa hivyo je wadada mnadhani kutueleza kuwa mmetongozwa ni sahihi? kwa nini msiyamalize wenyewe? Mliowahi kukutana na haya mlichukuliaje.
We mfummue tu, hasara kwake aliyeoa mke mdangaji, we kula raha tu.Kuna jamaa mmoja tulikua tunafahamiana ana mke mzuri sana,siku moja kama zali tukakutana sehemu nikamtongoza akaenda kumwambia mumewe jamaa akanitukana sana!
Ikapita kama miezi miwili nikabahatika kukutana naye tena nikamkumbushia tena suala langu,akanielewa vizuri na hakumwambia tena mumewe,sahivi najipigia vizuri tu kila nilitaka!
Another school of thought1. Kukuambia anaweza kwa akili yake kuwa anajionyesha kwako kuwa wewe ndio mmiliki pekee anayekupa hilo tunda na maasi na kwamba wapo watu wengi wanalitamani kulila jinsi linavyovutia kwa macho na yeye anawakatalia kwa sababu kakuhifadhia wewe tuu. Hivyo anataka umuone kuwa yeye sii wa kispoti spoti ana thamani kubwa na anakuheshimu tuu wewe kukupa hiloo tunda si kwamba amekosa soko.
2. Wanawake wajinga ni wale ambao unamtokea kwa mara ya kwanza tiyari kashaatangaza kwa rafiki zake, ama ndugu zake ama watu unaofahamiana nao. Unakutana nao njiani utasikia fulani kakusalimia!!! ebo!! wamejuaje ukaribu wangu na yeye wakati tuliongea sirini nayeye!!?? nikikutana na li network la hivyo mkataba huishia hapo hapo
Hapa ni kujipa tu matumaini kuwa hakijatokea kitukiumbe pekee alie ongea na shetani live live wat do expect [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaichukuliaje kwa upande wakoWanatak kukuonesha kuwa sokoni kuna high demand kwa hiyo usidhani ni wewe peke yako inayemtaka ili.usie ukaringa na kujivuna.
Hii tendency wanayo wengi sana, mwingine hata hajatongozwa anajisifia tu.
Habari za weekend, natumaini mnaendelea vizuri.
Niende kwenye mada moja kwa moja, miaka ya nyuma kidogo nilikua na binti mmoja kwenye mahusiano ikafikia mahali akawa ananieleza kuwa katongozwa aidha na mtu ninayemfahamu ama kutomfahamu na haikuwa mara moja ananieleza jambo kama hilo, ilifikia mahali nikamwambia umri ulio nao una uwezo wa kujieleza kwa hao wanaokusumbua. Miezi kadhaa mbeleni tulikuja achana ila sababu haikuwa hiyo.
Jana nina rafiki yangu kakumbwa na kisa kinachofanana na hicho, ana binti ambaye ana uhusiano naye tena mchanga ndio hawana hata mwezi.
Kijana na binti wote ni waajiriwa japo kila mmoja sector tofauti na pia wapo mikoa tofauti, binti aliugua akaenda kumuona daktari baada ya tiba binti akaombwa namba akatoa kwa maelezo ya rafiki yangu.
Baada ya siku chache daktari akaomba appointment ya kumpeleka binti dinner binti akaenda, kwenye story mbili tatu binti akatongozwa kwa anavyosema binti akamueleza rafiki yangu.
Jamaa kakosa amani hadi sasa maana hajui undani wa kilichotokea, na ukitegemea wapo mbali mbali ila daktari na binti wapo wilaya moja.
Kwa visa hivyo je wadada mnadhani kutueleza kuwa mmetongozwa ni sahihi? kwa nini msiyamalize wenyewe? Mliowahi kukutana na haya mlichukuliaje.
Kachomwa sindano na dakitariKitendo cha nwanamke wako kupelekwa dinner na mwanaume mwingine ni kosa kubwa...kishapigwa dudu huyo
We mtoto hebu Rudisha simu ya mama tafafhali...utaharibikiwa humu hakukufai hukuna kina sisi tunaosemaga kwa Mama tupo kundi gan?!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nyie hamna shida mtakua mpo under 18na kina sisi tunaosemaga kwa Mama tupo kundi gan?!
😂 😂 😂
Sawa kaka 😎We mtoto hebu Rudisha simu ya mama tafafhali...utaharibikiwa humu hakukufai huku
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kukosa msimamo ndiko kunawaponzaMakosa ambayo yanatia mashaka kuhusu huyo binti:
1. Kwanini akubali appointment wakati anajua wazi anaenda kutongozwa?
Wanawake kwann wanajirahisisha hivyo wakati una mtu tayari
Sent using Jamii Forums mobile app
Natambua mwanamke kaumbiwa kutongozwa, ina maana kila siku una kazi ya kuelezwa kilichotokea kwenye mizunguko yake? Trust me unachoona ni njia anayokuaminisha nayo kuna sehemu anabanwa na hatokaa akuelezeMimi napenda ambiwa kila kitu kinachoendelea kwenye maisha ya mpenzi wangu, sio utoto ila inamjengea kuniamini na kuwa huru kuongea chochote kinachomzunguka!.
Kwa kumbana kwamba asikwambie baadhi ya vitu vinavyomzunguka itabidi tuulize atajuaje lipi ni muhimu na lipi si muhimu kukwambia mwandani wake?.
Mpenzi wako kukwambia vitu ni jukumu lake sawa na kuamua mwenyewe baadhi ya vitu lilivyo jukumu lake!.