tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,399
- 4,732
Yapi yamefanyiwa harambee mkuu? Pasco ana hoja hapa.Huu ni ochonganishi, Yule ni kiongozi wa taasisi muhimu inchini na chini yake wako watendaji wengi, majanga na ajali nchi hii hayajaanza jana wala leo, tumeona ajali na majanga ya mafuriko, tumeona ajali za Sepide etc, hapa naona mnatafuta lawama kwa kuwa tukio limetokea kanda ile ili badaye mseme, Mods naomba mfute Uzi huu.
