Kimya Hiki, Is Not Right!, There Must Be Something Wrong Somewhere! Or Am, I Wrong!?

Kimya Hiki, Is Not Right!, There Must Be Something Wrong Somewhere! Or Am, I Wrong!?

Kimempanda nini!

Mama yule alituonya kwa vitendo tutafanya shingo Ngumu oneni sasa.

Yule mama hapa lawama hana.

Yule mama ali stay back...sisi tukawa wazembe kutambua Abigail alikuwa anamaanisha nini

Poor Us
 
Au anasubli kumtumbua mtu atakaye chezea pesa za wahanga.
 
Kimya kingi mshindo mkuu, pengine anajipanga kuwafanyia kitu kikubwa sana watu wa Kagera!!

But mmmmmh.... Inatia shaka sana!!
 
haya ataongea weekend hii ili ampunguze maumivu ya watu ni kazi kumwelewa binadamu anataka nini na kwa wakati gani kwa ufupi hapa watu wanatafuta wapi watalalamikia ni roho za malalamishi ndizo tunazozibeba sasa kanyamaza bado mnamtafuta mwende weekend na malalamiko haya ataongea.najaua anapitahumu na kuna uwezekano baadhi ya hoja anajibu kama mchangiaji mwingine sasa brother ongea tafadhari tujitafutie stress za weekend hatuna hela ya bia angalau tukikulaumu masaa yanakwenda.(tafadhari msinibebe mahakamani natania tu).
 
Mkuu Pasco;
Usiogope kimya hiki kwa sababu, kulikuwa hakuna jinsi. Kule kwenye kapu la mama kulikuwa hakuna kitu. Misanyo mlosikia si ilikuwa ni namba tu?? Huwezi sanya bila cha kukamata. Meli zilishapoteaga njia na kwenda kwa jirani zenu. Kule magharibi walishaamua kutumia fukwe zingine za kule kule magharibi kusini. Hivyo, mlivyoambiwa kuwa wavunaji ati wameingiza matrili ujue ilikuwa hekaya za Abunuwasi tu. Maulana kawaumbua kwa kisanga kidogo tu. Mkoa mmoja ukatikiswa.
Kavunja safwari buwanaa asieleweke vibaya. Sasa kina Mo na Meng & Co weshamjaza atatokezea tu. This week end tarajia tamko rasmi jinsi ya kuyadhibiti matetemeko.
 
Wahenga wanasema "kimya kingi kina mshindo" haya pengine kuna mshindo unakuja.

Au hali ya hewa mbaya flu za siki hizi ni kali hata mimi nimebanwa wiki mbili sasa
 
Sema mwenyewe kinasemaje kama sio chuki tu zimekujaa
Tatizo ni akili yako ngumu kuelewa. Nimeuliza hivyo kwa maana imekuwaje hakuonekana akimwapisha Dau??

That was the point behind all this!! Sasa kusema nina chuki na Dau ni upuzi mtupu. Najua unalenga kwenye udini mimi huko sipo na wala sijawahi kucomment kwa hiyo misingi. Binafsi simfahamu Dau zaidi ya kumsikia humu mitandaaoni!!
 
Wajemeni,

Tangu kutokea kwa tetemeko la ardhi bukoba Tanzania, kuna sauti fulani ilipaswa kusikika, lakini hadi leo hii ni siku ya 7 sauti hiyo bado haijasikika kusema lolote au kuonekana popote kuhusiana na tukio hili!.
Hali hii sii ya kawaida na kimya hiki sii cha kawaida ambako pia kutokuonekana popote eneo la tukio au kutokulizungumzia lolote akiwa popote sii kawaida! . Jee kuna nini au nini kimemsibu? !.

Kwa maoni yangu, lilipotokea tuu, mimi miongoni mwa tuliotaraji kusikia neno moja tuu kutoka kwake, na roho zetu zingeponywa, ila mpaka leo ni kimya kabisa!. Nadhani kimya hiki sii bure, hivyo kunauwezekano huu ukimya lazima kuna jambo!, tena sii dogo ni kubwa ila labda hatuambiwi! .

Swali la msingi ni jee tuna haki kuhoji kulikoni?!, au kuuliza atafanya nini?!. Mbona hajaongea au hata kuonekana tuu bila hata kuongea? !.

Kimya hiki, is not right!, could there be something wrong somewhere somehow?!. Jee hii ni kawaida?!, au mimi ndio niko wrong kuulizia jambo ambalo there is nothing wrong?!.

Japo statement ilitolewa, statement ni statement na kauli ni kauli, zingekuwa statement tuu zinatosha, kusingekuwa na sababu watu kuhudhuria misiba, tungekuwa tunatuma tuu salamu za pole na zikatosha!.

Watu tunashauku ya kusikia sauti, tunataka kusikia kauli kwa masikio yetu na kuona kwa macho yetu na sio kutolewa tuu kauli ya maandishi ya salamu za rambi rambi, au pole za maandishi pekee!. Pole ya sauti huku mtu akionekana inafaraja zaidi kuliko salamu za rambi rambi ya maandishi pekee!.

Jee wale wenzangu na mimi mmenielewa?, au mmetosheka?, mmeridhika na kimya hiki? , and is it right?!.

NB.
Uzi huu is meant kwa ma GT tuu wa humu jf. Wewe kama sio GT, nakuomba tafadhali sana usichangie chochote uzi huu kwa sababu is not ment for you!.

Great mind discuss ideas, ordinary minds discuss events na simple mind discuss people! .

Hili sio bandiko la kudiscuss people bali ideas kuwa ukimya huu is it normal? , is right? or could there be something wrong somewhere?!.

Kipimo cha kwanza cha wewe kujipima if you are GT or not ni iwapo utajiuliza kimya cha nini na kimya cha nani kuhusu tetemeko la ardhi lilotokea Bukoba.

Ukijiuliza tuu maswali hayo, jihesabu you are not, hivyo please just jisomee tuu bandiko hili na ujipitie zako bila kuchangia chochote!.

Ma GT, wa humu jf, wanajua ni nani bila hata kuuliza na subject matter ya bandiko hili sio people, sio event bali ideas kuhusu conduct kuhusiana na tukio lenyewe! .

Hivyo nashauri, hata ilitokea wewe kuwa you are not a GT, I beg you, please jifanye kama you are a GT kwa kutotaja jina lolote la mtu yoyote humu wala sio kuzungumzia event ya mafuriko, bali kwa kuzungumzia the idea ya huu ukimya, if kimya hiki ni right, why is it right?, lakini kama kimya hiki is not right, why is it not right?!.

Nawatakia Furahi Dei Njema.

Pasco
Note 1.
Pasco wa JF sio GT, na ndio maana hatathubutu kuchangia lolote katika uzi huu bali mwisho wa uwezo wake ni kupandisha tuu bandiko hili kwa ajili ya ma GT wetu humu jf! .

2.Sababu za kuomba tusitaje taje majina ni kufuatia kufunguliwa kwa kesi nyingi kuhusiana na freedom of expression katika mitandao ya kijamii. Tumeshuhudia mtu ana ji express feelings zake kuhusu mtu fulani anafunguliwa mashitaka ya kumdhalilisha mtu! .

Mfano inawezekana kabisa jamaa akawa yuko very wrong, ukisema fulani is wrong unaweza kushangaa kesho unaambiwa ulimtukana fulani etc. etc., hivyo kwenye discussion za great minds hakuna haja ya kutaja taja majina! .
Pasco
Pasco nahisi kuna wakati tunamsingizia mtu.Mbona mwenyewe sijamsikia akisema asitajwe ovyo.
Nyapara ni mkali na katili kuliko askari jela.
 
Mkuu anacheza vizuri sana karata zake
Baada ya mwaka mmoja lazima apime popularity rating ipo juu
Hii ni mugabe style,unapotea hadi watu anakutamani,ukiibuka unatumbua hadi 2020 kura 90%
 
Yaani bwana pasco umeongea wee.. aafu design kama umeweka kamtego kakuwaacha wenzio waende kisutu ilhali wewe unacho cha kujitetea
 
Kwa wale mnaohoji kuhusu ushiriki JPM janga la MAAFA ya KAGERA subirini mshangae jinsi kiongozi huyu mahiri africa atavyowashangaza Watanzania.

Kumbukeni huyu ni mwanasayansi si mwanasiasa. Hapendi uongo na kudanganya watu kwa kujitokeza haraka haraka na kutoa ahadi za uongo. Yeye hufanya kazi zake kwa takwimu na kwa umakini akitanguliza maslahi ya wengi mbele na maslahi yake huyaa acha mbali kabisa.

Wanakagera VUTENI SUBIRA MTAFURAHI sana kipindi kifupi kijacho. Poleni kwa yote mnayopitia kwa sasa. Serikali yetu ni moja na watu wetu ni wa moja. Shida zenu ndio zetu.

Mungu awape uvumilivu muuvuke mtihani huu.

Wenu M2020.
Hapa kazi tu.
Alituhaidi kutuonesha Salary Slips zake akiwa Chato...alizionesha!?
 
Back
Top Bottom