Kimya Hiki, Is Not Right!, There Must Be Something Wrong Somewhere! Or Am, I Wrong!?

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,442
113,452
Wajemeni,

Tangu kutokea kwa tetemeko la ardhi bukoba Tanzania, kuna sauti fulani ilipaswa kusikika, lakini hadi leo hii ni siku ya 7 sauti hiyo bado haijasikika kusema lolote au kuonekana popote kuhusiana na tukio hili!.
Hali hii sii ya kawaida na kimya hiki sii cha kawaida ambako pia kutokuonekana popote eneo la tukio au kutokulizungumzia lolote akiwa popote sii kawaida! . Jee kuna nini au nini kimemsibu? !.

Kwa maoni yangu, lilipotokea tuu, mimi miongoni mwa tuliotaraji kusikia neno moja tuu kutoka kwake, na roho zetu zingeponywa,
Mhe. Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli, "Sema Neno Moja Tuu, na ...
ila mpaka leo ni kimya kabisa!. Nadhani kimya hiki sii bure, hivyo kunauwezekano huu ukimya lazima kuna jambo!, tena sii dogo ni kubwa ila labda hatuambiwi! .

Swali la msingi ni jee tuna haki kuhoji kulikoni?!, au kuuliza atafanya nini?!. Mbona hajaongea au hata kuonekana tuu bila hata kuongea? !.

Kimya hiki, is not right!, could there be something wrong somewhere somehow?!. Jee hii ni kawaida?!, au mimi ndio niko wrong kuulizia jambo ambalo there is nothing wrong?!.

Japo statement ilitolewa, statement ni statement na kauli ni kauli, zingekuwa statement tuu zinatosha, kusingekuwa na sababu watu kuhudhuria misiba, tungekuwa tunatuma tuu salamu za pole na zikatosha!.

Watu tunashauku ya kusikia sauti, tunataka kusikia kauli kwa masikio yetu na kuona kwa macho yetu na sio kutolewa tuu kauli ya maandishi ya salamu za rambi rambi, au pole za maandishi pekee!. Pole ya sauti huku mtu akionekana inafaraja zaidi kuliko salamu za rambi rambi ya maandishi pekee!.

Jee wale wenzangu na mimi mmenielewa?, au mmetosheka?, mmeridhika na kimya hiki? , and is it right?!.

NB.
Uzi huu is meant kwa ma GT tuu wa humu jf. Wewe kama sio GT, nakuomba tafadhali sana usichangie chochote uzi huu kwa sababu is not ment for you!.

Great mind discuss ideas, ordinary minds discuss events na simple mind discuss people! .

Hili sio bandiko la kudiscuss people bali ideas kuwa ukimya huu is it normal? , is right? or could there be something wrong somewhere?!.

Kipimo cha kwanza cha wewe kujipima if you are GT or not ni iwapo utajiuliza kimya cha nini na the motive behindi kimya hiki, ujijue wewe ni GT, lakini ukijiuliza ni kimya cha nani kuhusu tetemeko la ardhi lilotokea Bukoba, ujijue wewe ni mwenzangu na mimi.

Ukijiuliza tuu maswali kimya cha nani, jihesabu you are not, hivyo please just jisomee tuu bandiko hili na ujipitie zako bila kuchangia chochote!.

Ma GT, wa humu jf, wanajua ni nani bila hata kuuliza na subject matter ya bandiko hili sio people, sio event bali ideas kuhusu conduct kuhusiana na tukio lenyewe! .

Hivyo nashauri, hata ilitokea wewe kuwa you are not a GT, I beg you, please jifanye kama you are a GT kwa kutotaja jina lolote la mtu yoyote humu wala sio kuzungumzia event ya tetemeko, bali kwa kuzungumzia the idea ya huu ukimya, if kimya hiki ni right, why is it right?, lakini kama kimya hiki is not right, why is it not right?!.

Nawatakia Furahi Dei Njema.

Paskali
Note 1.
Paskali sio GT, na ndio maana hatathubutu kuchangia lolote katika uzi huu bali mwisho wa uwezo wake ni kupandisha tuu bandiko hili kwa ajili ya ma GT wetu humu jf! .

2.Sababu za kuomba tusitaje taje majina ni kufuatia kufunguliwa kwa kesi nyingi kuhusiana na freedom of expression katika mitandao ya kijamii. Tumeshuhudia mtu ana ji express feelings zake kuhusu mtu fulani anafunguliwa mashitaka ya kumdhalilisha mtu! .

Mfano inawezekana kabisa jamaa akawa yuko very wrong, ukisema fulani is wrong unaweza kushangaa kesho unaambiwa ulimtukana fulani etc. etc., hivyo kwenye discussion za great minds hakuna haja ya kutaja taja majina! .
Paskali.
Update
Wanabodi, hatimaye kimya kimerushwa na neno limesemwa ila sio tuu na roho zetu zimeponywa bali nimejiridhisha pasi shaka kuwa Mhe. Rais wetu mpendwa Mhe Dr John Pombe Joseph Magufuli anasoma jf, kwenye mazungumzo yake nimemsikia akizijibu hoja za jf kiaina, hivyo wana JF, tuitumie jf more responsibly tukitaka kumfikishia ujumbe rais wetu, wee njoo tuu jf kwa kupost humu jf hoja yako na itamfikia Mhe. rais na majibu utayapata kama mimi nilivyomsikia kwa masikio yangu mwenyewe jinsi akijibu hoja za jf japo katika majibu hayo hakusema anaijibu jf.

Naomba kuchukua fursa hii kuushukuru uongozi wa JF ambao umetoa uhuru mkubwa wa kutoa maoni humu jf hadi kupata a direct forum ya kumwambia chochote rais wetu na akatujibu.

Paskali
 
Wajemeni,
Tangu kutokea kwa tetemeko la ardhi bukoba Tanzania, kuna sauti fulani ilipaswa kusikika, lakini hadi leo hii ni siku ya 7 sauti hiyo bado haijasikika kusema lolote au kuonekana popote kuhusiana na tukio hili!.
Hali hii sii ya kawaida na kimya hiki sii cha kawaida ambako pia kutokuonekana popote eneo la tukio au kutokulizungumzia lolote hili akiwa tukio popote sii kawaida! . Jee kuna nini au nini kimekusibu? !.

Kwa maoni yangu, kimya hiki sii bure, lazima kuna jambo!, tena sii dogo ni kubwa ila hatuambiwi! .
Jee tuna haki kuhoji au kuuliza?!.

Kimya Hiki, Is Not Right!, There Must Be Something Wrong Somewhere?!, Jee hii ni kawaida au mimi ndio niko wrong kuulizia jambo ambalo there is nothing wrong?!.

Japo statement ilitolewa, statement ni statement na kauli ni kauli, zingekuwa statement tuu zinatosha, kusingekuwa na sababu watu kuhudhuria misiba, tungekuwa tunatuma tuu salamu za pongezi na zikatosha!.

Watu tunashauku ya kusikia sauti, tunataka kusikia kauli kwa masikio yetu na kuona kwa macho yetu na sio kutolewa tuu kauli ya maandishi ya salamu za rambi rambi, au pole za maandishi pekee!. Pole ya sauti huku mtu akionekana inafaraja zaidi kuliko salamu za rambi rambi ya maandishi pekee!.

Jee wale wenzangu na mimi mmenielewa?, au mmetosheka?, mmeridhika na kimya hiki? , and is it right?!.

NB.
Uzi huu is meant kwa ma GT tuu wa humu jf. Wewe kama sio GT, nakuomba tafadhali sana usichangie chochote uzi kwa sababu is not for you.

Great mind discuss ideas, ordinary minds discuss event na simple mind discuss people! .

Hili sio bandiko la kudiscuss people bali ideas kuwa ukimya huu is it normal? , is right? or there is something wrong somewhere?!.

Kipimo cha kwanza cha wewe kujipima if you are GT or not ni iwapo utajiuliza kimya cha nini na kimya cha nani kuhusu tetemeko la ardhi lilotokea Bukoba.

Ukijiuliza tuu maswali hayo, jihesabu you are not, hivyo please just jisomee tuu bandiko hili na ujipitie zako bila kuchangia chochote ! .

Ma GT, wa humu jf, wanajua ni nani bila hata kuuliza na subject matter ya bandiko hili sio people, sio event bali ideas kuhusu conduct kuhusiana na tukio lenyewe! .

Hivyo nashauri, hata ilitokea wewe kuwa you are not a GT, I beg you, please jifanye kama you are a GT kwa kutotaja jina lolote la mtu wala kuzungumzia event bali kwa kuzungumzia if kimya hiki ni right, why is it right?, lakini kama kimya hiki is not right, why is it not right! .

Nawatakia Furahi Dei Njema.

Pasco
Ushauri wangu inabidi tuizowee tu hii hali hatuna namna nyingine
 
Yule balozi wa kwenda ile nchi yenye twin towers zilizowahi kuwa the tallest buildings in the world kaapishwa lini?
 
Waziri mkuu si alishawakilisha Kagera? ikumbukwe Tanzania ina majanga kila siku tena ni mengi mno. sasa huo ukimya mnao question mngependa mtu ajigawanye mara ngapi? jipe mfano wewe na familia yako, ni mara ngapi mmeweza kuwepo kwenye tukio wote kwa pamoja iwe msiba, sherehe, kuona mgonjwa N.K? mimi nahisi Pasco unalo unalolitafuta au unalo unalojua na kama unalo unalojua basi kufwa free ku share nasi. After all sharing is caring. Sambaza upendo mkuu.
 
Huu ni ochonganishi, Yule ni kiongozi wa taasisi muhimu inchini na chini yake wako watendaji wengi, majanga na ajali nchi hii hayajaanza jana wala leo, tumeona ajali na majanga ya mafuriko, tumeona ajali za Sepide etc, hapa naona mnatafuta lawama kwa kuwa tukio limetokea kanda ile ili badaye mseme, Mods naomba mfute Uzi huu.
 
Back
Top Bottom