Kimya Hiki, Is Not Right!, There Must Be Something Wrong Somewhere! Or Am, I Wrong!?

Kwa vile yuko Chato, naamini this time at afika Bukoba kutoa pole, kuwafariji wahanga na kushuhudia kwa macho yake.

Paskali
 
Too late the hero; shauku, matumaini na matarajio vyote "vimeshakufa"; pamebaki kukata tamaa, hasira za chinichini na maswali mengi yanayofanana na swali lako; je kulikoni? Kuna kitu hapa?! Tumekosea wapi?! Nk nk!! Wamarekani katika majanga ya aina hiyo wanatarajia na wanauhakika kwamba Rais wao; awe mbinguni, mwezini, Siberia au kokote kule ni lazima atakatiza safari au kazi yoyote iwayo kwenda kuwapa pole raia wake; wawe Democrats, Republican, Atheists, Transgender au Gays; atakwenda kuwaona na kuwaliwaza; no wonder anaitwa C I C; sio Comander In Chief bali CONSOLER IN CHIEF; mfariji mkuu! Kwetu Tanganyika kumetokea nini!? Hata Uhuru Kenyatta responded very very proactively and expeditiously kwenye janga hilo hata kama hakufika physically yeye mwenyewe; Kulikoni?!
 
Kwa vile yuko Chato, naamini this time at afika Bukoba kutoa pole, kuwafariji wahanga na kushuhudia kwa macho yake.

Paskali
Mkuu paskali yani kweli kaenda msiba wa mtu m1 lakini msiba wa watu 11 wa tetemeko la ardhi hajaenda mpaka leo, do we really have a leader?
 
Natafakari tuu response kwenye tetemeko la ardhi Bukoba na kwenye hili janga la kuzama Kivuko cha MV Nyerere, kiukweli people are changing for the better, japo kuna watu walipaswa kuhudhuria mazishi ya kitaifa with no excuse, lakini this time, angalau sauti za pole zimesikika, kwenye tetemeko hata pole ya sauti haikutolewa, hivyo tushukuru kwa mabadiliko chanya, kufikia 2025, mtawashuhudia watu wakihudhuria misibani in person na sio kutuma wawakilishi.
RIP waliopoteza maisha ajali ya kivuko.

P.
 
Ajali ya kivuko (asilimia nyingi ni makosa ya kibinadamu) imetokea nyumbani,wanatakiwa kuangaliwa kwa macho ya huruma(aliwahi kusema hivo kwa watu wa Mwanza). Kagera ilikuwa ni majanga ya asili,ndo maana jumuiya za kimataifa waliitika mno,lakini ilipita panga na kejeli juu.
 
Wajameni, hata kwa hii sintofahamu inayoendelea sasa, jee hata kama amejipumzikia zake weekend, kuna haja kuikatisha weekend yake aibuke na aseme neno moja tuu na roho zetu zitaponywa au tusubirie tuu, hadi kesho Jumapili pale kanisani St. Peter's katika ibada yake ya kawaida ya Jumapili?.
P
 
Kiukweli ni muhimu kutoa taarifa kama kuna jambo lolote ambalo sii la kawaida au kama kuna hali yoyote isiyo ya kawaida, taarifa itolewe ili kama kuna watu wa msaada, tujitoe kusaidia, mfano mimi hapa saa hizi niko Bariadi, jirani kabisa na kijiji cha wazee wa kazi wa kijiji cha Gambosh, kama kuna tishio lolote la jambo lolote lisemwe tuu watu fasta tuwapandie wale wazee wa Gambosh, warekebishe na kuweka mambo sawa.

Mkuu una VISA ya kuingilia huko?
 
Wajameni, hata kwa hii sintofahamu inayoendelea sasa, jee hata kama amejipumzikia zake weekend, kuna haja kuikatisha weekend yake aibuke na aseme neno moja tuu na roho zetu zitaponywa au tusubirie tuu, hadi kesho Jumapili pale kanisani St. Peter's katika ibada yake ya kawaida ya Jumapili?.
P
..khaaa!! ibada tena!? Mbona aya mambo yanachanganya ivi kuna nini kimetokea nchi hii ebu mtujuze sie wanyonge
 
Kiukweli ni muhimu kutoa taarifa kama kuna jambo lolote ambalo sii la kawaida au kama kuna hali yoyote isiyo ya kawaida, taarifa itolewe ili kama kuna watu wa msaada, tujitoe kusaidia, mfano mimi hapa saa hizi niko Bariadi, jirani kabisa na kijiji cha wazee wa kazi wa kijiji cha Gambosh, kama kuna tishio lolote la jambo lolote lisemwe tuu watu fasta tuwapandie wale wazee wa Gambosh, warekebishe na kuweka mambo sawa.
P

Hivi PASKALI hata wewe umeshindwa kubaini kinachoendelea??
Hivi pamoja na ugamboshi wenu mlishindwa kubaini madhara ya kujimwambafy na kupigiwa pigiwa magoti kuombwa msamaha??
Mimi nilifundishwa kuamini kuwa adui yako ni adui yako tu atakama atageuka kuwa rafiki!!
 
Wajameni, hata kwa hii sintofahamu inayoendelea sasa, jee hata kama amejipumzikia zake weekend, kuna haja kuikatisha weekend yake aibuke na aseme neno moja tuu na roho zetu zitaponywa au tusubirie tuu, hadi kesho Jumapili pale kanisani St. Peter's katika ibada yake ya kawaida ya Jumapili?.
P
Wew huijui gamboshi wew mm ndipo nimoa mke wangu wew unasimuliwa tu
 
Gambosh hatuingii kwa viza, inafanyika tuu distant screening, kama huna any traces za vinasaba vya Ngwa'na Malundi, huwezi kuona kitu, utaona msitu tuu.
P
Mkuu habari ya leo, Sijaona uzi wa kutulea mrejesho wa kongamano la mafuta na gesi lililofanyika tarehe 3.

Wewe ndie unatupa habari za moja kwa moja na huwa unatuwakilisha huko.
 
Back
Top Bottom