Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,204
- 128,020
Ulisoma shule gani pale Ipogoro?Tufanye utafiti wa namna ya kupata umeme wa ndumba.
Tukiwa primary 1970s yule mwanamazingaombwe muhindi alikuwa anatengeneza umeme kiuchawi!
Ulisoma shule gani pale Ipogoro?Tufanye utafiti wa namna ya kupata umeme wa ndumba.
Tukiwa primary 1970s yule mwanamazingaombwe muhindi alikuwa anatengeneza umeme kiuchawi!
Tunaochoka ni sisi raia. Wao wana standby generators. Na kupitia hiyo changamoto wao wanapata pesa.Sanaaa
Acha wafanya watakavyo mpaka wachoke wenyewe
Maana hakuna jinsi
Ova
Kalemani alichukua hatua mapema sana na hapakuwa na tatizo la ukubwa kama uliopo sasaHuyu ni Waziri wa 3 tatizo liko pale pale, hata kama ni dhaifu lakini January amelikuta.
You are very bright. Alipewa kishkaji kazi na jk kwa mgongo wa baba yake na kina lowasa enzi zile. Sasa anajiona ni presidential material kuliko hata VP wala PM.Hana weledi na uzoefu. Kwa kupendelewa kaanzia kazi ikulu baada ya chuo. Alipewa kishikaji kazi enzi za jk. Tangu hapo anajiona presidential material na huku uwezo hana.
Khaaa!! Ye mwenyewe kakujibu anakuambia mitambo inatengenezwa. Kisha unauliza tena
Nakuunga mkono, huyu waziri anavisingizio vingini visivyo na mantiki yoyote.
Suala ni kwamba mtoto wa 'elites' hakosei, kapelekwa pale kwa mbereko za baba yake ili kufanikisha biashara zao.
Eti anahujumiwa, wakati anaingia na mbwembwe za kufukuza aliowakuta kwa kuwatweza alifikiri ana akili sana na kwamba hakujua kwamba tangu 2016-Machi 2021 umeme haukuwahi kukaktika kijinga bila taarifa zozote?
Hakuna anayehujumu chochote isipokuwa jwamewekwa pale wasio na weledi wa kazi zaidi ya kuchimbua ni kwanini waliokuwepo walikuwa wanafanikiwa wameshindwa kupata jibu.
Huyo waziri aondoke kama hataki kjiuzulu basi asubiri kulengeshwa kwenye kashfa ambayo atajuta ni kwanini alikubali kupokea jukumu asiloliweza. Ukiingiza siasa kwenye kazi huwezi kufanikiwa kamwe
Wenyewe kina nani na sisi ni akina nani? Acha unyonge wewe, nchi ni yetu sotenchi ipo kwa wenyewe hata mpige kelele vipi haitasaidia
Acheni wivu ninyi sukuma gang. Thibitisha kauli yako hii ya kifedhuli kwa kuleta ushahidi hapa.Hakuna wizara iliyoongozwa na January ikafanikiwa, huyu dogo anachojua ni kutengeneza michongo ya kupiga tu.
Waziri Makamba yupo vizuri sana, tatizo lipo kwa baadhi ya watendaji wa TANESCO, wapo wanao jiona mingu watu yaani wanajifanya hawakamatiki!!Waziri mwenyewe jipu. Badala ya kutembelea miradi ya umeme anatembelea arabuni.
Mama anachohangaika nacho kwa sasa ni kuchaguliwa 2025, hivyo kuna watu wamewekwa kwa ajili ya kutafuta pesa za uchaguzi mkuu.Hakuna wizara iliyoongozwa na January ikafanikiwa, huyu dogo anachojua ni kutengeneza michongo ya kupiga tu.
TANESCO inapaswa ifumuliwe yote, inaonekana baadhi ya watumishi wa Tanesco wanaihujumu Serikali, hivyo waziri na watendaji wake watupie jicho kila kona ya Tanesco
Ndiyo
Wakina karamagi na msabaha wamelud tenaIla yule Mwamba katika kitu nilichomkubali ni Kuwanyoosha TANESCO miaka mitanio bila giza.....mbake...sasa tunarudi kule kule kwa Ngeleja