Kimeumana Bungeni! Spika Ndugai ahoji kama kuna mgao wa umeme nchini

jaap

JF-Expert Member
Dec 25, 2018
1,761
2,000
Wamechelewa. Magu alishatupa siri zote za migao ya umeme. Nilisema hii nchi atakayekuja kuongoza baada ya Magu atapata shida sana. Walikosea sana kumpa mtu nchi ambaye sio mwanasiasa.
Symbioni, Agreco sasa hivi watatuletea majenereta yao yali makubwa kama kontena kwaajir ya kutu uzia umeme unit Kwa shilingi 800
 
UHURU JR

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
13,162
2,000
Nchi inaongozwa na wajanja sasa hivi, maana tulikuwa tunaambiwa nchi inaongozwa na mshamba.
 
Mwambwaro

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
2,001
2,000
Hili shirika liendwshwe kwa hisa Kama ilivo kwa vilabu vyetu simba na yanga wangetenga asilimia 51% ya serekali alafu 49% alafu apewe mwekezaji mkubwa wa ndan Kama bakresa HIV
 
Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
65,041
2,000
Tufanye utafiti wa namna ya kupata umeme wa ndumba.

Tukiwa primary 1970s yule mwanamazingaombwe muhindi alikuwa anatengeneza umeme kiuchawi!
Basi siku zote nilikuwa najua wewe ni kijana mdogo.... yaani tineja aliyetoka kubalehe

Kumbe mtu mzima kabisa.... Sijui tatizo litakuwa wapi maana nilijua tatizo lako nj umri kumbe sio...
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
50,896
2,000
Basi siku zote nilikuwa najua wewe ni kijana mdogo.... yaani tineja aliyetoka kubalehe

Kumbe mtu mzima kabisa.... Sijui tatizo litakuwa wapi maana nilijua tatizo lako nj umri kumbe sio...
Hahahaaaa....... Tukiwa wadogo hapo Ufipa palikuwa na msufi bwashee!
 
Micho

JF-Expert Member
Apr 12, 2009
545
500
Ohh mabwawa maji yamepungua

Sasa inabidi tutumie mitambo tuzalishe umeme😂

Soon utasikia hiyoo

Ova

Mkuu hisia zako zinakaribia ukweli usiopingika…

Hapo mpira ndio umepigwa uwanjani kiaina...soon board itakuja na mkeka uliosheheni makombora ya kufa mtu…na ninavyojua bunge letu mambo yatapitishwa bila kupingwa…Yaani ni maumivu mwanzo mwisho…
 
MTAZAMO

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
16,829
2,000
Wakati ni jambo jema sana. Hii wizara itamshinda January mapema sana. Umeme ndani ya muda mfupi umeanza kuwa bidhaa hadimu! Unfortunately anatoa sababu za kijinga kutaka kulaumu wenzake.
 
Micho

JF-Expert Member
Apr 12, 2009
545
500
Hana weledi na uzoefu. Kwa kupendelewa kaanzia kazi ikulu baada ya chuo. Alipewa kishikaji kazi enzi za jk. Tangu hapo anajiona presidential material na huku uwezo hana.

Shida haijui huyu…halafu anapambana ili aongoze maskini…
 
MTAZAMO

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
16,829
2,000
Tayari demand ya ma generator imeanza kurejea kwa kasi! Huku maji wengine ni mwezi mzima hatujapata maji hata tone. Kuna mambo yanahitaji wendawazimu kuyaelewa.
 
Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
48,417
2,000
Sasa mjomba Magu si alibana mianya yote ya wapigaji...

Lakini sasa msikilize bwana January anakwambia miaka mitano mitambo ilikuwa haizimwi kupisha kufanyiwa matengezo ya lazima (uongo mweupe kabisa...)
Kwamba scheduled maintanance haikufanyika ila mitambo haikuharibika na ilifanya kazi kwa ufanisi wa hali ya juu😂 ila kwa sasa inafanyiwa maintanance hali ya kuwa haijaharibika?

Hahahah hii awamu hii itakuwa na vioja vya aina yake.
 
mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
59,555
2,000
Mkuu hisia zako zinakaribia ukweli usiopingika…

Hapo mpira ndio umepigwa uwanjani kiaina...soon board itakuja na mkeka uliosheheni makombora ya kufa mtu…na ninavyojua bunge letu mambo yatapitishwa bila kupingwa…Yaani ni maumivu mwanzo mwisho…
Itabd ile mitambo iwashwe kuwauzia T umeme

Tutakwenda huko tu

Sema kila tawala ina style zake

Ova
 
mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
59,555
2,000
Kwamba scheduled maintanance haikufanyika ila mitambo haikuharibika na ilifanya kazi kwa ufanisi wa hali ya juu😂 ila kwa sasa inafanyiwa maintanance hali ya kuwa haijaharibika?

Hahahah hii awamu hii itakuwa na vioja vya aina yake.
Soon tutawasha mitambo ya pale UB

😂😂

OVA
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom