Kimeo

Kimeo

Mkuu pole aiseee hahahah
Kuna dada moja aliwakupiga kojo kitandani alafu tuko ugenini. Asubuhi namwamsha afue mashuka kabla wenyewe hawajaamka akataka kuwa mbish. Baadae alifua tukageuza godoro.

Wakati anafua mwenyeji akauliza mbona hivyo. "Mimi nikawahi kusema kuwa nikilala kwa watu huwa nahakikisha naacha katika hali ya usafi sitaki kuwapa walinzi wa nyumba kazi ya kufua mashuka".

Toka siku hiyo sikutaka kumuona huyo mdada

God save us

am better here
 
Hii stori yako ingekuwa ya kweli na mimi ngetoa ushuhuda wangu. Ila kwa vile ni changamsha genge a.k.a chai ngoja nikaushe.
Vipi yule jamaako alo kutia mandole akahairisha game alikuja tena au ulimpotezea?
 
Iii ni kweli mkuu mshkaji hakuludi tena ndo badala yake nkampata uyu alielimwaga uck loooh.....
Hii stori yako ingekuwa ya kweli na mimi ngetoa ushuhuda wangu. Ila kwa vile ni changamsha genge a.k.a chai ngoja nikaushe.
Vipi yule jamaako alo kutia mandole akahairisha game alikuja tena au ulimpotezea?

am better here
 
Wakuu kwema.

Kama kawa nimekuja kuondoa stress zangu JF.

Juzi katika harakati za maisha nkapata mwanaume classmate sasa tukaamua kulianzisha gurudumu la mapenzi.

Kaka ni mjanja hatari swaga kama zote. Siku ya kwanza imeenda fresh tu siku ya pili ambayo ni usiku wa jana kuamkia Leo tumelala vizuri tu, sasa kila nkijosogeza naona kama kuna ubichi hivi nikajua labda mwana joto usiku kasweat, nikalala pembeni asubuhi naamka najikuta nimeloa namwamsha mwenzangu maana alikua anasafiri leo asubuhi, khaa ananambia we need to talk kuna kitu nataka nikwambie.

Ananambia I am sorry nilipitiwa nkakojoa kitandani, anyway me nikazuga pale kama sija-mind vile nikajikausha tu ila moyoni kuna furukuta kama fukuto. Hahahah, dah! yani nikaishiwa pozi nikabaki nime nyong'onyea tu sitaki hata anisogelee.

Namcheck tu anavo toa mashuka yaaan nikabaki namwangalia tu. Ila aisee kaniaribia mood ya siku kabisa, maana kutoa godoro nje aibu, hapa kanachia 2000 ya sabuni nifue mashuka na blanket.

Anyway nimekuja kutolea nyongo zangu huku ila mie nae kwa kuokota wanaume vimeo sijambo, khaaa!

I am better here
Not better! You are the best now

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom