General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,300
- 23,022
Hata kwa vijana inaweza kuwatokea,sana sana wale wenye wapenzi wengi na wanaofanya mapenz bila kinga,bakteria wanaharibu mifumo yao.Iyo ni kwa kijana ama wazee???
am better here
HahahahahNahsi alikua anaelekea uko ningechelewa kidogo tu angeshusha mzigo sema nkawahi kumuamsha....
am better here
Mpe tiba usimkimbieDoooh kumbe
am better here
ha ha ha ha ha powaAaaah mkuu aliingia choo cha kwenye ndoto yule hana lolote....
am better here
Ukome kuokota okotaNi balaa mkuu vyoo vya ndotoni uciingie....
am better here
Hahahah ctaki kitu mkuuKila mtu anamapungufu yake, hata wewe wewe unamapungufu.
Mtu kakuomba msamaha sasa wataka nini!
Sent using Jamii Forums mobile app
We hujawahi kukutana na wa hvyo maana na ww hukosagi vituko
Hahahahahahaaaaah cpatii picha lol....Mm sijawahi wa kunikojolea badoo sema nilikutana na wakuharisha khaaa yani kila muda chooni mwanaume anajambaaa prapappaparapapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahaaaaah cpatii picha lol....
am better here
Hahah alooo....ilikua balaaaAlikuwa askar wa FFU nakwambia mama anajamba na hizi nyumba unakuta chumba Master room nilikoma kwa mashuzi ya uharooo
Sent using Jamii Forums mobile app