Kimeo

Luckme

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
717
1,000
Wakuu kwema.

Kama kawa nimekuja kuondoa stress zangu JF.

Juzi katika harakati za maisha nkapata mwanaume classmate sasa tukaamua kulianzisha gurudumu la mapenzi.

Kaka ni mjanja hatari swaga kama zote. Siku ya kwanza imeenda fresh tu siku ya pili ambayo ni usiku wa jana kuamkia Leo tumelala vizuri tu, sasa kila nkijosogeza naona kama kuna ubichi hivi nikajua labda mwana joto usiku kasweat, nikalala pembeni asubuhi naamka najikuta nimeloa namwamsha mwenzangu maana alikua anasafiri leo asubuhi, khaa ananambia we need to talk kuna kitu nataka nikwambie.

Ananambia I am sorry nilipitiwa nkakojoa kitandani, anyway me nikazuga pale kama sija-mind vile nikajikausha tu ila moyoni kuna furukuta kama fukuto. Hahahah, dah! yani nikaishiwa pozi nikabaki nime nyong'onyea tu sitaki hata anisogelee.

Namcheck tu anavo toa mashuka yaaan nikabaki namwangalia tu. Ila aisee kaniaribia mood ya siku kabisa, maana kutoa godoro nje aibu, hapa kanachia 2000 ya sabuni nifue mashuka na blanket.

Anyway nimekuja kutolea nyongo zangu huku ila mie nae kwa kuokota wanaume vimeo sijambo, khaaa!

I am better here
 

Luckme

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
717
1,000
Write your reply...
Umekja kunitangaza huku sio poa bana nahku nilikwambia nilipitiwa
Hahaha ndiooo lazima nkutangaze yaaan kabisa unalegeza pumbu zako unaachia mkojo uoooo afu unasingizia ndoto mfyuuuuu.....umekua mtt wew

am better here
 

Luckme

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
717
1,000
Mbona husemi kama papuchi alikula? Au tumeelewa vibaya hyo alikojoa?
Mkuu papuchi lazima ale sasa baada ya gem mshikaji kazima kalala fofofoo kalegeza pumbu zake kanachia kojo lake shwaaaaa afu ana singizia ndoto jaman jaman....

am better here
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom