Kimeo

Wakuu kwema....
Kama kawa nimekuja kuondoa stress zangu jf....
Juzi katika harakati za maisha nkapata mwanaume classmate sasa tukaamua kulianzisha gurudumu la mapenzi ...

Kaka ni mjanja hatari swaga kama zote.cku ya kwanza imeenda fresh tu siku ya pili ambayo ni uck wa Jana kuamkia Leo tumelala vizuri tu sasa kila nkijosogeza naona kama kuna ubichi ivi nkajua labda mwana joto usiku kasweat...nkalala pembeni asubh naamka najikuta nimeloa namwamsha mwenzangu maana alikua anasafiri Leo asubh...khaa ananambia we need to talk kuna kitu nataka nkwambie...ananambia am sorry nilipitiwa nkakojoa kitandani ...anyway me nkazuga pale kama cjamaind vile nkajikausha tu ila moyoni kuna fulukuta kama fukuto hahahah dah yan nkaishiwa pozi nkabaki nine nyong'onyea tu ctaki hata anisogelee ...namcheck tu anavo toa mashuka yaaan nkabaki namwangalia tu ....ila aisee kanialibia mood ya cku kabsa maana kutoa godoro nje aibu apa kanachia 2000 ya sabuni nifue mashuka na blanket anyway nmekuja kutolea nyongo zangu uku ....ila mie nae kwa kuokota wanaume vimeo cjambo khaaa...

am better here
Pole sana yeye badala ya kukojolea papuchi anakojolea godoro tena mkojo wala sii wazungu. Duh kwl umekutana na kimeo.pole yako.. Njoo kwa mm.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom