Kimeo

Kimeo

jamaa inaonekana ulimpa sana naniriu yako, kwa iyo kamwaga sana(less than3) hadi tobo la dudu likawa kuubwa, kwa iyo mkojo unapitiliza tuu bila yeye kunitambua

Luckme punguza manjonjo maana naona huko mbeleni utakuja kuwatoa roho wanaume zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Am here pm me Luckme
Wakuu kwema.

Kama kawa nimekuja kuondoa stress zangu JF.

Juzi katika harakati za maisha nkapata mwanaume classmate sasa tukaamua kulianzisha gurudumu la mapenzi.

Kaka ni mjanja hatari swaga kama zote. Siku ya kwanza imeenda fresh tu siku ya pili ambayo ni usiku wa jana kuamkia Leo tumelala vizuri tu, sasa kila nkijosogeza naona kama kuna ubichi hivi nikajua labda mwana joto usiku kasweat, nikalala pembeni asubuhi naamka najikuta nimeloa namwamsha mwenzangu maana alikua anasafiri leo asubuhi, khaa ananambia we need to talk kuna kitu nataka nikwambie.

Ananambia I am sorry nilipitiwa nkakojoa kitandani, anyway me nikazuga pale kama sija-mind vile nikajikausha tu ila moyoni kuna furukuta kama fukuto. Hahahah, dah! yani nikaishiwa pozi nikabaki nime nyong'onyea tu sitaki hata anisogelee.

Namcheck tu anavo toa mashuka yaaan nikabaki namwangalia tu. Ila aisee kaniaribia mood ya siku kabisa, maana kutoa godoro nje aibu, hapa kanachia 2000 ya sabuni nifue mashuka na blanket.

Anyway nimekuja kutolea nyongo zangu huku ila mie nae kwa kuokota wanaume vimeo sijambo, khaaa!

I am better here

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah😁😁😁😁😁wanawake tumeumbwa mateso, kakojoa yeye unafua wewe
 
jamaa inaonekana ulimpa sana naniriu yako, kwa iyo kamwaga sana(less than3) hadi tobo la dudu likawa kuubwa, kwa iyo mkojo unapitiliza tuu bila yeye kunitambua

Luckme punguza manjonjo maana naona huko mbeleni utakuja kuwatoa roho wanaume zako

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha nakwambia inabdi nipunguze dozi kwakweli...

am better here
 
Wakuu kwema.

Kama kawa nimekuja kuondoa stress zangu JF.

Juzi katika harakati za maisha nkapata mwanaume classmate sasa tukaamua kulianzisha gurudumu la mapenzi.

Kaka ni mjanja hatari swaga kama zote. Siku ya kwanza imeenda fresh tu siku ya pili ambayo ni usiku wa jana kuamkia Leo tumelala vizuri tu, sasa kila nkijosogeza naona kama kuna ubichi hivi nikajua labda mwana joto usiku kasweat, nikalala pembeni asubuhi naamka najikuta nimeloa namwamsha mwenzangu maana alikua anasafiri leo asubuhi, khaa ananambia we need to talk kuna kitu nataka nikwambie.

Ananambia I am sorry nilipitiwa nkakojoa kitandani, anyway me nikazuga pale kama sija-mind vile nikajikausha tu ila moyoni kuna furukuta kama fukuto. Hahahah, dah! yani nikaishiwa pozi nikabaki nime nyong'onyea tu sitaki hata anisogelee.

Namcheck tu anavo toa mashuka yaaan nikabaki namwangalia tu. Ila aisee kaniaribia mood ya siku kabisa, maana kutoa godoro nje aibu, hapa kanachia 2000 ya sabuni nifue mashuka na blanket.

Anyway nimekuja kutolea nyongo zangu huku ila mie nae kwa kuokota wanaume vimeo sijambo, khaaa!

I am better here
Samehe mkuu, mpe nafasi nyingine.

Niliwahi kua na mwanamke mmoja kwa muda mrefu nikiwa namfahamu ni msafi na hana tatizo ila siku moja alikojoa kitandani jambo ambalo hata yeye lilimuumiza sana, nilisamehe kwakua nilijua ni bahati mbaya.

Hata hivyo tuliachana baadae ila kwa sababu zingine za kimaisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom