Kimeo

Wakuu kwema.

Kama kawa nimekuja kuondoa stress zangu JF.

Juzi katika harakati za maisha nkapata mwanaume classmate sasa tukaamua kulianzisha gurudumu la mapenzi.

Kaka ni mjanja hatari swaga kama zote. Siku ya kwanza imeenda fresh tu siku ya pili ambayo ni usiku wa jana kuamkia Leo tumelala vizuri tu, sasa kila nkijosogeza naona kama kuna ubichi hivi nikajua labda mwana joto usiku kasweat, nikalala pembeni asubuhi naamka najikuta nimeloa namwamsha mwenzangu maana alikua anasafiri leo asubuhi, khaa ananambia we need to talk kuna kitu nataka nikwambie.

Ananambia I am sorry nilipitiwa nkakojoa kitandani, anyway me nikazuga pale kama sija-mind vile nikajikausha tu ila moyoni kuna furukuta kama fukuto. Hahahah, dah! yani nikaishiwa pozi nikabaki nime nyong'onyea tu sitaki hata anisogelee.

Namcheck tu anavo toa mashuka yaaan nikabaki namwangalia tu. Ila aisee kaniaribia mood ya siku kabisa, maana kutoa godoro nje aibu, hapa kanachia 2000 ya sabuni nifue mashuka na blanket.

Anyway nimekuja kutolea nyongo zangu huku ila mie nae kwa kuokota wanaume vimeo sijambo, khaaa!

I am better here
Daaah uyo kimeo kweli duh mwanaume akojoa kitandani njozi sijui anakuwa anaota? ..

Sister una vituko wewe duh aya bwana .
 
Daaah uyo kimeo kweli duh mwanaume akojoa kitandani njozi sijui anakuwa anaota? ..

Sister una vituko wewe duh aya bwana .
Hahahahaha mdogoangu kakazako ao wananikojolea kitandani mm....

am better here
 
Back
Top Bottom