Kimeo

Kimeo

Sawa mkuu, tutarejeana tena eti!
Safari hii ujitahidi kujikaza bhana me naona aibu kutoa godoro nje....unadhani ma brotherman wanao kaa hapa watanichukuliaje mie ....

am better here
 
Hahahah hatari mkuu nkaona anaharakisha kukimbia awahi nkamwambia acha ela ya sabuni kajipekua weeee nusu avue nguo zote khaaa ndo kakutana na 2000 ....nyieee acheni tu

am better here
Hahahahaha,,,, kwa iyo ajakuachia hata ya malipo ya papuchi jamen lol.. Wanaume kuweni na huruma bac ndo nn kumgalagaza mtoto wa watu mwisho wa siku kakuachia 2000 ya sabuni dah mkuu pole usikubali najua amekopa papuchi mwambie fasta atume kwa tgo pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli jitaidi tu kumshtua shtua, mana akiaribu tu usije ukaona picha zake hapa wadau washatupia mana ni hatar sana kwa ustawi wa penz lenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Aaaah yaaan ndo namchatisha apa acje akalimwaga kwenye usafiri wa watu mala unapata SMS bby ntumie 50,000 nimepigwa fain nimelowesha seat kwa mkojo....

am better here
 
Safari hii ujitahidi kujikaza bhana me naona aibu kutoa godoro nje....unadhani ma brotherman wanao kaa hapa watanichukuliaje mie ....

am better here
Huwezi amini hata mimi cjui klichotokea jana, mpaka sasa sielewi kabsa nisamehe mkuu. kuwa na huruma mkuu
 
Hahahahaha,,,, kwa iyo ajakuachia hata ya malipo ya papuchi jamen lol.. Wanaume kuweni na huruma bac ndo nn kumgalagaza mtoto wa watu mwisho wa siku kakuachia 2000 ya sabuni dah mkuu pole usikubali najua amekopa papuchi mwambie fasta atume kwa tgo pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ye mwenyewe choka mbaya tu mkuu namwonea adi huruma hahah nimemwacha aende tu

am better here
 
Aaaah yaaan ndo namchatisha apa acje akalimwaga kwenye usafiri wa watu mala unapata SMS bby ntumie 50,000 nimepigwa fain nimelowesha seat kwa mkojo....

am better here
Hahahaha,,, sio tu umtumie 50,000 utashangaa wadau wameshatupia picha JF au Instagram wameshamuanzishiia uzi baby wako hahahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi amini hata mimi cjui klichotokea jana, mpaka sasa sielewi kabsa nisamehe mkuu. kuwa na huruma mkuu
Ukikojoa tena nakufinya kwenye pumbu izo....huenda ndo zinakutia uvivu kuamka unaziona nzito labda

am better here
 
Back
Top Bottom