Kimeo

Wakuu kwema....
Kama kawa nimekuja kuondoa stress zangu jf....
Juzi katika harakati za maisha nkapata mwanaume classmate sasa tukaamua kulianzisha gurudumu la mapenzi ...

Kaka ni mjanja hatari swaga kama zote.cku ya kwanza imeenda fresh tu siku ya pili ambayo ni uck wa Jana kuamkia Leo tumelala vizuri tu sasa kila nkijosogeza naona kama kuna ubichi ivi nkajua labda mwana joto usiku kasweat...nkalala pembeni asubh naamka najikuta nimeloa namwamsha mwenzangu maana alikua anasafiri Leo asubh...khaa ananambia we need to talk kuna kitu nataka nkwambie...ananambia am sorry nilipitiwa nkakojoa kitandani ...anyway me nkazuga pale kama cjamaind vile nkajikausha tu ila moyoni kuna fulukuta kama fukuto hahahah dah yan nkaishiwa pozi nkabaki nine nyong'onyea tu ctaki hata anisogelee ...namcheck tu anavo toa mashuka yaaan nkabaki namwangalia tu ....ila aisee kanialibia mood ya cku kabsa maana kutoa godoro nje aibu apa kanachia 2000 ya sabuni nifue mashuka na blanket anyway nmekuja kutolea nyongo zangu uku ....ila mie nae kwa kuokota wanaume vimeo cjambo khaaa...

am better here
Kwa nini umemua kuja kunivua nguo huku hadharani, huna siri wewe kumbe unadanga! na nilijua lazima ukuje hapa
 
Kwa nini umemua kuja kunivua nguo huku hadharani, huna siri wewe kumbe unadanga! na nilijua lazima ukuje hapa
Mkuu unadhani kufua mashuka na blanket mchezo eee afu kojo la mtu mzima uschukulie poaaa.....

am better here
 
Mkuu unadhani kufua mashuka na blanket mchezo eee afu kojo la mtu mzima uschukulie poaaa.....

am better here
Lakini huu ni udhalilishaji, ok nmekubali naomba uwasimulie jinsi ulivyofurahia mgegedo, maana nakumbuka ulifumania nyavu zaidi ya mara 4
 
Kama ni kweli itabidi upunguze hizi harakati.Yule wa christmass yuko wapi?
Christmass gani mkuu ila kweli inabidi niache maana ntakuja bebana na misyuka bure....

am better here
 
Lakini huu ni udhalilishaji, ok nmekubali naomba uwasimulie jinsi ulivyofurahia mgegedo, maana nakumbuka ulifumania nyavu zaidi ya mara 4
Yaaan niliinjoy sana mkuu nusu niteguke kiuno....

am better here
 
Back
Top Bottom