Kimenuka: Mchezaji Geremi Njitap ataka kumtaliki mkewe baada ya kubaini watoto mapacha aliowakuza kwa miaka 16 sio wake'

H

Kuchapiwa mke sio sababu ya kuvunja NDOA Mkuu, na hakuna sababu yoyote au kosa au mashtaka au kitu chochote chenye UHALALI wa kuvunja NDOA ya AGANO (i.e mke na mume waliounganishwa na MUNGU)

muhimu ni kusamehe na kumwachia MUNGU B'se yeye ndie mwenye kutoa hukumu ya haki pekee ake,

wewe ni binadamu na hujakamilika unawezaje kumuhukumu mwenzako? Je wewe hujawahi kukosea?

Yohana 8.7
"Nao walipozidi kumhoji, alijiinua, akawaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza wa kumtupia jiwe"

swala NDOA sio la kukulupuka linahitaji muda wa kutosha ili kuhakikisha huyo unaenda kuunganika nae na kua mwili mmoja Hakika ni SAHIHI,

1petro 3.7
"Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili"
Ati nini?
 
Ndiyo maana mimi nilipima DNA watoto wangu wote kabla ya kumjengea nyumba mke wangu kwao. Nakataa kabisa kuwa siwezi na sitaki kulea mtoto wa mwanamme mwenzangu na siku nikigundua mke wangu anachapwa na mtu mwingine ndiyo mwisho wa ndoa yetu.
Ukitaka kujua mambo ni moto chukua sample za hao watoto kapime na sample ya mtu yeyote uone kama hazita wiana
 
Nyie walokole nyie ndo mmejawa ufuska na makando kando kibao alafu unatuletea maandiko ambayo ukiyaleta kwenye uhalisia wa jambo linapokukuta hayo maandiko hayakusaidii kitu.

Kwenda zako bhana

Sent from my SM-G998U using JamiiForums mobile app
😁😁😁 Mkuu huo ndo uhalisia wa MAISHA tatizo kubwa ni ugumu wa mioyo yetu wengi sio rahisi kusamehewa Mambo makubwa kama haya ndio Maana nilihitimisha kwa kusema swala la NDOA sio la kukurupuka ni jambo ambalo linahitaji umakini wa hali ya juu sana ili yasitokee Mambo kama haya

Umakini ukikoseka katika kuoa au kuolewa ndo gharama zake hizi mkuu huwezi kukwepa 😂

Watu wengi hawajui Kwamba Kuna tofauti kubwa sana kati ya kuoa mke na mwanamke

Mkuu kumpata MKE sio lahisi hata kidogo kuna gharama kubwa sana lazima utoe

Lakini kumpata Mwanamke very simple kama kumsukuma mlevi vile, ila matokeo yake ndo haya utaletewa watoto ambao sio wako 😂😂😂
 
Kwahyo tushike lipi hapo Petro 3:7 ai yohana 8:7
Shika yote Mkuu

MWANAMKE ishi nae kwa akili

Kua na hali ya kusamehe ndani yako no matter what the mistake is b'se we mwenyewe hujakamilika (i.e unatenda dhambi)

Afu kuishi na na MTU ni sawa na kupewa shamba Mkuu usipolisafisha utakuta majani na magugu yameota, Kwaiyo hata Mwanamke ni vizuri kumpiga brush kwa kumfundisha maarifa na hekima na sheria ya MUNGU ili ajue kutoka na kuingia kwake kwa usahihi tofauti n hapo tegemea kuchapiwa Mkuu
 
Hakuna mke asiyechapwa nje. Mark my words. Ni kwamba tu haujui ila hakuna
🤣🤣🤣🤣 Aisee so inamaanisha mapenzi tunashare tuu mbususu yako ukiwa unaigegeda. 🤣🤣🤣🤣
Aisee sasa watu wana mihela bado wanachapiwa sie maskini sii ndio balaaa
 
H

Kuchapiwa mke sio sababu ya kuvunja NDOA Mkuu, na hakuna sababu yoyote au kosa au mashtaka au kitu chochote chenye UHALALI wa kuvunja NDOA ya AGANO (i.e mke na mume waliounganishwa na MUNGU)

muhimu ni kusamehe na kumwachia MUNGU B'se yeye ndie mwenye kutoa hukumu ya haki pekee ake,

wewe ni binadamu na hujakamilika unawezaje kumuhukumu mwenzako? Je wewe hujawahi kukosea?

Yohana 8.7
"Nao walipozidi kumhoji, alijiinua, akawaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza wa kumtupia jiwe"

swala NDOA sio la kukulupuka linahitaji muda wa kutosha ili kuhakikisha huyo unaenda kuunganika nae na kua mwili mmoja Hakika ni SAHIHI,

1petro 3.7
"Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili"
Acha ufara mkeo akuletee watoto sio wako ety umsamehe
 
Acha ufara mkeo akuletee watoto sio wako ety umsamehe
hata usiposamehe nothing you can change tayari ndo ilishatokea na mwisho utakufa mapema kwa utungu na uchungu

kusamehe ni kwaajili ya afya yako ya akili na mwili 😁

Ndio maana wanaume wanakufa mapema tatizo ni kukaa na vitu moyoni kwa mda mrefu na hi hali huitwa UGUMU WA MIOYO ni ile hali ya kutokusamehe Yaani kukosa Rehema

Rehema > ni kuludisha upendo na huruma badala ya hasira na ghadhabu kwa yule alikutendea mabaya

Sio jambo jepesi au rahisi kulifanya ila hatuna budi kulifanya kwaajili ya utawi wa afya zetu za akili na mwili
 
Moja ya kitu ambacho wanawake hawataki kukisikia ni hiki DNA,siku mchakato wa DNA Tz ukiwa mrahisi,ndoa nyingi zitaenda na maji kwani inauma kulea bao la mwenzio.

Wanawake kwa kupiga kelele utawasikia wakitusema wanaume sio waaminifu,kumbe huu mchakato mgumu wa kipimo hiki cha DNA Tz una wasitiri.

Huyu mwamba na body lake,hela aliyokuwa akilipwa plus mzigo wa nguvu aliokuwa akiupiga pale Chelsea ila bado kachapiwa.

Nawaomea huruma wanao hangaika na Gym,michuzi ya pweza,vifurushi vya mihogo na karanga pamoja ana Alkasusu,ila wakae wakijua kama,wanawake zao hawa jitambui wala kuwa na hofu ya Mungu ndani yao kugongewa ni kawaida,haijalishi kama unahela au kitandani una pumzi kwani Geremi ana hivyo vyote.
Ulijuaje mkuu kwamba anavyote wakati alikuwa hapewi kipochi!
 
Ulijuaje mkuu kwamba anavyote wakati alikuwa hapewi kipochi!
Hapo ndipo ujue mwanamke akiamua lake kaamua,ila ukimfuatilia jamaa tokea akiwa Chelsea mpaka sasa jamaa physically yupo fit, ila sema mwanamke hakumuelewa alifuata pesa.Alikuwa hapewi kipochi baada ya migogoro hiyo ya mara kwa mara,kutokupewa kipochi haina maana kwamba jamaa hamfikishi.

Halafu mkishaachana na mwanamke ,mwanamke anaweza kuropoka tu ili wakuone huna maana,anaweza kusema ana kibamia,mara ulitaka kumwingilia kinyume cha maumbile, mara humfikishi nk.
 
DNA ukipima Tanzania lazima utaambiwa mtoto ni wako.

Serikali haitaki mtoto akataliwe. Hata mkeo akizaa mzungu bado ukienda kupima DNA tanzania unaambiwa mtoto ni wako baba

Wanakosea sana kufanya hivyo.
That is purely unethical.
That is lack of integrity.

Kama ni kweli basi waache mara moja.
Vinginevyo haina maana ya kuwepo kufanya kazi hiyo.
Wanalipwa mishahara ya bure kodi za wananchi kwa kutoa taarifa za uongo?!
Kazi zao hazina miiko?
Hakuna regulator?
 
H

Kuchapiwa mke sio sababu ya kuvunja NDOA Mkuu, na hakuna sababu yoyote au kosa au mashtaka au kitu chochote chenye UHALALI wa kuvunja NDOA ya AGANO (i.e mke na mume waliounganishwa na MUNGU)

muhimu ni kusamehe na kumwachia MUNGU B'se yeye ndie mwenye kutoa hukumu ya haki pekee ake,

wewe ni binadamu na hujakamilika unawezaje kumuhukumu mwenzako? Je wewe hujawahi kukosea? 🤷

Yohana 8.7
"Nao walipozidi kumhoji, alijiinua, akawaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza wa kumtupia jiwe"

swala NDOA sio la kukulupuka linahitaji muda wa kutosha ili kuhakikisha huyo unaenda kuunganika nae na kua mwili mmoja Hakika ni SAHIHI,

1petro 3.7
"Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili"✍️
Unapo-quote vitu vya maana usipende kutumia Biblia ama Qur'an......hivi ni vitabu tu vilivyoletwa na wanadamu na shetani, havina umuhimu wowote maishani mwako. Mungu kakupa akili, use it.....si Biblia wala Qur'an itakayo ongoza maisha yako, ukiruhusu hayo you are finished kwa sababu dini ufanya watu kuwa wajinga daima. Nikuulize, ukijuwa mkeo anatombwa na wanaume wengine na watoto uliokuwa unawalea maisha yako yote si wako, bado utaishi naye kwa akili huku moyoni unaumia?
 
DNA ukipima Tanzania lazima utaambiwa mtoto ni wako.

Serikali haitaki mtoto akataliwe. Hata mkeo akizaa mzungu bado ukienda kupima DNA tanzania unaambiwa mtoto ni wako baba
Ni kweli na sijawahi kuamini vipimo vya Tanzania hata siku moja hata hivi viipimo vya HIV, vyote siviamini. Nilipima wanangu wakati naishi nje masomoni.
 
Back
Top Bottom