David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,677
- 5,217
Ukweli mchungu huuHakuna mke asiyechapwa nje. Mark my words. Ni kwamba tu haujui ila hakuna
Ukweli mchungu huuHakuna mke asiyechapwa nje. Mark my words. Ni kwamba tu haujui ila hakuna
Ati nini?H
Kuchapiwa mke sio sababu ya kuvunja NDOA Mkuu, na hakuna sababu yoyote au kosa au mashtaka au kitu chochote chenye UHALALI wa kuvunja NDOA ya AGANO (i.e mke na mume waliounganishwa na MUNGU)
muhimu ni kusamehe na kumwachia MUNGU B'se yeye ndie mwenye kutoa hukumu ya haki pekee ake,
wewe ni binadamu na hujakamilika unawezaje kumuhukumu mwenzako? Je wewe hujawahi kukosea?
Yohana 8.7
"Nao walipozidi kumhoji, alijiinua, akawaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza wa kumtupia jiwe"
swala NDOA sio la kukulupuka linahitaji muda wa kutosha ili kuhakikisha huyo unaenda kuunganika nae na kua mwili mmoja Hakika ni SAHIHI,
1petro 3.7
"Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili"
SanaTumtumaini Mungu ...kuna meeng wanadamu wamebeba mioyoni
Ukitaka kujua mambo ni moto chukua sample za hao watoto kapime na sample ya mtu yeyote uone kama hazita wianaNdiyo maana mimi nilipima DNA watoto wangu wote kabla ya kumjengea nyumba mke wangu kwao. Nakataa kabisa kuwa siwezi na sitaki kulea mtoto wa mwanamme mwenzangu na siku nikigundua mke wangu anachapwa na mtu mwingine ndiyo mwisho wa ndoa yetu.
😁😁😁 Mkuu huo ndo uhalisia wa MAISHA tatizo kubwa ni ugumu wa mioyo yetu wengi sio rahisi kusamehewa Mambo makubwa kama haya ndio Maana nilihitimisha kwa kusema swala la NDOA sio la kukurupuka ni jambo ambalo linahitaji umakini wa hali ya juu sana ili yasitokee Mambo kama hayaNyie walokole nyie ndo mmejawa ufuska na makando kando kibao alafu unatuletea maandiko ambayo ukiyaleta kwenye uhalisia wa jambo linapokukuta hayo maandiko hayakusaidii kitu.
Kwenda zako bhana
Sent from my SM-G998U using JamiiForums mobile app
Shika yote MkuuKwahyo tushike lipi hapo Petro 3:7 ai yohana 8:7
🤣🤣🤣🤣 Aisee so inamaanisha mapenzi tunashare tuu mbususu yako ukiwa unaigegeda. 🤣🤣🤣🤣Hakuna mke asiyechapwa nje. Mark my words. Ni kwamba tu haujui ila hakuna
Acha ufara mkeo akuletee watoto sio wako ety umsameheH
Kuchapiwa mke sio sababu ya kuvunja NDOA Mkuu, na hakuna sababu yoyote au kosa au mashtaka au kitu chochote chenye UHALALI wa kuvunja NDOA ya AGANO (i.e mke na mume waliounganishwa na MUNGU)
muhimu ni kusamehe na kumwachia MUNGU B'se yeye ndie mwenye kutoa hukumu ya haki pekee ake,
wewe ni binadamu na hujakamilika unawezaje kumuhukumu mwenzako? Je wewe hujawahi kukosea?
Yohana 8.7
"Nao walipozidi kumhoji, alijiinua, akawaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza wa kumtupia jiwe"
swala NDOA sio la kukulupuka linahitaji muda wa kutosha ili kuhakikisha huyo unaenda kuunganika nae na kua mwili mmoja Hakika ni SAHIHI,
1petro 3.7
"Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili"
hata usiposamehe nothing you can change tayari ndo ilishatokea na mwisho utakufa mapema kwa utungu na uchunguAcha ufara mkeo akuletee watoto sio wako ety umsamehe
Ulijuaje mkuu kwamba anavyote wakati alikuwa hapewi kipochi!Moja ya kitu ambacho wanawake hawataki kukisikia ni hiki DNA,siku mchakato wa DNA Tz ukiwa mrahisi,ndoa nyingi zitaenda na maji kwani inauma kulea bao la mwenzio.
Wanawake kwa kupiga kelele utawasikia wakitusema wanaume sio waaminifu,kumbe huu mchakato mgumu wa kipimo hiki cha DNA Tz una wasitiri.
Huyu mwamba na body lake,hela aliyokuwa akilipwa plus mzigo wa nguvu aliokuwa akiupiga pale Chelsea ila bado kachapiwa.
Nawaomea huruma wanao hangaika na Gym,michuzi ya pweza,vifurushi vya mihogo na karanga pamoja ana Alkasusu,ila wakae wakijua kama,wanawake zao hawa jitambui wala kuwa na hofu ya Mungu ndani yao kugongewa ni kawaida,haijalishi kama unahela au kitandani una pumzi kwani Geremi ana hivyo vyote.
Hapo ndipo ujue mwanamke akiamua lake kaamua,ila ukimfuatilia jamaa tokea akiwa Chelsea mpaka sasa jamaa physically yupo fit, ila sema mwanamke hakumuelewa alifuata pesa.Alikuwa hapewi kipochi baada ya migogoro hiyo ya mara kwa mara,kutokupewa kipochi haina maana kwamba jamaa hamfikishi.Ulijuaje mkuu kwamba anavyote wakati alikuwa hapewi kipochi!
DNA ukipima Tanzania lazima utaambiwa mtoto ni wako.
Serikali haitaki mtoto akataliwe. Hata mkeo akizaa mzungu bado ukienda kupima DNA tanzania unaambiwa mtoto ni wako baba
Siku hizi vijana wanasema "jamaa anatutunzia demu wetu,bado watoto kututunzia"..Ndo ile "kwenye ndoa zenu kuna watoto wetu"
Ahsante ila nakujulisha tu, tulipima kipindi bado tunaishi nje ya nchiMkuu kama hizo DNA ulipimia Tz basi nakupa pole sana.
Unapo-quote vitu vya maana usipende kutumia Biblia ama Qur'an......hivi ni vitabu tu vilivyoletwa na wanadamu na shetani, havina umuhimu wowote maishani mwako. Mungu kakupa akili, use it.....si Biblia wala Qur'an itakayo ongoza maisha yako, ukiruhusu hayo you are finished kwa sababu dini ufanya watu kuwa wajinga daima. Nikuulize, ukijuwa mkeo anatombwa na wanaume wengine na watoto uliokuwa unawalea maisha yako yote si wako, bado utaishi naye kwa akili huku moyoni unaumia?H
Kuchapiwa mke sio sababu ya kuvunja NDOA Mkuu, na hakuna sababu yoyote au kosa au mashtaka au kitu chochote chenye UHALALI wa kuvunja NDOA ya AGANO (i.e mke na mume waliounganishwa na MUNGU)
muhimu ni kusamehe na kumwachia MUNGU B'se yeye ndie mwenye kutoa hukumu ya haki pekee ake,
wewe ni binadamu na hujakamilika unawezaje kumuhukumu mwenzako? Je wewe hujawahi kukosea? 🤷
Yohana 8.7
"Nao walipozidi kumhoji, alijiinua, akawaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza wa kumtupia jiwe"
swala NDOA sio la kukulupuka linahitaji muda wa kutosha ili kuhakikisha huyo unaenda kuunganika nae na kua mwili mmoja Hakika ni SAHIHI,
1petro 3.7
"Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili"✍️
Mnashambulia kwa kuvizia kama Rau Gonzalez beki akijisahau tu goli.POINTI NYINGINE TATU, NDUGU ZANGU KATAA NDOA, NDOA NI UTAPELI
Ni kweli na sijawahi kuamini vipimo vya Tanzania hata siku moja hata hivi viipimo vya HIV, vyote siviamini. Nilipima wanangu wakati naishi nje masomoni.DNA ukipima Tanzania lazima utaambiwa mtoto ni wako.
Serikali haitaki mtoto akataliwe. Hata mkeo akizaa mzungu bado ukienda kupima DNA tanzania unaambiwa mtoto ni wako baba
Kwani kuna sehemu nimebisha hilo.....nimesema na ndiyo maana nimepima wanangu DNA, na siku nikigundua mke wangu anachapwa ndiyo imekula kwake.Hakuna mke asiyechapwa nje. Mark my words. Ni kwamba tu haujui ila hakuna