The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,403
- 122,532
Mkuu,umri sio hoja,nimeongelea ile tabia ya utoto,unaweza ukawa na miaka 29 ila ukawa na utoto,Miaka 29 hakuna zaidi tena mkuu, ndio sisi tunazeeka na uhovyo wetu!
You can meet a boy who is 35 and a man who is 23
Maturity and character matter more than age.