Kime-happen kwa jirani na sijutii kabisa

Kime-happen kwa jirani na sijutii kabisa

Bora uonekane boya kuliko kuja kuliwa boga, na kupoteza sifa yako kama kidume.
Imagine ingelikuwa ni wewe mlimbwende anavua nguo mbele yako, ungemwangalia tu? Binafsi prefrontal cortex yangu ili shut down, mwili automatically ukamwendea yeye mazima. Hakuna control tena pale mkuu
 
Ndugu zangu..

Yule jirani amefanikiwa kuliwa, na alikuwa ana taka sana kumbe...!

Asubuhi ya leo niliamshwa na ngo ngo ngo....mlangoni mwa mchumba changu.

Binafsi nilidhani ni jamaa wa taka, kufika mlangoni alikuwa yule jirani niliye wasimulia jana.

Anasema simu yake imegoma ku unlock, kumbe analake jambo... Wakulungwa kaja vile vile na kanga moko.

Sasa niko na boksa na vest si kuona haya kwa vile kashaniona, nikasema fresh hebu tuone... Nikaanza process pale nikamwambia karibu ukae, duh bila aibu kaingia.. Jicho alilokuwa ananikata wadau ndo lililo ni acha hoi kabisa..

Nilikuwa nikimwangalia, mpaka napoteza focus.. Ikabidi nimuulize kwa nini jana ulikuwa unanikonyeza huku unacheka? Na mumeo yuko wapi?

Akaishia kucheka tena kwa nguvu mpaka nikajistukia!!! Nini kwani kuna tatizo... Hapana kwa sauti ya aibu akasema.

Nikamsikia kama anajinong'oneza "sijui wa kaka wa siku hizi mkoje, yaani mpaka nivue ndo ujiongeze"

Nilistuka Nika muuliza unasemaje? We dada wewe rudi ulikotoka, Oya si akavua bwana... wadau, nimekuja kujistukia baada ya mechi..

Simu sijui niliitupaje ila tuliitafuta na kuikuta uvunguni mwa kitanda...nikamwambia asije tena, wala kuonesha ishara ya chochote kilicho tokea.

Hivi ni kwa nini wake za watu huwa na taste nzuri hivi?
Shule zimefungwa lini?
 
Miaka 29 hakuna zaidi tena mkuu, ndio sisi tunazeeka na uhovyo wetu!
HIvi kumbe watu mmesha kariri kabisa na nimeshakuwa celebrity humu?

Mkuu linapo kuja swala la wanawake umri sio kigezo
 
Back
Top Bottom