Kimbembe! Kupata passport mpya ya kusafiria

Kimbembe! Kupata passport mpya ya kusafiria

Mimi nilikua hapo Kurasini wiki iliyopita na ninamshukuru Mungu mambo yalienda faster kuliko nilivyo fikiria mwanzo.
Ni kweli kigezo kimojawapo katika maombi ya Passport ni kua na kitambulisho cha Uraia.
Mimi sikua nacho na nilienda kumuona Commissioner wa Passort au tuseme Supervisor wao alinishauri niende NIDA nikapewe barua itakayothibitisha kua kweli nimeshafanya process zote za kitambulisho ila bado nasubiria kitambulisho. Kweli nilienda NIDA nikawaelezea na siku hiyo hiyo walinipa barua yenye namba yangu ya Kitambulisho cha Uraia na nikarudi kwa kamishina wa Passport (supervisor) akalipitisha ombi langu na ndani ya siku mbili Passport yangu ilikua tayari.
Pia kuna jamaa pia hakua na hicho Kitambulisho lakini alikua kapata safari ya haraka alimuona huyo Msimamizi akapitisha maombi yake na alipata Passport kesho yake.

Hivyo nakushauri nenda kamuone Kamishina wa Passport (Msimamizi mweleze hapo yote atakusaidia ni mtu mzuri sana hana longolongo. Usiishie kwa hawa wa mwanzoni wao wanafuata maelekezo kama Maroboti yaani sasa hv kama una vigezo vyote Passport ni ndani ya siku mbili mpaka tano yaani sio Issue tena.
mkuu ushapoteza kibarua cha watu, huyo jamaa atafukuzwa kazi.
Bora ungemfata PM
 
Mkuu nafikiri tunatakiwa tusisafiri nje ya nchi kama wengine.
Mimi nilienda ku renew nimekutana na kikwazo kama hicho.
Paspoti yangu inakoma 27/3/2018, hii inaninyima kupewa visa.
Nani wa kumshauri huyu mkuu wetu?
Hivi kwa akili yako unadhani Rais ndiye kakataza? Tuache kuwa watu wa majungu majungu
 
Acha uzuzu ukienda ninda unapewa namba ya kitambulisho chako cha utaifa na barua yako ya kukuthibitisha sema sis wabongo tunapenda vitu rahis rahis sana kama wew huna shida wewe ungekuwa na shida ungeshafata utaratibu huo

Hakuna anaekuzuia kusafir nje ya nchi hata siku moja ila fuata utaratibu achen siasa za kipumbavu ndio maana tunakuwa maskin kwa kupenda siasa nyiny kila kitu katika mitandao muda wote hamna muda wa kuzalisha Mali

Nenda nida ukapewa namba ya kitambulisho chako then upate passport tako ulaya kwenyewe mnaenda kwa ufadhil alafu mnasumbua watu hapa
Asante mkuu. Ninahisi huenda siongei na Mtanzania anayeifahamu vema Tanzania au naongea na kijana wa chini ya miaka 40. Napenda kukufahamisha kuwa raia wengi wa nchi hii hata vyeti vya kuzaliwa hawana, hawajui umuhimu wake wala mahali pa kuvipata. Watanzania wengi hufuatilia na kupata vyeti vyao vya kuzaliwa ambavyo ndio uthibitisho muhimu wa kupata kitambulisho NIDA baada ya kukutana na vikwazo wanapofika elimu ya juu (nyakati za sasa). Sisi tuliosoma elimu ya juu kabla ya miaka ya 2000 vyeti vya kuzaliwa ili kujiunga na elimu ya juu wakati ambapo kwa sasa mtoto kusajiliwa shule msingi ya binafsi cheti cha kuzaliwa ni koambatanisho cha lazima (sisi tulio mjini ).

Kwa hiyo, unapoongelea mambo makini ni vema kuangalia kwa upana zaidi ya kujiangalia binafsi, familia yako na mazingira unayoishi pekee. Nchi hii ni kubwa na huenda ikachukua muongo huu mzima kwa kila Mtanzania mtu mzima kupata kitambulisho cha Taifa.

Vv

Rudisha kumbukumbu nyuma wakati wa utawala wa mzee wa msoga hilo swala la vyeti vya kuzaliwa lilipewa kipaumbele sana na RITA nadhani kila kijji watu walipewa elimu hyo na pia sis waa Africa wengi hatutafuti document husika mpaka tupate shida ndio tunaanza sasa mpaka unafikisha elimu ya juu passport huna ni aibu aisee inatakiwa ujifiche kwa aibu hyo

Wakati mm nikiwa form four nilikuwa teyar Nina passport na ni mtu wa ludewa wewe wa mjin s aibu hyo

Acha ujinga huo nakuleta siasa nyingi
 
Mm nauliza kwa hyo ukishakuwa na kitambulisho cha Taifa uwendi tena na cheti cha kuzaliwa? Unaenda tu na Hyo ID na form basi?
 
Rudisha kumbukumbu nyuma wakati wa utawala wa mzee wa msoga hilo swala la vyeti vya kuzaliwa lilipewa kipaumbele sana na RITA nadhani kila kijji watu walipewa elimu hyo na pia sis waa Africa wengi hatutafuti document husika mpaka tupate shida ndio tunaanza sasa mpaka unafikisha elimu ya juu passport huna ni aibu aisee inatakiwa ujifiche kwa aibu hyo

Wakati mm nikiwa form four nilikuwa teyar Nina passport na ni mtu wa ludewa wewe wa mjin s aibu hyo

Acha ujinga huo nakuleta siasa nyingi
Nashukuru kuna namna umeelewa kidogo kuhusu sisi Watanzania. Hata hivyo nakuelewesha tena kidogo. Mtoto anapozaliwa hospitalini mzazi hupewa cheti na nakala hubaki hapo hospitali na kitabu cha vyeti kikijaa hupelekwa Ofisi ya DC na mzazi huenda na hicho cheti Ofisi ya Usajili (kwa DC) ili mtoto apewe cheti cha kuzaliwa. Wao kwa DC huwa wana-match taarifa zao na cheti chako maana kitabu cha nakala wanakuwa nacho na wanakupa wiki chache uende kuchukua cheti. Sasa jiulize, watoto wote huzaliwa hospitali? Je, wazazi wote hata wale wanaojifungua hospitali wanaona umuhimu wa kufuatilia cheti cha kuzaliwa? Je, kwa wale wanaotoka Upangwa milimani na kwenda kujifungulia hospitali na kupata cheti cha awali, baada ya kurudi nyumbani wangapi wanaona umuhimu hasa wa kusafiri kilometa 50-100 wilayani kwa ajili ya kupeleka tu taarifa za mtoto na kisha arudi tena huko baada ya mwezi kwenda kuchukua cheti?

Ndugu yangu mwenye akili nyingi, hiyo ndio hali halisi ya Mtanzania na mazingira yake. FYI wewe ulipata passport ukiwa F4, mimi watoto wangu wote hata aliye Class 4 anayo passport na vyeti vyote vya kuzaliwa anavyo. Lkn napenda tu ufahamu, ni sehemu ndogo tu ya raia ndio wana hizo documents. Kukupa taarifa zaidi ni kuwa kati ya Watanzania wote wapatao milioni 44, ni Watanzania laki 4 tu ndio wenye passport! Hiyo document imefanywa kuwa ya gharama sana hadi kuipata wakati ni haki ya kila Mtanzania mwenye cheti cha kuthibitisha uraia wake na uwezo wa kuilipa kuipata pale anapoihitaji.

Vv
 
Si wote wapo kwenye vyama vyao wengine hawataki mikelele, kazi zao za kutumia akili tu sasa watawalazimisha!
kwahiyo unamaanisha hizo kazi za watu wa green si za kutumia akili??? bali ni mikelele tu. au nukta sikuielewa vizuri
 
Mimi nilienda nida kinondoni kuna bonge la foleni watu wanafika saa kumi alfajir ila nilikomaa siku mbili nikafanikiwa kupiga pic wakaniambia nije kuchukua baada ya wiki tatu, wiki ya tatu ndo hii inaanza kesho
 
Tangu siku wanazindua mfumo mpya wa hati ya kusafiria walilisema suala hili kuwa kigezo kikuu ni Kitambulisho cha uraia, kitambulisho hiki kimekusanya taarifa zote za mhusika, hivyo unapokipeleka hiki pale hawapati shida kukuuliza maswali mengi na pia wataepuka kuwapa hati watu wasiohusika/wasiokidhi vigezo.
Ombi:Idara ya Uhamiaji na idara ya NIDA waweze kukaa pamoja kupanga jinsi watakavyoweza kuwashughulikia watu wenye dharura ya safari na bado hawajapata kitambulisho cha utaifa.
 
Baada ya Miaka zaidi 50 ya Uhuru bado Mtanzania kupata Passport ni changamoto.

Vipi kuhusu hivyo viwanda.

Vipi ajira.

Huduma za jamii kama mahospitalini ...nk.

Kuna mahali mambo hayako sawa.
 
Wakiitaji wao huwa muda mwingine hakuma kufata utaratibu...
 
Juzi hapo DSM katik huu mchakato wa vitambulisho, nika mwambia ndg yangu aenfe kuulizia kama Mtoto wa chini ya miaka 18 ana ruhusiwa ili apingwe tuweze kumtafutia pass na yeye, si waka kataa et ni kwa walio na miaka 18 na kuendelea....

Kweli watunga Sera wana shida tena sana
 
Watanzania tuache kua tunalalamika hovyo kwa kila jambo,tatizo tumezoea kuishi km wanyama bila utaratibu wowote so mkiletewa utaratibu flan mnaanza kulialia tu yn mnapenda kila kitu kiwe mteremko tu.
Hv mnaona ishu ya passport ni kitu kidogo sn yn uende tu asubuhi jione upewe?kigezo hicho cha kupata passport hadi uwe na kitambulisho cha taifa kilitangazwa siku ya kwanza ya uzinduzi wa hyo passport mpya inamana hukusikia?vitambulisho vya taifa wala havisumbui km una vigezo zikizidi sn ni wiki2 ushapata ila mtu kaa nyumbani tu anasuburi apate uhitaji wa hicho kitambulisho ndo aanze kukitafuta sasa kwa mwendokasi utakwama tu.
Mkuu fikiria Mtoto hatakiwi kupewa doc za nida, je akitaka pass aende na wazazi wake ughaibuni atafnyaje... Na yeye ni mtanzania...

Kwanini watu wasi lala mikie utaratib mbovu
 
Back
Top Bottom