Kimbelembele cha CHADEMA kimewatokea puani

Watu wanataka sera sio ufisadi ufisadi....khaa...tumechoka.Kama hamuna sera basi kiwe cha watu kaskazini kwa lengo maalum la kusaidiana kwenye mambo mbalimbali mfano mazishi,unyago,harusi...

Tuorodheshee sera za CCM ulizowahi kuzisikia kwenye mikutano yao.
 

Subiri bangi ikauke vizuri ndipo uivute vinginevyo matokeo yake ndiyo hayo uliyoandika.
 
Umeombwa uweke picha ku suport hoja yako, mbona hiyo ni simple tuu?? na walishasema wahenga: 'no evidence no right to speak'
Watakuja muda si mrefu na siasa zao za taarabu.
 
Umeombwa uweke picha ku suport hoja yako, mbona hiyo ni simple tuu?? na walishasema wahenga: 'no evidence no right to speak'

Hana lolote shostito huyu. Kaambiwa aweke picha kachemka sasa analabila na kiswahili chake cha kijijini. Wenye akili zao wameweka picha za ushahidi Nape akihutubia watoto, yeye anaongea umbea tu bila ushahidi.

Kwa kifupi CCM hawakujua mtu sahihi wa kumtuma ndio wakachukua huyu kilaza asiyejua hata kiswahili.
 

Nilihudhuria mkutano wa CDM pale korogwe Mjini,mwitikio wa wananchi ulikua mkubwa sana.Ni vema ungetaja specific Area lakini si Mkoa wote wa Tanga kwa ujumla wake.
 
Acha Chuki, Watanzania wengi ni maskini wa akili, unaweza ukawa na nia nzuri ya kumsaidia ukishindwa kwa sababu ccm inapenda kuwa na taifa la wajinga ili watawale milele na wewe ni mmoja ya hao wajinga
 
Nilidhani mtoa mada angekuja na mpango mbadala wa kuwakomboa wananchi wa Tanga kiuchumi kumbe ni siasa tu. Ukiwa kwako umekalia sofa unakula kodi ya umma kupitia siasa, know that the world is different out there!
 

Ndugu kazi unayo, maana hii thread inaonyesha ujinga wako ulivyo komaa na kuzaa mauti ya ubongo wako.
 
Hata najiuliza huo U-Mzumbe kaupata wapi kama sio kudanganyana.
 
Ahh, huyu hapa member mwingine wa CHADEMA akiongea na watoto. Kweli watoto ni Mungu, wapigie magoti.


hahahahahahah bway bway bway teh teh teh anafundisha nini watoto coz wenyewe wakipga magoti wanajua wamepewa adhabu MAGAMBAZ KAZI KWELI KWELI
 

kwani walienda kuomba kura?
 

Hiyo CCM unayoizungumzia ipo kweli au ni ya kufikirika? Hoja ya mleta mada ni CDM kutokuwa na mvuto, watu kutokuhudhuria mikutano yake na aliahidi kutuletea picha. Mtoa hoja ameshindwa (hadi sasa) kuthibitisha aliyoyasema hasa kwa kushindwa kuleta picha ya uchache wa watu na mahali ulipofanyika mkutano. Wewe umeanza kudandia gari bila kujua linakwenda wapi.
 
Kweli huna akili,unaweka ppicha hiyo ukituambia ni mkutano wa CDM wakati nyuma kwenye iyo picha tunaona bendera nyingine.Au wewe kipofu?sikunyingine jipange kabla hujaweka picha za ajabu
Mkuu hujamuelewa tu sikonge. Kama ni wewe ni profesor basi ume specialize kwenye viazi
 
 

Unaongea pumba.

Chama Cha Majambazi (CCM) kama si kuchakachua 2010, DSM yote ubunge ulikuwa ni CDM, na pia Tanzania nzima hakuna mwnye akili timamu aliyechagua Chama Cha majambazi labda kwa Jambazi lazima amchague jambazi mwenzie, kama wale wa kule wahalifu majambazi wa Temeke DSM wanaotaka mkuu wa Polisi Mkoa abadilishwe ili waibe vizuri.

PEnye kuongea ukweli nyie mnasema kulalamika. Akili ZERO KWELI nyie


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Nilidhani mtoa mada angekuja na mpango mbadala wa kuwakomboa wananchi wa Tanga kiuchumi kumbe ni siasa tu. Ukiwa kwako umekalia sofa unakula kodi ya umma kupitia siasa, know that the world is different out there!


HUyu ni GAMBA tu, hana lolote kama kawaida yao kuanzisha kutengeneza kesi wakati hawana ushahidi, kama yaliyotokea katika kesi ya kupinga ubunge Arusha.

Huyu tunahitaji ushahidi wa picha, yeye anaanza kutuletea ngonjera anafikiri tupo shuleni hapa.

Acha kuropoka na kama huna mada usianzishe thread ili uonekane nawe upo. Changia mawazo ya wenzio au click "LIKE" nasi tutaelewa kuwa bado upo hai hujakufa kwa pressure ya kushindwa kuvuana magamba.


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
CDM haina utamaduni wa kusomba watu kwa MAFUSO na MATIPA ya mchanga kutoka ng'ambo moja kwenda ughaibuni kuhudhuria mikutano ya kisiasa.so hao waliohudhuria ni wakazi halisi wa eneo husika.Ungekuwa mkutano wa CCM tungeshuhudi mikokoteni na vikwewe ikisomba watu na kuwamimina eneo la tukio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…