Jitu la kienyeji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,416
- 7,928
Hili ndio kimba kubwa la mwanadamu lililohifadhiwa makumbusho ya uingereza.lenye upana wa sentimita 20 liligunduliwa mwaka 1972 na wajioloji kwenye mabaki sehemu ya Llyods Bank .je binadamu gani mwenye kimba kama hili?