Jitu la kienyeji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,418
- 7,929
- Thread starter
- #41
Kha![emoji125][emoji125][emoji125]Kimba Lina sura kama mtukufu mwendazake
Kha![emoji125][emoji125][emoji125]Kimba Lina sura kama mtukufu mwendazake
Je hii inasaida nini? Yaani kila wanachofanya wazungu waswahili wanapwakia? TumekwishaHili ndio kimba kubwa la mwanadamu lililohifadhiwa makumbusho ya uingereza.lenye upana wa sentimita 20 liligunduliwa mwaka 1972 na wajioloji kwenye mabaki sehemu ya Llyods Bank .je binadamu gani mwenye kimba kama hili?View attachment 1807462
Hilo Mbona Cha mtoto,Niliwahi shusha kimba hadi sinki lilijaa na jingine likabaki nje unafanya mchezo Nini??.
Ndo hivyo Mkuu,nikiamua kushusha mzigo unakuwa mzigo kweli!!!.inabidi utengeneze biogas
Ndio nashangaaHalinuki, Ila kwa kawaida huwa linaisha lenyewe likikaa kwa muda mrefu linajichanya na udongo.
Ina maana wao walilichukua likiwa bado fresh?
Daàh, kaka umevuka mpaka aisee. Let the man rest in peace. Speak not of the deadKimba Lina sura kama mtukufu mwendazake
Mkuu kumbe hua unakunya voluntarily?Ndo hivyo Mkuu,nikiamua kushusha mzigo unakuwa mzigo kweli!!!.
HhhhhhDuh wazungu wamenishinda tabia
hahahhaa asee nimecheka san leo [emoji23][emoji23]Hicho kikimba kwa muafrika mbona ni cha mtoto wa std 5. Kuna watu huwa wanaachia mizigo mpk kuflash hauwezekaniki
Hapana mkuu,ni mwili wangu ndo huwa unaamua kutegemea na chakula nilichokula.Mkuu kumbe hua unakunya voluntarily?
Na choo Cha shimo hili lazima utakutana na ritun maji lazima yakurukie baada ya mzigo kutuaHili kwenye choo cha en-suite utahangaika nalo sana na toilet brush. Hili mwake kwenye choo cha shimo, ukilipost hamuonani tena.
Hilo ukipigwa nalo mpaka ngeoKuna uchochoro mmoja mitaa ya vingunguti nilipita aisee nilikutana na mzigo huo mithiri ya mkono wangu halafu mrefuuu inaonekana jamaa aliutoa bila kuukatakata,nikajisemea aisee kuna watu wana maumbile ya ajabu kimba lote lile lilitokaje!??..na ikawaje likawa kubwa namna ile?!?..inaonekana jamaa hakuny* kama mwezi hivi
20cm upana sikweli hilo tobo la nyonga haifiki hiyo cm