Kimba kubwa la mwanadamu

Kimba kubwa la mwanadamu

20cm ni sawa na inch 7.8 upana.

Aisee ilo kundu ni pana mno,

Ni sawa na upana wa kichwa cha mtoto changa
 
Hili ndio kimba kubwa la mwanadamu lililohifadhiwa makumbusho ya uingereza.lenye upana wa sentimita 20 liligunduliwa mwaka 1972 na wajioloji kwenye mabaki sehemu ya Llyods Bank .je binadamu gani mwenye kimba kama hili?View attachment 1807462
binadamu gani, swali gani hilo. kwani kwa Tanzania hii hawa wale wala ugali mgumu na mwingi watani zangu wasuk.., unafikiri makimba yao yatakuwa mchezomchezo?
 
Back
Top Bottom