haki na usawa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 485
- 138
Hivi unadhani mwanamme mmoja anamtosheleza mwanamke? Au wanawake hawana matamanio?
Si lazima kuoa, bora kuwa free ukala upendavyo.
huna lolote migenyeyakizembe@matamanioyakishamba.co.mmuNaomba tujadili pamoja hii kauli.... Kwa mimi nasema tusikashifu dini za watu, kama maandiko yanavyosema ( wewe una dini yako na mimi ninayangu, siwezi kuabudu unachokiabudu na wewe huabudu ninacho kiabudu,. Kwahiyo kila mmoja anaabudu anachokiabudu)
Sasa hapa narudi kwenye uzi,. mwanaume , mwanamke mmoja hakidhi haja za matamanio yake. Ndio maana dini ya Uislamu, imemuagiza mwanaume aoe kuanzia wawili, watatu au wanne na huyo mwanaume Akiwa anahofia uadilifu basi aoe mmoja.
Kwahapo kimaumbile tulivyoumbwa unaona hali ya mwanaume ikoje
*** kidokezo kwa utafiti uliofanywa. kuwa na mke mmoja inafika wakati matamanio yanapungua au unakuta unakung'uta kimoja au viwili, thunalala zako, gemu halinogi kiviile.
Lakini ukiwa na wawili/watatu au 4i hizo nguvu sio mchezo siku tatu huku tatu kule, waacha wewe unakuwa more active hata wake zako wanaenjoy game dakika zote 90.
Haya tuende maoni yenu yana umuhimu.
Hivi unadhani mwanamme mmoja anamtosheleza mwanamke? Au wanawake hawana matamanio?
Si lazima kuoa, bora kuwa free ukala upendavyo.
kama muumba angeliona hilo hakika angemuumbia adamu mke zaidi ya mmoja,lakini kwa kuwa alijua inawezekana sana kwa mwanaume kuridhishwa na mwanamke mmoja ndio maana akampa mke mmoja tu hawa,hayo mengine ya kimaumbile na sijui nini ni innovation za wanadamu tu ili kuhalalisha uasherati,hivyo ndivyo nionavyo mimi.
Naomba tujadili pamoja hii kauli.... Kwa mimi nasema tusikashifu dini za watu, kama maandiko yanavyosema ( wewe una dini yako na mimi ninayangu, siwezi kuabudu unachokiabudu na wewe huabudu ninacho kiabudu,. Kwahiyo kila mmoja anaabudu anachokiabudu)
Sasa hapa narudi kwenye uzi,. mwanaume , mwanamke mmoja hakidhi haja za matamanio yake. Ndio maana dini ya Uislamu, imemuagiza mwanaume aoe kuanzia wawili, watatu au wanne na huyo mwanaume Akiwa anahofia uadilifu basi aoe mmoja.
Kwahapo kimaumbile tulivyoumbwa unaona hali ya mwanaume ikoje
*** kidokezo kwa utafiti uliofanywa. kuwa na mke mmoja inafika wakati matamanio yanapungua au unakuta unakung'uta kimoja au viwili, thunalala zako, gemu halinogi kiviile.
Lakini ukiwa na wawili/watatu au 4i hizo nguvu sio mchezo siku tatu huku tatu kule, waacha wewe unakuwa more active hata wake zako wanaenjoy game dakika zote 90.
Haya tuende maoni yenu yana umuhimu.
Qur'an
4:3. Na ikiwa mnaogopa kuwa hamtowafanyia mayatima uadilifu, basi oeni mnao wapenda katika wanawake, wawili au watatu au wane. na mkiogopa kuwa hamwezi kufanya uadilifu, basi mmoja tu, au wale ambao mikono yenu ya kulia imewamiliki. Kufanya hivi ndiko kutapelekea msikithirishe wana.
4:127. Wanakuuliza nini sharia ya wanawake. Sema: Mwenyezi Mungu ana kutoleeni fatwa juu yao, na mnayo somewa humu Kitabuni kukhusu mayatima wanawake ambao hamwapi walicho andikiwa, na mnapenda kuwaoa, na kukhusu wanyonge katika watoto, na kwamba mwasimamie mayatima kwa uadilifu. Na kheri yoyote mnayo fanya Mwenyezi Mungu anaijua.
128. Na mwanamke akichelea kutupwa au kutojaliwa na mumewe, basi si vibaya kwao wakisikizana kwa suluhu. Na suluhu ni bora. Na nafsi zimewekewa machoni mwake tamaa na choyo. Na mkifanya wema na mkamchamngu basi hakika Mwenyezi Mungu anazo khabari za yote mnayo yatenda.
129. Wala hamtaweza kufanya uadilifu baina ya wake, hata mkikakamia. Kwa hivyo msimili moja kwa moja mkamwacha (mmojapo) kama aliye tundikwa. Na mkisikizana na mkamchamngu basi Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa maghfira na Mwenye kurehemu.
Naomba tujadili pamoja hii kauli.... Kwa mimi nasema tusikashifu dini za watu, kama maandiko yanavyosema ( wewe una dini yako na mimi ninayangu, siwezi kuabudu unachokiabudu na wewe huabudu ninacho kiabudu,. Kwahiyo kila mmoja anaabudu anachokiabudu)
Sasa hapa narudi kwenye uzi,. mwanaume , mwanamke mmoja hakidhi haja za matamanio yake. Ndio maana dini ya Uislamu, imemuagiza mwanaume aoe kuanzia wawili, watatu au wanne na huyo mwanaume Akiwa anahofia uadilifu basi aoe mmoja.
Kwahapo kimaumbile tulivyoumbwa unaona hali ya mwanaume ikoje
*** kidokezo kwa utafiti uliofanywa. kuwa na mke mmoja inafika wakati matamanio yanapungua au unakuta unakung'uta kimoja au viwili, thunalala zako, gemu halinogi kiviile.
Lakini ukiwa na wawili/watatu au 4i hizo nguvu sio mchezo siku tatu huku tatu kule, waacha wewe unakuwa more active hata wake zako wanaenjoy game dakika zote 90.
Haya tuende maoni yenu yana umuhimu.
is there scientific proof for that?? "wanakuwa hawaja 'recharge'"
umenikumbusha stori niliyosoma rahatupu, mke ana miaka 5 ndoani lakini hajawahi kupata orgasmAsante mwalimu mkuu.
Hawajui hawaturidhishi tunawastahi tu.
kama muumba angeliona hilo hakika angemuumbia adamu mke zaidi ya mmoja,lakini kwa kuwa alijua inawezekana sana kwa mwanaume kuridhishwa na mwanamke mmoja ndio maana akampa mke mmoja tu hawa,hayo mengine ya kimaumbile na sijui nini ni innovation za wanadamu tu ili kuhalalisha uasherati,hivyo ndivyo nionavyo mimi.
hawa jamaa wanaopinga hawajawahi kutoka inje? Ukweli mwanamke mmoja hatoshi, hapa nilipo nina wanawake 4, bibi mkubwa ana miaka 40, bibi mdogo anayefuata ana mika 25. anayefuata 20, huyu wa mwisho nimemuowa mwaka huu ana miaka 18. Nafaidi mapenzi kuliko hata mawaziri