Kilo ya sukari Tsh. 3000 wakati sukari kutoka Zambia ni Tsh 2000 mnaizuia

Hii nchi ni ngumu sana kuielewa Sukari kutoka Zambia inauzwa 2000-2200 lakini cha kushangaza wanashindwa kuweka utaratibu wa Sukari kuingia.

Wanawakamata wateja ambao wameshanunua Sukari wakiwa ndani ya Tanzania.

Yaani unamkamata mtu kisa kabeba kilo moja ya Sukari kwenye basi? Hivi tuna serikali kweli hapa?

Sasa unajiuliza tunakwama wapi? Serikali ipo imeshindwa kutoa ruzuku kwenye viwanda vya ndani angalau sukari ipatikane kwa 1800?

Kama Sukari haitoshelezi mahitaji kwanini viwanda vya ndani visiagize vyenyewe Sukari na kuuza bei ya around 2000?

Inakuwaje Sukari kutoka nje inakuwa na bei ndogo halafu ya ndani inakuwa na bei kubwa tuna tatizo kama nchi inaonyesha hatuwezi biashara.

Haya ndio mambo sasa serikari inatakiwa kuyafanyia kazi.

Kama mambo yanayowahusu wananchi wa chini serikali haiwezi kuyafanyia kazi.

Basi hatuna serikali.
Hauwezi ukaruhusu bidhaa kutoka nje ya nchi ikaingia ndani ya nchi bila utaratibu maalumu, ina athari kubwa sana katika uchumi wa nchi hasa katika ukuaji wa viwanda na pato la taifa kiujumla. Wale waliosomea uchumi nadhani tunaelewena vizuri zaidi "MULTIPLIER EFFECT"
 
Lazima ilinde viwanda vya ndani. Ikiruhusu tu, mtibwa sugar, kagera sugar, tppc nk azam. Vifungwe, walioajiliwa huko warudi makwao kisa kukufurahisha wewe mura, tata. Unafikiria tumbo rako mura
Zanzibar Kuna kiwanda kimoja tu Cha mahonda na Zanzibar kilo sh 1500 ,na Zanzibar umeme wanapata kutokea bara .

Kwa kuwa wewe Ni mchumi embu nielezee huku bara tuna viwanda kibao tunakwama wapi ?
 
Hii nchi ni ngumu sana kuielewa Sukari kutoka Zambia inauzwa 2000-2200 lakini cha kushangaza wanashindwa kuweka utaratibu wa Sukari kuingia.

Wanawakamata wateja ambao wameshanunua Sukari wakiwa ndani ya Tanzania.

Yaani unamkamata mtu kisa kabeba kilo moja ya Sukari kwenye basi? Hivi tuna serikali kweli hapa?

Sasa unajiuliza tunakwama wapi? Serikali ipo imeshindwa kutoa ruzuku kwenye viwanda vya ndani angalau sukari ipatikane kwa 1800?

Kama Sukari haitoshelezi mahitaji kwanini viwanda vya ndani visiagize vyenyewe Sukari na kuuza bei ya around 2000?

Inakuwaje Sukari kutoka nje inakuwa na bei ndogo halafu ya ndani inakuwa na bei kubwa tuna tatizo kama nchi inaonyesha hatuwezi biashara.

Haya ndio mambo sasa serikari inatakiwa kuyafanyia kazi.

Kama mambo yanayowahusu wananchi wa chini serikali haiwezi kuyafanyia kazi.

Basi hatuna serikali.
hizo sukari za zambia na wengineo zinaonekana za bei nafuu kwani hazina ushuru ,ni za magendo
 
Hii nchi ni ngumu sana kuielewa Sukari kutoka Zambia inauzwa 2000-2200 lakini cha kushangaza wanashindwa kuweka utaratibu wa Sukari kuingia.

Wanawakamata wateja ambao wameshanunua Sukari wakiwa ndani ya Tanzania.

Yaani unamkamata mtu kisa kabeba kilo moja ya Sukari kwenye basi? Hivi tuna serikali kweli hapa?

Sasa unajiuliza tunakwama wapi? Serikali ipo imeshindwa kutoa ruzuku kwenye viwanda vya ndani angalau sukari ipatikane kwa 1800?

Kama Sukari haitoshelezi mahitaji kwanini viwanda vya ndani visiagize vyenyewe Sukari na kuuza bei ya around 2000?

Inakuwaje Sukari kutoka nje inakuwa na bei ndogo halafu ya ndani inakuwa na bei kubwa tuna tatizo kama nchi inaonyesha hatuwezi biashara.

Haya ndio mambo sasa serikari inatakiwa kuyafanyia kazi.

Kama mambo yanayowahusu wananchi wa chini serikali haiwezi kuyafanyia kazi.

Basi hatuna serikali.
Kiro = kilo???? au ni kitu kingine?
 
Mngejua kitu kimoja.Hakuna nchi iliyoendelea kwa kuimport bila kuwa na viwanda vya ndani.
Pili tunaita mnyororo wa thamani. Kiwanda kinavyozalisha, kitalipia umeme, maji, land rent, kodi,
Wataajili wafanyakazi ambao watalipia paye, nssf, ppf
Watakodi makampuni ya ndani kwa ajili ya usambazaji wa bidhaa kwenda mikoani nk. Watafaidika makampuni ya usafirishaji na wafanya kazi wao na pia watanunua mafuta kwa ajili ya kusafirisha mizigo, matairi, spea, nk
Watakuwa na distributors ama wauzaji wakubwa na wadogo

Sasa ukiangalia huo mnyororo wa thamani unanufaisha wengi kwa kutoa ajira na mzunguko.
Ukimruhusu mura alete yeye Sukari ya bei rahisi atafaidika yeye na mke wake na watoto wake na ataajili cheap labor meneja wake atamlipa laki 2 bila mkataba.

Tataaa muraaa mutani wangu huyo
Halafu mtu anasema bei ya Kilo moja ya sukari ya magendo ile ya Tunduma ndo 2300 lakini hata ile akienda kulipia TRA kilo itafika 3000-3200

Kuunga mkono ile sukari ni sawa na kusema watu wasilipe kodi

Ugomvi wetu mkubwa ingekua katika swala la kodi kwanini kodi iko juu??? Wasomi wote wale TRA wanashindwa kubuni njia za kutanua wigo wa walipa kodi ila wanaongeza kodi katika bidhaa zile zile kila siku kwanini??
 
Kosea kutamka sio kuandika "kiro" ndio kitu gani?
 
Mkuu umeniqoute mimi unajua kusoma kweli?? Kuna sehemu nimeandika "kiro"???

Au hujui matumizi ya qoutes, reply no
My bad bro sio wewe .na sio kosa langu Bali hizi laga za mchana, chillax bro
 
Mi nafikiri hili swala la sukari shida si upungufu bali serikali imeamua kujipatia pesa kutoka kwa mwananchi kwa lazima.

Nakumbuka sukari ilipopanda kutoka 2,000 hadi 2,500 kipindi cha kwanza cha JPM siasa zilianza kukagua viwanda, kutoa bei elekezi, serikali kuahidi kununua sukari ya kutosha toka nje na kuahidi adhabu kwa atayeuza bei tofauti lakini bado haikushuka hakuna yeyote aliyeshikwa kwa kosa la kuuza bei tofauti zaidi ya drama iliyochezwa nadhani ilikuwa Moshi mkuu wa mkoa alipita madukani akiwapiga mkwara wenye maduka.

Baada ya hapo ikawa kimya na kuzidi kupanda hasa maeneo ya pembezoni hadi leo kilio ni kile kile.
 
Tatizo mnaleta usomi uchwara kwenye jambo linalowaumiza watanzania wengi, hapa wanaofaidika ni wamiliki wa viwanda wamejificha kwenye kivuli cha kulinda viwanda vya ndani wakati zaidi ya watz mil 50 wanaumia na bei ghali ya sukari.Serikali iruhusu sukari kutoka nje,viwanda vya ndani kwa makusudi wanapandisha bei wanavyotaka kwa kuwa soko wamelishika wao kwa nguvu na hawataki ushindani na matokeo yake wanaoumia ni wananchi walio wengi.HIVI WABUNGE KATIKA HII NCHI WANA KAZI GANI HAYA MASUALA YA MSINGI NDIO YA KUZUNGUMZIA BUNGENI LAKINI WAKO KIMYA!!!!!
Hauwezi ukaruhusu bidhaa kutoka nje ya nchi ikaingia ndani ya nchi bila utaratibu maalumu, ina athari kubwa sana katika uchumi wa nchi hasa katika ukuaji wa viwanda na pato la taifa kiujumla. Wale waliosomea uchumi nadhani tunaelewena vizuri zaidi "MULTIPLIER EFFECT"
 
Tatizo mnaleta usomi uchwara kwenye jambo linalowaumiza watanzania wengi, hapa wanaofaidika ni wamiliki wa viwanda wamejificha kwenye kivuli cha kulinda viwanda vya ndani wakati zaidi ya watz mil 50 wanaumia na bei ghali ya sukari.Serikali iruhusu sukari kutoka nje,viwanda vya ndani kwa makusudi wanapandisha bei wanavyotaka kwa kuwa soko wamelishika wao kwa nguvu na hawataki ushindani na matokeo yake wanaoumia ni wananchi walio wengi.HIVI WABUNGE KATIKA HII NCHI WANA KAZI GANI HAYA MASUALA YA MSINGI NDIO YA KUZUNGUMZIA BUNGENI LAKINI WAKO KIMYA!!!!!
Mkuu labda uzungumzie ni kwa namna gani serikali iboresha hivi viwanda vya ndani ili kuongeza uzalishaji, lakini kuagiza bidhaa kutoka nje ambazo hata na sisi tunaweza tukazitengeza athari yake ni uchumi wetu kuendelea kudidimia na hatimae kuwa masikini milele.
 
Hii nchi ni ngumu sana kuielewa Sukari kutoka Zambia inauzwa 2000-2200 lakini cha kushangaza wanashindwa kuweka utaratibu wa Sukari kuingia.

Wanawakamata wateja ambao wameshanunua Sukari wakiwa ndani ya Tanzania.

Yaani unamkamata mtu kisa kabeba kilo moja ya Sukari kwenye basi? Hivi tuna serikali kweli hapa?

Sasa unajiuliza tunakwama wapi? Serikali ipo imeshindwa kutoa ruzuku kwenye viwanda vya ndani angalau sukari ipatikane kwa 1800?

Kama Sukari haitoshelezi mahitaji kwanini viwanda vya ndani visiagize vyenyewe Sukari na kuuza bei ya around 2000?

Inakuwaje Sukari kutoka nje inakuwa na bei ndogo halafu ya ndani inakuwa na bei kubwa tuna tatizo kama nchi inaonyesha hatuwezi biashara.

Haya ndio mambo sasa serikari inatakiwa kuyafanyia kazi.

Kama mambo yanayowahusu wananchi wa chini serikali haiwezi kuyafanyia kazi.

Basi hatuna serikali.
Serikali inahusika vipi kumkamata mtu na kg 1 ya sukari? Sema watumishi uchwara. Nionavyo mimi... Ikiwa ni serikali inafanya upuuzi huo basi... Tuihukumu ccm
 
Inabidi tumtafute Zuchu tuulize yeye anatoa wali hiyo Sukari, shuga sukari 🤣
 
Hii nchi ni ngumu sana kuielewa Sukari kutoka Zambia inauzwa 2000-2200 lakini cha kushangaza wanashindwa kuweka utaratibu wa Sukari kuingia.

Wanawakamata wateja ambao wameshanunua Sukari wakiwa ndani ya Tanzania.

Yaani unamkamata mtu kisa kabeba kilo moja ya Sukari kwenye basi? Hivi tuna serikali kweli hapa?

Sasa unajiuliza tunakwama wapi? Serikali ipo imeshindwa kutoa ruzuku kwenye viwanda vya ndani angalau sukari ipatikane kwa 1800?

Kama Sukari haitoshelezi mahitaji kwanini viwanda vya ndani visiagize vyenyewe Sukari na kuuza bei ya around 2000?

Inakuwaje Sukari kutoka nje inakuwa na bei ndogo halafu ya ndani inakuwa na bei kubwa tuna tatizo kama nchi inaonyesha hatuwezi biashara.

Haya ndio mambo sasa serikari inatakiwa kuyafanyia kazi.

Kama mambo yanayowahusu wananchi wa chini serikali haiwezi kuyafanyia kazi.

Basi hatuna serikali.
Ndiyo nini kiro? Au ni kilo.....?
 
Cement Kenya inauzwa 12000/= lakini ya Tanzania 24000/= halafu unalazimishwa ununue hiyo ya Tanzania.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom