Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,240
Kama kawaida MC ni Mpoki ataendelea kuwanyoosha wageni maarafu hapo ukumbini.
Hata sielewi mwaya tupige tu hivyo hivyo.
Usisahau kumpigia kura King kwenye tuzo za watu.Kama hujui mchakato nitafute chemba dear.
Me pia namtia king kura yangu chap.
Kama kawaida MC ni Mpoki ataendelea kuwanyoosha wageni maarafu hapo ukumbini.
huyo Mo Music mshamba kwel anajidai ameshakua star wa kususia vitu wakati bado alfajiri kabisa. Nina uhakika ata angewekwa kwenye hicho kipengele angeburuzwa na Baraka Da Prince coz dogo yupo njema kuliko yeye.
Anawasikiliza XXL wale hawana cha kupoteza.
Asijilinganishe na Dully yule nguli long time kwenye game.
Me pia namtia king kura yangu chap.
We nawe sijui umekula maharage ya wapi? Unaiaibisha JF, unaibisha members wote, hufai wewe, kalale mzee.
Hivi hujui kuwa Mo music ni msomi? Anachukua bachelor SAUT kwahiyo ana ufahamu na sio mtu wa kupelekeshwa kama wasanii wa Form2.
Mmmh...Ilo nalo n Wazo Zur pia. Ni kwel lakn Mimi stak kuamin kama Mo music hakupigiwa kura..
Huu mwaka ni wa kiba, nathubutu kusema hakuna wimbo bora tangu tumepata uhuru kama wimbo wa Mwana, huu wimbo utampa kiba tuzo nyingi, sema video ndiyo iliharibu kidogo ila na video ingekidhi matarajio ya wengi na hakika kiba angebeba hadi tuzo za Taarabu na zuku japo siyo nominee huko.
Mtani mimi nipo kila leo! Mzima lakini?
alipigiwa ndo manake yupo kipengele kingine ila utashi pia utumike. basata wajipange
Huyu dogo anaanza kulewa sifa sasa.Hizi ndio tuzo za kwanza kwake tokea aanze mziki na hata hivyo kapata nomination moja sio mbaya.
Sasa Mavoko aseme vipi? Ameanza muziki siku nyingi na hajawahi kutoa nyimbo mbaya hata moja.Tena nyingine zimewahi kuwa kama nyimbo za taifa mf. Roho yangu.
Hapo sijasema kuhusu belle 9.
Beka title anastahili kuwepo jamaa anajua sana, labda kwa hao wengine. Too bad wamemuacha Mo music
Huyu dogo anaanza kulewa sifa sasa.Hizi ndio tuzo za kwanza kwake tokea aanze mziki na hata hivyo kapata nomination moja sio mbaya.
Sasa Mavoko aseme vipi? Ameanza muziki siku nyingi na hajawahi kutoa nyimbo mbaya hata mojao.Tena nyingine zimewahi kuwa kama nyimbo za taifa mf. Roho yangu.
Hapo sijasema kuhusu belle 9.
Huyo mtoto ni mjinga anashindwa kujua kuwa wananchi ndio wamependekeza majina na wao ndio walio mpigia kura chache ndio maana hayupo....
Na yeye aka anzishe za kwakwe kama H baba! Mimi mwenyewe si kumpendekeza na sikuweza kumpendekeza kwa ule wimbo mmoja!
huyo mtoto kumbe mjinga hivo, nilikuwa namtetea ila hapa simsapoti, kususasusa ni ujinga, halafu yeye ndo kwanza anaianza safari, angesusa mtu kama Belle 9 au Mavoko sawa kwakuwa tushajua uwezo wao kwamba ni wakali hata wasipopewa tuzo, ila kawimbo kamoja ushapata bichwa na kuanza kususa? boya kweli huyu, hapo ndo kajitia gundu kabisa, sidhan kama atafanya vizuri tena
Mjinga na kaniudhi kwelikweli.Hasira zote hizo kisa katoa hit moja tu? Na kapata nomination moja analalamika nini?
Hahahahahaa nilikua sijui hilo la H Baba!
Hivi ni mdau gani wa muziki asione kazi kubwa aloifanya mavoko?
Au wanamfanyia makusudi?
Sielewi!!
Teh Teh H Baba alipanic kabisa akaponda sana na kujitoa kabisa akaanzisha tunzo za familia yake..nilisikia kampa tunzo mtoto wake na mkewe na akajipa na yeye nilicheka sana..ngoja nifatilie zaidi!
Huyo Mo music kichwa kibovu sijui msukuma wa wapi huyu..yani anashindwa kuvumilia yeye ni nani kwenye muziki ?