Killi Music Awards

Killi Music Awards

nifah ni kweli yamoto wapo vipengele viwili 26 na 33
 
Last edited by a moderator:
Wadau msipige sana kelele kuwa wamekosea kupanga hizo categories....,hiyo ni mojaya consequences zakuruhusu watu tusio Na taaluma nzuri ya kimuziki kupendekeza wasanii gani wawekwe or wasiwekwe kwenye hizo categories..., grammy, .. Na tunzo kubwa nyinginezo wanaopendekeza ni professionals Na RAIA hupiga kura tuu ,
 
Last edited by a moderator:
Hivi ni mdau gani wa muziki asione kazi kubwa aloifanya mavoko?
Au wanamfanyia makusudi?
Sielewi!!

Hayupo hata sijashtuka maana hajui soko linataka nini kaanza vizuri ila anajishusha mwenyewe
 
Hivi ni mdau gani wa muziki asione kazi kubwa aloifanya mavoko?
Au wanamfanyia makusudi?
Sielewi!!

Pengine hayupo karibu na wadau wakuu, maana inashangaza mtu kama Jux anapata nomination zote hizo kwa mziki gani? Ndo tuseme watanzania wanampenda sana wamempigia kura? Huu ni urongo...
 
Usibonyezeeee yaani!!!
Ni mwendo wa kura tu!
Hivi kule kwenye tuzo za watu washarekebisha web yao maana ilikuwa inagoma kwenye kusubmit.

Tayari maana leo nimepiga na nikasubmit vizuri tu.
Ila wananikera wanavyoweka masharti ya kupiga kila kipengele!
Halafu cha Kiba kipo mwishoooo acha tu.Ilikua kidogo niahirishe ila nikifikiria King tu weeee nikamalizia fastaaa...lol
 
Nilitegemea Christian Bella na Malaika band kutawala. Rich Mavoko ukiondoa hizo video mbili za Diamond ya kwake ndio video bora kabisa. Jide namkubali ila huu mwaka uluoisha hakuwa na heat yoyote mtaani wamemweka hapo kuogopa lawama au? Roma nae kaimba nini cha kumzidi Young killer? Pumbaff zao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom