Mmasihiya
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 389
- 172
Beka title anastahili kuwepo jamaa anajua sana, labda kwa hao wengine. Too bad wamemuacha Mo music
Beka title sio chipukizi ndo walipochemka hapo sidhani kama umemjua beka title mwaka jana
Beka title anastahili kuwepo jamaa anajua sana, labda kwa hao wengine. Too bad wamemuacha Mo music
Ha ha ha ha ha! Sasa hizo tuzo zinaitwaje? Haki vile nimecheka sana.Fuatilia bwana upate japo na kapicha nizidi kuvunjika mbavu!
Hapo sasa.Huyo Kiba tu na umahiri/umashuhuri wake wote hadi leo hii ana tuzo chache tofauti na stahiki yake lakini mbona hasemi chochote?
Huyu bwana mdogo kanikera sana nimeshamtoa kwenye list ya ninaowakubali.
Teh Teh nitafatilia ili nilete details kamili na picha ....ana ziita tunzo za familia!hawa n!dio wasanii wasukuma wa ajabu sana..huyu H baba bila shaka ndio kampa ushauri More music ...huyu kijana nina hakika ndio kapotea kwenye soko la music..hivi anafikiri ni lazima yeye apate tunzo au awe nominated...? Sijuti kutompendekeza hata kipengele kimoja...
Beka title sio chipukizi ndo walipochemka hapo sidhani kama umemjua beka title mwaka jana
Teh Teh H Baba alipanic kabisa akaponda sana na kujitoa kabisa akaanzisha tunzo za familia yake..nilisikia kampa tunzo mtoto wake na mkewe na akajipa na yeye nilicheka sana..ngoja nifatilie zaidi!
Huyo Mo music kichwa kibovu sijui msukuma wa wapi huyu..yani anashindwa kuvumilia yeye ni nani kwenye muziki ?
Huyo mtoto ni mjinga anashindwa kujua kuwa wananchi ndio wamependekeza majina na wao ndio walio mpigia kura chache ndio maana hayupo....
Na yeye aka anzishe za kwakwe kama H baba! Mimi mwenyewe si kumpendekeza na sikuweza kumpendekeza kwa ule wimbo mmoja!
Ni kwel mkuu inaonekana dogo amepata kiburi na kijiweka nafasi flani ya juu kua ameshamaliza kazi.
Narudia tena mshkaji anasubiri kwa Baraka Da Prince ata hyo tuzo ingewezekana asingeichukua kama wenzie wanavyomwaminisha huko aliko.
Oyoooooo.Na hizi tuzo za mwaka huu ndio most awaited awards!
Njooni sasa tuanze kujiandaa kupiga kura wakati utakapofika. Mdakuzi Matola Avemaria atoto geniveros cute b Abou Saydou Athen Diva Beyonce lukelo sakafu mnyepe na Kiba fans wote.
So bad Yamoto band wamepata nominations mbili tu japo wametamba sana mwaka huu.
Too bad kwa Rich Mavoko pamoja na kujitahidi sana ila sijaona akipata nominations hata 1! Wimbo wa pacha wangu na video yake vilistahili hata kupata tuzo moja!
#nifah yamoto band nawapenda but nasikitika hata wangepata kwingi sidhani kama wangeshinda as kwenye maadil ingeweza kuwa ishu sana.
Kwa sasa inabidi wawe makin sn na content ya nyimbo zao
Oyoooooo.Na hizi tuzo za mwaka huu ndio most awaited awards!
Njooni sasa tuanze kujiandaa kupiga kura wakati utakapofika. Mdakuzi Matola Avemaria atoto geniveros cute b Abou Saydou Athen Diva Beyonce lukelo sakafu mnyepe na Kiba fans wote.
So bad Yamoto band wamepata nominations mbili tu japo wametamba sana mwaka huu.
Too bad kwa Rich Mavoko pamoja na kujitahidi sana ila sijaona akipata nominations hata 1! Wimbo wa pacha wangu na video yake vilistahili hata kupata tuzo moja!
Woyoooooooo.....
Nitapiga kura mpaka nichanganyikiwe mamie kwa hilo halina ubishiiiiiii
Poa poa,nakuaminia.Ila sasa hivi uwe unapiga na kule kwa tuzo za watu mamy.
Ni kweli my dear, na naona hiki ndicho kilichowafanya wakose nominations nyingi sababu ya nyimbo zao za matusi.
Kuna kipindi tumewahi kulalamika hapa jamvini tukaonekana wabaya, nikaambiwa nina figisu figisu...
Haya sasa, yako wapi?
cc: el nino
Poa poa,nakuaminia.Ila sasa hivi uwe unapiga na kule kwa tuzo za watu mamy.
Zipi izo mamie...
Ujue nimetoka kijijini ebu nieleweshe kwanzaaaaaa
Yaani hakuna kitu kinanikera km ule ulazima wa kupigia kategoria zote, agggrrrr