Killi Music Awards

Killi Music Awards

Gospel music ilitakiwa iwepo, ihusishe wale tu wanaotaka kushiriki masuala ya ulokole wa itikadi kali ndiyo unakwamisha mziki wa injili kupata fursa kama hizi, mbona chanel O hadi gospel music category huwa zinakuwepo kwanini siwe kwetu.

Hata ningekuwa mimi naandaa tuzo nisingeiweka Gospo, Rose Muhando kupewa tuzo na Kili ilikuwa nongwa, watu wakachonga balaa. Hadi Joh Makini akapata cha kuimba, "Wanatuzwa na wanaotengeneza bia....."
 
Mpaka wamewaweka ujue wamequalify so hapo ni kazi kwako kumchagua nani mkali zaidi ya wenzie. Mi nafanya kumbonyezea Kiba tu kwa hao wengine najaza tu nitakavyojisikia.

Mimi nilitaka nikienda nimpigie Kiba tu.Sasa hayo masharti yao ya kupigia kila kipengele sijayapenda.
Ila ndivyo ilivyo naona mashindano mbalimbali hua wanafanya hivyo.
Ngoja nikapige tena na leo.
 
Kwa kweli nifah hta mm am so not happy kabisa why mavoko? Hata khs yamoto pia mapokeo hayajawa makubwa kiivo km tulivotegemea depend on how nyimbo zao zinavopendwa.its weird!!! Cha muhim tuendelee kupiga kura2

No way my dear,kilicho baki kila mmoja ampigie kura msanii wake anayempenda wakati ukifika kama ulivyosema.
 
Muda wa kiba kushainnnnnn haya twendeeeee

Twende kazi.Wakati ukifika ni ku vote kama hatuna akili nzuri.
Kimbembe siku ya kutoa tuzo sasa!
Hiyo siku sijui nitakua katika hali gani.
 
Sioni sababu ya ALI KIBA kutoketokea mara kwa mara. Ni ujinga ujinga tu.

Hzi zitakua ni tuzo mbovu kuwahi zishuhudia.

Na ole wenu BELE 9 asishinde mwaka huu.

Na utakufa mwaka huu, andaa jeneza tu maana hakuna wimbo bora wa kushindana na Mwana.
 
Twende kazi.Wakati ukifika ni ku vote kama hatuna akili nzuri.
Kimbembe siku ya kutoa tuzo sasa!
Hiyo siku sijui nitakua katika hali gani.

Hahahaaaaa mi mwenyew I cant tell, coz kiukwel this yr nimination zina competition kubwa ever, and z way I see things na jinc wasanii walvocharuka kufanya vi2 vya maana itakuwa shdaaa hko miaka ya mbelen!!!!
 
Mimi mpenzi wa gosp sana,ila rose muhamdo alitukanwa sana na tuzo za kili,ila kiukweli wimbo bora ali k,atachukua,mw/bora kiume na video ya mwaka,dai anachukua,
 
tatizo basata wanategemea sana kura za raia ili wapate hayo majina. wakati wanatakiwa kufatilia music industry

Mmmh...Ilo nalo n Wazo Zur pia. Ni kwel lakn Mimi stak kuamin kama Mo music hakupigiwa kura..
 
Twende kazi.Wakati ukifika ni ku vote kama hatuna akili nzuri.
Kimbembe siku ya kutoa tuzo sasa!
Hiyo siku sijui nitakua katika hali gani.

Hivi hawafanyagi magumashi kweli mana nchi vitu vingi ujanja ujanja.
 
Hata sielewi mwaya tupige tu hivyo hivyo.
Usisahau kumpigia kura King kwenye tuzo za watu.Kama hujui mchakato nitafute chemba dear.

Yaani hakuna kitu kinanikera km ule ulazima wa kupigia kategoria zote, agggrrrr
 
dogo mbona kapotea? angetoa singo ya pili tungeona sababu ya kumweka hapo

Tunzo ni kwa waliofanya vizuri last year..na dogo mwaka jana kafanya poa sana ..so alistahili kuwepo hapo
 
Na utakufa mwaka huu, andaa jeneza tu maana hakuna wimbo bora wa kushindana na Mwana.

Sawa..., .. Mwana!!??
Shukuruni mnatembelea nyota, na bila hli bifu cjui mngekimbilia wap?
 
Jamani nauliza tu... Hizo tuzo huwa zinaenda sambamba na kiasi cha fedha au ni tuzo tu....

Kuuliza sio ujinga wanajamvi...
 
Sawa..., .. Mwana!!??
Shukuruni mnatembelea nyota, na bila hli bifu cjui mngekimbilia wap?

Eti nyota,nyota ni kitu gani? Sijawahi kumsikia Ali Kiba akiongelea huo upuuzi.
Na hata mimi binafsi siamini katika hilo,piga kazi watu waone.
 
baada ya kukosa nomination kwenye hizo tuzo kupitia kipengele cha upcoming artist.


cc bele9
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom