ndutukomesha
Senior Member
- Apr 17, 2014
- 110
- 28
Tunzo zimekosa mvuto kukosekana kwa mavoko ila Bob rich don't give up
View attachment 247795View attachment 247796
Lady jaydee dada yako siku zote uongo hupanda lifti na ukweli hupanda ngazi, usikate tamaaa hata kama wamedhamilia kukushusha.
Kama namuona vile Diamond anavyonyakua tuzo sita
Tayari maana leo nimepiga na nikasubmit vizuri tu.
Ila wananikera wanavyoweka masharti ya kupiga kila kipengele!
Halafu cha Kiba kipo mwishoooo acha tu.Ilikua kidogo niahirishe ila nikifikiria King tu weeee nikamalizia fastaaa...lol
Wimbo wake ulomtambulisha mwanzo wakati anajiita baraka unaitwa SIO FINE.Aliimba;
Ukaona sina thamani kwa penzi langu ukaniacha naliaaa,
na unyenyekevu niloonyesha,kubembelezwa ukakataa,
Sikufa moyo nikaona bora nikufate mumylabda utapokeaa,kwa aibu,Mipango yangu ikagomaa barabara matusi,mate ukaniteemaa
Nami kwa maombiii,nikafunga nikiomba ili mradi uwe wanguu,
Nilpobisha hodii,moyo ukaufunga na ukakana penzi languuu.
Baby so fineee,so fineee!!
Na kichupa kipya kinaitwa SIACHANI NAWE
Pengine hayupo karibu na wadau wakuu, maana inashangaza mtu kama Jux anapata nomination zote hizo kwa mziki gani? Ndo tuseme watanzania wanampenda sana wamempigia kura? Huu ni urongo...
Hayupo hata sijashtuka maana hajui soko linataka nini kaanza vizuri ila anajishusha mwenyewe
Haa you can't be serious!
Tokana na game lilivo hawezi tajwa Barnaba halafu mavoko akasahaulika.
Hawa watu ni kama wanaenda sambamba.
Huyu Baraka Da prince ana stahili kabisa...Rich mavoko ni wazi kura za nomination hazikutosha ....me mwenyewe nolimsahau kum nominate kwa hiyo ni wazi kabisa alikosa nomination za kutosha!
Ukiangalia hapo utagundua Jide pamoja hakuwa na nyimbo zilizo tamba sana lakini alikuwa na nomination nyingi ndio maana katokeza..lakini nina hakika kazi hipo kuibuka bingwa maana stage ya kutafuta mshindi majudge nao wanakuwa na nguvu wana angalia kama kweli ana stahili...
Ila mi siachani nawe
Na sishindani...nawe
Maana upo moyoni mwangu
Acha nisote mie.
Beka Title apana aisee yan apo ndio kabisaaa unaharibu...Mo Music wamemfanyia Unfair kabisa + Mavoko.Daah
Mbona Hawajaweka wimbo bora na msanii bora wa Injili?
beka tittle kabebwa tu nashangaa wamemuweka
katika kipengele hicho cha chipukizi