kende
JF-Expert Member
- Dec 2, 2013
- 3,527
- 1,669
Hivi nyimbo za gospel na wasanii wake hawaruhusiw kushirik Kill music Awards????
Kipindi Rose Muhando anazodolewa kwa kupokea tuzo ya Kili ulikuwa hujaja mjini?
Hivi nyimbo za gospel na wasanii wake hawaruhusiw kushirik Kill music Awards????
Huyu Baraka Da prince ana stahili kabisa...Rich mavoko ni wazi kura za nomination hazikutosha ....me mwenyewe nolimsahau kum nominate kwa hiyo ni wazi kabisa alikosa nomination za kutosha!
Ukiangalia hapo utagundua Jide pamoja hakuwa na nyimbo zilizo tamba sana lakini alikuwa na nomination nyingi ndio maana katokeza..lakini nina hakika kazi hipo kuibuka bingwa maana stage ya kutafuta mshindi majudge nao wanakuwa na nguvu wana angalia kama kweli ana stahili...
Mkubwa em jitunzie heshima yako na ufiche ujinga.
Ulikuwapo ktk kundi la wahesabu kura? Hadi useme kuna mtu kura hazkutosha.
Yaani ulivyoandika utadhan ulikuwepo kwenye mchakato wa kuhesabu kura
mkuu ulikuwepo kwenye mchakato nini???
Tunzo zimekosa mvuto kukosekana kwa mavoko ila Bob rich don't give up
Mo music kutokuwepo katika kipengere cha upcoming artist ndio kinafanya niamini hizi tuzo ovyo kabisa na hazina maana dogo mwqka jana wimbo wake umekuwa wimbo wa taifa ukiona kili walivyo vilaza na wapo kuwasikiliza clouds fm wamemuweka dogo kipengele kigumu kweli yupo na kina bella diamond jide unafikilo atachomoa
Kama mmekuwa mkifatilia vyema huu mchakato tangu umeanzishwa na utaratibu wake wala msinge shangaa mimi kusema hivyo.
Kwa kuwajuza tuu katika hii hatua huwa wananchi ndio hupendekeza watu au wanamuziki kwa kila kipengele husika na baada ya watu kupendekeza hivyo walio pata kura nyingi ndio hubaki kwenye kipengele husika!
Hivyo basi ukiona jina la msanii husika halipo majibu huwa ni mawili..
Kura zake hazikutosha au hakupendekezwa kabisa...hivyo huitaji kuwa judge kulijua hilo jambo! Tatizo watu hawajui utaratibu na wala hawakuwapendekeza watu wao lakini ndio walalamikaji wa kwanza.
View attachment 247795View attachment 247796
Lady jaydee dada yako siku zote uongo hupanda lifti na ukweli hupanda ngazi, usikate tamaaa hata kama wamedhamilia kukushusha.
Uonevu mkubwa kwa YAMOTO BAND na RICH MAVOCO, Upendeleo mkubwa kwa JUX. Hivi Roma amehit na wimbo gani hadi kuingia kwenye mwanahiphop bora wa mwaka? Shilole kasahaulika kabisa, ingawa simpendi ila kafanya vizuri kwa upande wa wanawake.Billnas kawekwa kwenye upcoming artist halafu Mo Music kakosekana? Hivi hawa waandaaji wanapofanya nomination wanakuwa wamekunywa bangi?Nitaendelea.....
Kama mmekuwa mkifatilia vyema huu mchakato tangu umeanzishwa na utaratibu wake wala msinge shangaa mimi kusema hivyo.
Kwa kuwajuza tuu katika hii hatua huwa wananchi ndio hupendekeza watu au wanamuziki kwa kila kipengele husika na baada ya watu kupendekeza hivyo walio pata kura nyingi ndio hubaki kwenye kipengele husika!
Hivyo basi ukiona jina la msanii husika halipo majibu huwa ni mawili..
Kura zake hazikutosha au hakupendekezwa kabisa...hivyo huitaji kuwa judge kulijua hilo jambo! Tatizo watu hawajui utaratibu na wala hawakuwapendekeza watu wao lakini ndio walalamikaji wa kwanza.
Mzee..hizi nomination si wananchi wenyewe ndo wamechagua??
Unauhakika gani?
Umeonaee yan apo kwa Upcoming uyo Beka Wamembeba Kwa Baraka da Prince n sawa ila Mo music naye alitakiwa awepo...Ila uku kwa Nyimbo Bora na Msanii bora + Video Bora Mavoko..Nae Daah..
Huu mwaka wa Ally kiba, natabiri kunyakua tuzo kama mvua.
Upcoming artist hapo Mo music alitakiwa kuwepo,
Video bora ya mwaka Rich Mavoko-Pacha wangu deserved it sema bifu la Adam Juma na Cloudz inaweza ikawa chanzo cha kukosekana kwa Rich kwny hizo nomination.