Kilio changu kwa DSTV Tanzania

DstV ni king'amuzi cha kishua mkuu, we unalia lia badala utafute DstV ya level za kibongo ni Azam Tv tu!

Toka nmenunua king'amuzi cha sijawahi kujuta. Maisha ni murua kabisa kwa 10,000 ma channel kama yote na hata hela ikikata still unakutana na local channel zote free na kadhaa za nje zinabakia
 
..Wasamehe tu Mkuu hawana Kosa. Wamefikia kwenye nchi ambayo Mtoa huduma anaweza kuamua chochote anachotaka dhidi ya Wateja wake, na asifanywe Chochote!

Huyu alikuwa ni wa Kumuambia tu...NI LAZIMA UWEKE LOCAL CHANNEL ZA HAPA NYUMBANI KWENYE TV YAKO NA KAMA HUTAKI BASI FUNGASHA URUDI KWENU...Lakini katika viongozi wetu hawa tulio nao in Nani wa Kumfunga Paka Kengele???
Mnajua fika nyie ni kampuni pendwa lakini mmekalia ukoloni na unyonyaji kwa Watanzania. Hivi kinachowafanya msiweke local chanels zote za Tanzania ni nini? Kama ITV, CLOUDS, STAR TV n.k mbona hazipo? Nimejaribu kuweka na redio za tanzania tena Nikiwa nimelipia dstv compact Hakuna Redio station hata moja ya kiswahili inayosikilizika kwa nini?

Vifurushi vyenu bei ghali na hakuna pay per view kwanini? Nasikia kwa mataifa kama NIGERIA na mengine ya kusini vifurushi viko chini kuliko tz sasa kwanini mtatunyonya Watanzania?

Nimejipanga kuwatosa hivi karibuni: Nimechoshwa na ukoloni wa kinyonyaji. CARD NUMBER 10133688852

MJIREKEBISHE AU LA SIVYO NGOJA NIULIZIE BEI YA AZAM TV DECORDER!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa unazipataje mkuu?
Nafikiri utakuwa mgeni na Dstv ndomaana unalalamika halafu mpaka una nunua kingamuzi unatakiwa ujue kama kinakufaa kwa mahitaji yako na uwezo wa kulipia

Halafu nakushauri kama unatumia Flat Tv una uwezo wa kupata free channel za bongo zote kwa mfumo wa Analog kikubwa uwe na Antenna yako ww search auto utazipata kibao

Nadhani hii ni kwa smart tv na si kila flat tv
 
Ukiona hadi leo DSTV ni gharama ujue hali yako kiuchumi bado ni mbovu hivyo unalazimisha tu unapaswa kubaki za local channels...ni sawa na kusema IST inakula mafuta ujue muda wako wa kumiliki gari bado..... swala la local channels kuoneshwa DSTV ni utaratibu wa urushaji matangazo Tz leseni ya DSTV hairuhusu wao kurusha local channels

Dstv wanachoboa tu ni kurudia mno vipindi
 
Mnajua fika nyie ni kampuni pendwa lakini mmekalia ukoloni na unyonyaji kwa Watanzania. Hivi kinachowafanya msiweke local chanels zote za Tanzania ni nini? Kama ITV, CLOUDS, STAR TV n.k mbona hazipo? Nimejaribu kuweka na redio za tanzania tena Nikiwa nimelipia dstv compact Hakuna Redio station hata moja ya kiswahili inayosikilizika kwa nini?

Vifurushi vyenu bei ghali na hakuna pay per view kwanini? Nasikia kwa mataifa kama NIGERIA na mengine ya kusini vifurushi viko chini kuliko tz sasa kwanini mtatunyonya Watanzania?

Nimejipanga kuwatosa hivi karibuni: Nimechoshwa na ukoloni wa kinyonyaji. CARD NUMBER 10133688852

MJIREKEBISHE AU LA SIVYO NGOJA NIULIZIE BEI YA AZAM TV DECORDER!
Siuna hama tu mzee baba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnaacha kuwalalamikia tcra mnawalalamikia dstv. kweli nimeamini watanzania tunasahau haraka sana. au wewe ni mgeni hii nchi hadi ukumbuki chanzo cha local chanel kutolewa.
 
Receiver ni ya zamani ila cio mchezo..unapata local Chanel..free.na za njee kibao.ishu ni kumpata fundi,kuweka channel,baada ya apo ni ww 2 kuburudika.ila sometimes channel zina itaji update ya frequency,ni ishu ndogo una muita fundi arekebishe bac.
 
Attachments

  • IMG_20200501_014619_111.jpg
    IMG_20200501_014619_111.jpg
    43.9 KB · Views: 1
Tangu nimehamia dstv miaka 8 iliyopita sijawahi juta.
Local chanel zenyewe ni kuimba na kusifu tu hata pasipo na haja.

Habari za ndani nakunaza nazo hapa jf inatosha. Tena ni habari zisizopikwa

Sent using Jamii Forums mobile app

Alafu sijui ni aina ya tv maana mimi hizo local Chanel zopogo tu na antena yake nyingine kabisa naona kama kawaida haihusiki na hiyo dstv nalipia kama kawa na local Chanel naona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom