Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesikika akisema kwamba kuna watu wanataka kutoa roho/kumuua. Kimsingi mtu mzima hawezi kutoa malalamiko hayo hadharani kama hakuna dalili au taarifa za kuumwa sikio kuhusu suala hilo. Ni vyema Jeshi la Polisi wakafanya kufuatilia taarifa hizo.