Kilio cha Nape kisipuuzwe

Kamura

JF-Expert Member
Apr 26, 2011
506
52
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesikika akisema kwamba kuna watu wanataka kutoa roho/kumuua. Kimsingi mtu mzima hawezi kutoa malalamiko hayo hadharani kama hakuna dalili au taarifa za kuumwa sikio kuhusu suala hilo. Ni vyema Jeshi la Polisi wakafanya kufuatilia taarifa hizo.
 
Ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga tu.
In fact,bora tu tusikie tanzia kuliko kusikia ana lalamika
kutaka kuuliwa.
 
Jeshi la polisi lazima hii itawastua maana inahusisha maisha ya MwanaCCM, hivi polisi wamehusika vipi na kifo cha wakala wa CHADEMA pale igunga?
 
Nasikitika kuona Chama Changu kinageuka kuwa Chama Cha Mauti/Cha Cha Mauaji a.k.a Chama Cha Makaburi
 
Ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga tu.
In fact,bora tu tusikie tanzia kuliko kusikia ana lalamika
kutaka kuuliwa.

Mijitu iliyozoea damu za watu utaijua tu. Wewe amekukosea nini mpaka unavuka mpaka na kuwa mnyama? Hivi siasa za vyama ndo zinatufikisha huko? Au ni kweli Chacha Wangwe aliuawa na watu wanaokuhusu?
 
Yeye ni katibu mwenezi wa chama cha mauaji (CCM).
Alipita Igunga akatoa kazi watu wauliwe,na wamekufa watu kibao.
Leo hii analia kutaka kuuliwa,so what?
Tuache utani kama amehusika kwa nini asichukuliwe hatua za kisheria na tunamuona kipanda majukwaani?
 
Anapotetea chama la miposho hajui hiyo pesa ingeokoa maelfu ya wajawazito???Kwan hata wewe JK amekukosea nini????????

Jahazi Modern Taarab inatafuta mwimbaji wa mipasho. Kawaone pale Travertine leo mchana!
 
mbona wameuwawa watu kibao huko Nyamongo Nape hajasikika

Lowassa akishika nchi kwa bahati mbaya 2015 namshauri amchune NAPE ngozi hadharani
Lowassa yupi_yule ninayemfahamu mimi asahau urais,..hata kama huyo Tb Joshua kamdanganya atapata.mia
 
Jahazi Modern Taarab inatafuta mwimbaji wa mipasho. Kawaone pale Travertine leo mchana!
Kuna mwanaume katokea arabuni anatafuta watu kama wewe akawape kazi kamwone pale DANFRANCE HOTEL malipo 80 elfu kwa saa
 
Anapotetea chama la miposho hajui hiyo pesa ingeokoa maelfu ya wajawazito???Kwan hata wewe JK amekukosea nini????????
Hapa sitetei chama ninazungumzia hali halisi iliyopo usiwe na fikra mbovu kiasi hicho.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom