Stabilaiza
JF-Expert Member
- Jul 11, 2012
- 1,843
- 1,143
- Thread starter
- #41
Nguvu ya umma inatakiwa uratibu. Hawa wanasiasa tunawalipa ruzuku waifanyie kazi kwa kuratibu nguvu hii ili kupinga ongezeko la bei ya umeme. Leo ni tarehe 29 wala sijasikia lolote kutoka kwa wanasiasa kupinga hali hii.nguvu ya umma.
forget politicians!